Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii story bado characters wawili kuchezea rungu .. hii ya Mary nilitegemea.. bado mdogo wake Jane na mtoto wa mama wawili .. siku Insider akijichanganya akamla Jane basi mzimu wa Mzee Pama utamtokea 😂😂
Kumbuka Jane alijifungua kawaida. Na mara nyingi ujifungua ukakaa muda mrefu bila rungu kupita..inaheula bikira.

mzee juma ninawasiwasi naye
 
Wanawake wanaita wanaume mbwa ila mbwa wanayemfahamu kuwa ni mbwa konki ndio wanampenda wanataka awatafune. Single mothers hawawezi Isha. Na haitashangaza kama kuna walimbwende humu wanatamani waliwe na Insider. It's nature

By the way ukiwa na pesa kidogo na maisha hayakusumbui ni ngumu sana kuruka viunzi vyote vya walimbwende. Ukiona kuruka viunzi vya kunaswa na warembo kwako ni rahisi basi huna pesa au ni towashi.
 
Mimi sina pesa ila pisi hainipiti kizembe.... nimejifunza kwa insider man haoa yaani ni point of no return
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…