Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
INAENDELEA… EPISODE 02:
Kiukweli sikuamini kama nikweli maana niliona kama ndoto hivi, nikasema hawa wanaweza kuwa matapeli, inshort sikuwa interested na ile simu. Sikumwambia mtu yoyote juu ya hili jambo hata mama sikumwambia maana niliogopa wasije wakawa matapeli. Hapo nilikua tayari nina miezi 2 niko home, wakati nimefika mzee wangu alikaa siku 3 akarudi Zambia.
Mzee wangu ni engineer kule kuna kampuni anafanyia kazi na pia mzee wangu kurudi home ni nadra sana anaweza kukaa hata miezi 3 na zaidi bila kurudi nyumbani. Nilikua naongea na mama mambo mengi sana hasa alikua anataka kujua pale kwa Uncle kama ninaishi vizuri. Ni kwamba mama yangu anamjua vizuri sana Aunt ni mtu wa namna gani, sikutaka kumwambia mama lolote kuhusu pale kwa Uncle niliamua kuyaweka moyoni. Japo mama alihisi kuna jambo halipo sawa,lakini alinisistiza sana kuwa na adabu na heshima. “Kila siku usiku tulikua tunapiga maombi na mama” mama yangu ni mtu wa dini sana.
mkuu, labda kama aliamua kublow cover ya hii story, otherwise majina ya maeneo lazima ameyabadili ili kulinda 'watu'.....dong yi toka season 1 episode 2 jamaa alituambia baba yake yuko huko. Ingekuwa ni season 2 anatupa hizi habari hapa ndo ningekuamini.
Hahaha proba ni 0.0001 ila code nyingi zipo open.mkuu, labda kama aliamua kublow cover ya hii story, otherwise majina ya maeneo lazima ameyabadili ili kulinda 'watu'.....
jaribu tu kufikilia story za jane, prisca, mary, saloon zilipo, Asma then unadhani ni maeneo halisi hayo? mbona angejiharibia sana!
Sure acha tuenjoy sisi.mkuu, labda kama aliamua kublow cover ya hii story, otherwise majina ya maeneo lazima ameyabadili ili kulinda 'watu'.....
jaribu tu kufikilia story za jane, prisca, mary, saloon zilipo, Asma then unadhani ni maeneo halisi hayo? mbona angejiharibia sana!
HahahaaSterling hafi...subiri Sterling Iryn nxt episode atakavobadili upepo
Asanteee
Mpaka umeniona humu nini kimekuleta unaacha kufanya shughuli za kitaifa? Kijana wa hovyo kabisa unashinda kwenye huu uzi kupitia kila comment ya mtuvijana kama wewe mnamchango mdogo kwa taifa. mda wote mnawaza tu muendelezo.
Kaka nimekufata PM. Tafadhali fungua.Hahahaa
JF si wapo?INSIDER MAN nakushauri kaiwekee hii story haki miliki mapema sana,kuna watu wanaweza tajirikia hapa
Nafikiri sheria za hati miliki zina taratibu zake.Mfano ni kutumia majina rasmi.Sasa hapa JF tunatumia yasiyo rasmi ,yeyote aweza kuwa Insider akaaminika...hii story ikitungiwa movie itakuwa kali sana..imiliki kisheriaJF si wapo?
JF si wapo?
Daa mdogo wake junior matataniINSIDER MAN tutegemee lini kupewa episode nyingine?
Mkuu una uhakika hutaki kunichonganisha na watu?Wanawake wakoje mkuu
INSIDER MAN nakushauri kaiwekee hii story haki miliki mapema sana,kuna watu wanaweza tajirikia hapa
Nikajua ipo under JF license. Hapo utaratibu unakuwaje?.Nafikiri sheria za hati miliki zina taratibu zake.Mfano ni kutumia majina rasmi.Sasa hapa JF tunatumia yasiyo rasmi ,yeyote aweza kuwa Insider akaaminika...hii story ikitungiwa movie itakuwa kali sana..imiliki kisheria
Tupo dakika ya 80 mpaka sasa muda wowote mechi inakwishaINSIDER MAN tutegemee lini kupewa episode nyingine?
Hapana mkuu ni katika kutaka kuongeza ujuzi tuMkuu una uhakika hutaki kunichonganisha na watu?