Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

vijana kama wewe mnamchango mdogo kwa taifa. mda wote mnawaza tu muendelezo.
Mpaka umeniona humu nini kimekuleta unaacha kufanya shughuli za kitaifa? Kijana wa hovyo kabisa unashinda kwenye huu uzi kupitia kila comment ya mtu
 
INSIDER MAN nakushauri kaiwekee hii story haki miliki mapema sana,kuna watu wanaweza tajirikia hapa

Nafikiri sheria za hati miliki zina taratibu zake.Mfano ni kutumia majina rasmi.Sasa hapa JF tunatumia yasiyo rasmi ,yeyote aweza kuwa Insider akaaminika...hii story ikitungiwa movie itakuwa kali sana..imiliki kisheria
Nikajua ipo under JF license. Hapo utaratibu unakuwaje?.
 
Nikajua ipo under JF license. Hapo utaratibu unakuwaje?.

JF is a public forum, kile kilichomo humu ni user generated contents ambazo mwenye umiliki ni yule aliyeandika...

Ingawaje wamiliki wa JF wanachofanya ni kulinda privacy za wanachama wake, lakini si kuzuia mtu mwingine kunakili contents za humu...


 
Anaitwa Genevieve Maujean na chuo alichokua anasoma ni Capetown university... nenda ukamtafute kwenye social media zake.
 
Melinda J. Griffiths nahisi ndio mama aliyekutana nae insider pale chuoni ila napata shaka kwasababu huyu mama yupo kwenye idara ya uhandisi wa kemia INSIDER MAN .
 
INSIDER MAN kumbe nawe una wivu kiasi hicho kwa sis? Nilijua kwa uzoefu wako huwezi kuona wivu sis akipigwa darasa na msela mavi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…