Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hapana mtu anaposema story ya kweli lazima tuone uhalisia ila story ya huyu jamaa mwanzoni uhalisia 80% Ila kwa sasa uhalisia 20%
 
Eti huyo iryn ana pesa lakini siku wamegongwa akashindwa kumpa laki 7 akanyooshe gari mpaka wakamkaba mlevi aliyewagonga akaweka bond iphone.

Bata kwa siku wanapiga mpaka la laki 7 lakini kunyoosha gari mziki.
Story inaanza ndani.ya miaka miwili kazini ametengeneza million 24 .

Halfu alikuwa intern wale wataesa wanaolipwa laki 4 .halfu muda huohuo akafungua biashara ya hardware kama sijakosea.

Hata kama ni upigaji Ila kwa million 24 alitupiga
 
Hapana mtu anaposema story ya kweli lazima tuone uhalisia ila story ya huyu jamaa mwanzoni uhalisia 80% Ila kwa sasa uhalisia 20%
Subiri story itakapo fika mwishoni ndio uweke criticism sasa hata katikati mwandishi haja fika mmesha anza kulalama hamuoni kama mnataka mmumkatishe tamaa mnakosa SUBRA kama bao la kwanza namna gani nyie vijana wa siku hizi??
 
Madereva wa uber wanavyoongoza Ku lala kwenye magari mwezetu analala kwa iryn kutwa nzima ..

Nauliza hela ya mafuta alikuwa anapata wapi ?
 
Kwa Jf hatusubirigi mwisho kuna jamaa humu ndani alishawahi kuja na story ya kwenda afrika kusini bila ndugu akapokelewa na kanisa halfu wakapata safari ya kwenda Eswatin bila chochote na mzamiaji aliacha kusimulia.

Muulize mpwayungu village
 
Story ya uongo hii, mwanamke anayefanya masaji kwa dola elfu 10 anashindwa kuwa na gari kali inayoendana nae au kuwa na dereva wa kudumu.

Story imekosa uhalisia.
Yaani ulipwe dola Elfu 10 kwa lisaa ushindwe kuwa na gari uongo uongo.

Namjua Demu nafanya nae kazi analipwa million 3.5 na bado Ana ka IST ..
 
Madereva wa uber wanavyoongoza Ku lala kwenye magari mwezetu analala kwa iryn kutwa nzima ..

Nauliza hela ya mafuta alikuwa anapata wapi ?
Hela ya mafuta anapata wapi? Jamaa alishasema iryn anampa laki 3 wikiend,, bado ana abiria mmoja mmoja anaowapakiza,, bado wale watoto wa shule anao mama wawili na maggy. Mbona stori iko simple inaeleweka hakuna haja ya kukaza kichwa
 
Mbona tunasikia case nyingi wanaume wanatelekeza watoto bila ugomvi wowote wa familia au wanakimbia familia na wanaenda kula bata wakiwa na amani,, ila wewe unaona kwa insider haiwezekani
 
Hela ya mafuta anapata wapi? Jamaa alishasema iryn anampa laki 3 wikiend,, bado ana abiria mmoja mmoja anaowapakiza,, bado wale watoto wa shule anao mama wawili na maggy. Mbona stori iko simple inaeleweka hakuna haja ya kukaza kichwa
Chai chai hakuna mtu mwenye familia akawa anaendekeza starehe kama huyu msimuliaji.

Hata kama alikuwa anampa Mia 3 kila wikiend Mbona muda mwingi anatumia kwa iryn na kula bata kuliko kazi.
 
Eti huyo iryn ana pesa lakini siku wamegongwa akashindwa kumpa laki 7 akanyooshe gari mpaka wakamkaba mlevi aliyewagonga akaweka bond iphone.

Bata kwa siku wanapiga mpaka la laki 7 lakini kunyoosha gari mziki.
Kwahiyo wewe ukiwa na pesa, gari yako ikigongwa utakuwa unaenda kunyoosha bila kudai chochote. Yani unamwambia aliyekusababishia ajali awe na amani tu yani fresh
 
Mkuu unajua kuna watu wanalipwa zaidi ya $300,000/= kwa mwaka na hizi international Organization?? Kwa mtu ambaye ubongo wake uko vizuri bila shaka alishajua Mama yake na Iryn alikua anafanyia kazi Organization gani.

Unashangaa Muajemi kuhonga hizo necklace za almost 30m wakati kuna wabongo wanahonga hadi nyumba? na magari ya kifahari. Unajua wewe unaona ni kama haiwezekani sababu huna hela ila kwa wenye pesa ni vitu vya kawaida sana. Muajemi account zake zilikua zinasoma dollar $2Billions na mapoint kazaa huko, ashindwe kuhonga 30m?, wakati Harmonize anahonga hadi Range 2 [emoji23][emoji23]

Kwa mara ya kwanza nakutana na Muajemi alinipa 1million hio 3m umeitoa wapi mkuu?

Nilijifunza kitu kimoja kwenye hii Dunia, hakuna Mwanaume asiyehonga ila tumetofautina level za kuhonga tu. Kama unaweza kumuhonga demu savanna 5 kuna mtu anahonga gari au nyumba. Ukiwa huna hela unaweza ona haya mambo hayawezekani ila ukipata hela utaona ya kawaida sana.

Iryn alikua mwanamke mzuri sana aisee, tuseme Alibarikiwa tu. Endelea kufuatilia story kuna mambo mengi sana yaliendelea huko mbele.
 
Chai chai hakuna mtu mwenye familia akawa anaendekeza starehe kama huyu msimuliaji.

Hata kama alikuwa anampa Mia 3 kila wikiend Mbona muda mwingi anatumia kwa iryn na kula bata kuliko kazi.
Wangapi tunawaona mtaani wana familia na bado wakawa wanakula bata bila kujali mahitaji ya home. Au hizi kesi tunazosikia ustawi wa jamii huku mitaani nayo ni maigizo?

Alafu ukisoma vizuri, mara nyingi out zake na iryn anayelipia bills ni iryn, kuna episode alionyesha hiko kitu.
 
Chai chai hakuna mtu mwenye familia akawa anaendekeza starehe kama huyu msimuliaji.

Hata kama alikuwa anampa Mia 3 kila wikiend Mbona muda mwingi anatumia kwa iryn na kula bata kuliko kazi.

Mpaka story ilikofika toka Mama J arudi kwao ni week tayari. Wewe unavyosoma unaona kama miezi hivi, fuatilia vizuri huwa nasema matukio yalitokea muda gani.
 
Hii ndo siku niliyokwenda kwa Mama J na pembeni utaona kuna karatasi tulikuwa tunaset password. Na hii siku nilikwend kwao ilikua jumatatu baada ya kutoka Dodoma nilikwenda kwao, nikampa simu kama zawadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…