Tutaaminije kama ulinunua wewe mwenyewe je?Hii ndo siku niliyokwenda kwa Mama J na pembeni utaona kuna karatasi tulikuwa tunaset password. Na hii siku nilikwend kwao ilikua jumatatu baada ya kutoka Dodoma nilikwenda kwao, nikampa simu kama zawadiView attachment 2701779
Kule juu uliona jamaa kutoitumia iphone 13 aliyopewa ni uongo,, ila sasa hivi unauliza kama alinunua yeye,, sasa mtu atakataaje simu alafu akainunue tena aina hiyo hiyoTutaaminije kama ulinunua wewe mwenyewe je?
Hivi hii stori haikuisha..maana ilikuwa nzuri ila baadae sikuona muendelezo nikawa sina muda sijaingia JFKwa Jf hatusubirigi mwisho kuna jamaa humu ndani alishawahi kuja na story ya kwenda afrika kusini bila ndugu akapokelewa na kanisa halfu wakapata safari ya kwenda Eswatin bila chochote na mzamiaji aliacha kusimulia.
Muulize mpwayungu village
Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,
hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.
Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 [emoji28][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28] you guys na nyie mnaamini kabisa.....
hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.[emoji16][emoji1787][emoji23] afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....
mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....
Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
Achana kubishana na watu ambao hawako exposed na maishaMkuu unajua kuna watu wanalipwa zaidi ya $300,000/= kwa mwaka na hizi international Organization?? Kwa mtu ambaye ubongo wake uko vizuri bila shaka alishajua Mama yake na Iryn alikua anafanyia kazi Organization gani.
Unashangaa Muajemi kuhonga hizo necklace za almost 30m wakati kuna wabongo wanahonga hadi nyumba? na magari ya kifahari. Unajua wewe unaona ni kama haiwezekani sababu huna hela ila kwa wenye pesa ni vitu vya kawaida sana. Muajemi account zake zilikua zinasoma dollar $2Billions na mapoint kazaa huko, ashindwe kuhonga 30m?, wakati Harmonize anahonga hadi Range 2 [emoji23][emoji23]
Kwa mara ya kwanza nakutana na Muajemi alinipa 1million hio 3m umeitoa wapi mkuu?
Nilijifunza kitu kimoja kwenye hii Dunia, hakuna Mwanaume asiyehonga ila tumetofautina level za kuhonga tu. Kama unaweza kumuhonga demu savanna 5 kuna mtu anahonga gari au nyumba. Ukiwa huna hela unaweza ona haya mambo hayawezekani ila ukipata hela utaona ya kawaida sana.
Iryn alikua mwanamke mzuri sana aisee, tuseme Alibarikiwa tu. Endelea kufuatilia story kuna mambo mengi sana yaliendelea huko mbele.
Hao ndio wabongo. Kila kitu wanaona chai.Mkuu unajua kuna watu wanalipwa zaidi ya $300,000/= kwa mwaka na hizi international Organization?? Kwa mtu ambaye ubongo wake uko vizuri bila shaka alishajua Mama yake na Iryn alikua anafanyia kazi Organization gani.
Unashangaa Muajemi kuhonga hizo necklace za almost 30m wakati kuna wabongo wanahonga hadi nyumba? na magari ya kifahari. Unajua wewe unaona ni kama haiwezekani sababu huna hela ila kwa wenye pesa ni vitu vya kawaida sana. Muajemi account zake zilikua zinasoma dollar $2Billions na mapoint kazaa huko, ashindwe kuhonga 30m?, wakati Harmonize anahonga hadi Range 2 [emoji23][emoji23]
Kwa mara ya kwanza nakutana na Muajemi alinipa 1million hio 3m umeitoa wapi mkuu?
Nilijifunza kitu kimoja kwenye hii Dunia, hakuna Mwanaume asiyehonga ila tumetofautina level za kuhonga tu. Kama unaweza kumuhonga demu savanna 5 kuna mtu anahonga gari au nyumba. Ukiwa huna hela unaweza ona haya mambo hayawezekani ila ukipata hela utaona ya kawaida sana.
Iryn alikua mwanamke mzuri sana aisee, tuseme Alibarikiwa tu. Endelea kufuatilia story kuna mambo mengi sana yaliendelea huko mbele.
Mkuu Mimi wakati nimemaliza chuo nasoma CPA, nilikuwa naendesha Uber. Nimeendesha Uber kwa miaka 2. Dereva Uber ukiwa msomi, unajua kiingereza, una gari Kali, halafu dizaini ukionekana unafanana nao kwa maana ya elimu, sio maskini kivile (nilikuwa naishi goba kinzudi maghorofani), na una exposure ( Mimi nilisoma IFM) utakula sana maisha. Maana wateja wa kishua kwanza watakuheshimu na watakuamini sana.Tutaaminije kama ulinunua wewe mwenyewe je?
Broda pole kwa kuwa na mawazo ya kimasikini. Hiv unajua hapo Kenya kuna mzungu mmoja alimtumia demu wake KSHS million mia serikali akazizuia?Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,
hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.
Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 😅😅😆😅😅 you guys na nyie mnaamini kabisa.....
hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.😁🤣😂 afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro 😆😅😅😅😅😁😁muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....
mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....
Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula 😁😁😁
Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
Your mental block beliefs inventory unazo za kutosha. Yaani kumbadilisha mtu anachoamini utamuua. Ni sawa kumbadilisha paroko aka bishop awe shekhe,unadhani Ni kazi rahisi.Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,
hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.
Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 😅😅😆😅😅 you guys na nyie mnaamini kabisa.....
hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.😁🤣😂 afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro 😆😅😅😅😅😁😁muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....
mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....
Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula 😁😁😁
Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
Kiufupi envy emotion has already kicked in and is working right now in your limbic brainWatu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,
hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.
Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 😅😅😆😅😅 you guys na nyie mnaamini kabisa.....
hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.😁🤣😂 afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro 😆😅😅😅😅😁😁muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....
mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....
Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula 😁😁😁
Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
ZINGATIA!!!Chai chai.
Madereva wa uber wenyewe wanashangaa haya maisha anayoishi mwenzao.
Mmelala watu wanapindua nchi[emoji28][emoji28][emoji28]wajuvi wameteka nyumba watu wakiwa wamelala, kama wanga.[emoji1787][emoji1787]
Inatokea pia kwa wale tour guide wanaoendesha magari mbugani kama mikumi au serengeti, wengi wameoa wazungu na waliondoka kwenda kuishi nje.Mi nimeendesha Uber mwanzon ilipofika Nina tabia ya kujaribu kila kitu ili kupata kujua hasara na faida then naanzisha biashara au naipotezea. Niliendesha miez 3. Ningekuwa ni mtu wa kuandika stor na Mimi ningeleta yangu. Ila kwa kifupi kijana wangu alioa kabisa bint wa kinorway baba yake tajiri mkubwa ana kiwanda cha samaki. Sasa hiv yupo huko
'Yaani unadhani kuwa you're the universal standard unit to set the reference or benchmark kwa wengineYour mental block beliefs inventory unazo za kutosha. Yaani kumbadilisha mtu anachoamini utamuua. Ni sawa kumbadilisha paroko aka bishop awe shekhe,unadhani Ni kazi rahisi.
Yaani unaposema nchi ya walalahoi hakuna anayelipwa iyo hela ,hivi una akili kweli.hujasikia kuwa Kuna manager sijui CEO wa bank fulani alikuwa akalipwa 52M,
Manager wa voda aliyekataliwa na jpm unajua alikuwa analipwaje,
Sema wewe ndiye mlalahoi usidhani wote wako ivyo. Kiufupi Kuna wenzako hapa hapa bongo iyo milioni yako wanaiona Kama buku unavyoiona kwa taarifa yako.
Yaani unadhani kuwa you're the universal standard unit to set the reference or benchmark kwa wengine
Mkuu Kuna watu ukosoaji wao tu inakupa picha hadi level yake ya exposure. Inawezekana Kuna vionjo vya chai kwenye story lakini wanavyovisema ni chai Kuna watu wanafanya hapa hapa tz.Hao ndio wabongo. Kila kitu wanaona chai.
Kuna siku nimekaa sehemu naangalia mpira kuna jamaa alibet kwa 2M. Nikawa nashangaa kwa nini mtu urisk 2M kwenye kamali? Daktari mmoja mtu mzima arround 50 yrs of age alikuwa na familia yake pembeni anapata chakula aliniambia huna pesa ndio maana unasema hivyo. Akasema yeye huwa anaweka 10M na kuna wakati inapotea. Mwisho wa siku nilikubaliana na maneno.
Haya mambo yanaendana na levels . Na ukitaka kujipima uwezo wako wa kuhonga angalia aset unazomiliki. Kuna watu wana gari za milioni 100-800 hawaoni shida kuhonga 20m-50m. Mtu ana flat screen ya 25M ndani kuhonga 20M mtu haoni shida. Na kama unamiliki IST huwezi honga 2M mwisho wako utakuwa 100K. Mtu unamiliki flat screen TV singsung au Star X ya 350,000 automatically huwezi honga 500K utakuwa mwehu.
Hivi ile gari Diamond alimhonga Tanasha inaghalimu kiasi gani? Mbona mambo ya kawaida yapo tu.
Pia kuna mzee namfahamu ana magali ila yeye hapendi kuwa na gali ya kutembelea na hajui kuendesha mpaka leo amestaafu. Kuna dogo anaingiza pesa ndefu kwa kupitia professional yake huwezi amini kama hizo pesa anazipata hapa Tz.
Haya ni mambo ya kawaida kwenye maisha hatufanani songa mbele na story yako
Mkuu hili jibu lako asipoelewa usimuelezee Tena. Wabongo wengi hutumia level zao za uchumi kupima Hali za wengine. Akiona hawezi onga laki ukija na story umeongea milioni ubongo wake unajilock. Kurahisisha mambo kwenye ubongo wake anahitimisha tu ni chai.Your mental block beliefs inventory unazo za kutosha. Yaani kumbadilisha mtu anachoamini utamuua. Ni sawa kumbadilisha paroko aka bishop awe shekhe,unadhani Ni kazi rahisi.