Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ukiwa unasoma utaona kama nilikuwa namkosea sana Mama J ila hamjui tu niliyovumilia. Mengi nilishayaandika nyuma, yeye ndo chanzo cha mimi kuanza kuchepuka.
Sikumbuki kusoma changamoto za mama J , mpaka hapa anaonekana ni mke mwema.
 
Mkuu Insider please tell the truth wakqti umefikia kwa Ghati zile siku mbili ulizolala pale hakupopolewa kweli au kwa vile ndiyo kwanza ulikuwa umetoka rupango jogoo hakuweza kuwika? Maana umebakia kimya hapo.
 
Sawq
 
Ukiwa unasoma utaona kama nilikuwa namkosea sana Mama J ila hamjui tu niliyovumilia. Mengi nilishayaandika nyuma, yeye ndo chanzo cha mimi kuanza kuchepuka.
Naomba kufahamu mpaka sasa uhusiano wako na mama wawili bado upo kama zamani au uliamua kumpotezea na kufanya maisha yako bila kuwa na mazoea nae tena
 
Ukiwa unasoma utaona kama nilikuwa namkosea sana Mama J ila hamjui tu niliyovumilia. Mengi nilishayaandika nyuma, yeye ndo chanzo cha mimi kuanza kuchepuka.
Mkuu, kwa walio kwenye ndoa wanafahamu kadhia tunazokumbana nazo humo ndani hivyo wala siwezi kukushangaa kwa lolote lile, labda nitakushangaa kwakutokuwa makini na simu yako tuu,
 
Ukiwa unasoma utaona kama nilikuwa namkosea sana Mama J ila hamjui tu niliyovumilia. Mengi nilishayaandika nyuma, yeye ndo chanzo cha mimi kuanza kuchepuka.
Mkuu tulio kwenye ndoa tunajua hayo...mimi aliniletea pigo za kijinga anakuja kustuka na watoto wawili wamepishana mwezi kwa wadada wawili tofauti....alitia adabu mpka leo
 
Ukiwa na mwanamke ambaye kila ikitokea mmegombana anakimbilia kwao unatakiwa akiondoka basi usimfuate wala usimtafute kabisa wala usihudhurie kikao chochote kitakachoitishwa. Mwache akae kwao wewe piga kimya na endelea na mishe zako as if hujawahi kumfahamu. Nakwambia atarudi mwenyewe bila kikao wala bila wewe kuomba msamaha na hatarudia tena kuondoka nyumbani.

Ila ukimfuata kila anapoondoka na kukalishwa vikao na wewe kuomba msamaha huyo atakusumbua sana kwa huo upuuzi. Mwache atulie kwao na akija hakuna kuzungumzia kesi iliyomfanya aondoke. Sometimes ubabe unahitajika ili kuweka heshima ndoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…