LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Nimeipenda style yako ya kuombea episode za mwendelezo baada ya alostoINSIDER MAN hii simulizi ina mafundisho mengi sana Man sijui kama Vijana wanasoma na kutafakari? Maana ubongo wa binadamu umesafiniwa kuwaza mambo mepesi tu. Lakini wengi humu sidhani kama wanachukulia kwa uzito. Be blessed Man wewe ni Icon ya Vijana tunaojipambania ndoto zetu zitimie