Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kabisaaa yani. Mambo huwa sio mepesi namna hii kwa kutumia tu akil zako, japo ana hustle ila sio kwa bahat hiz za kila unachogusa kina slide simply kihiv. Kuna watu wana hustle aisee ila ngoma ngum balaaaa
Imagine; Mary kaondoka tu kurudi Dar, boss lady ndio katia timu. Yaani why hata haikutokea like a coincidence wagongane wote Dom?
 
Bahati tu sio kujua kuchanga karata. Bali ana neema ya Mungu. Anatembelea roadmap ya Mungu. Kuna mdau kasema hivo hapo juu
 
Kabisaaa yani. Mambo huwa sio mepesi namna hii kwa kutumia tu akil zako, japo ana hustle ila sio kwa bahat hiz za kila unachogusa kina slide simply kihiv. Kuna watu wana hustle aisee ila ngoma ngum balaaaa
Mwamba anapaswa ajue hilo kuwa yupo muda wake wakujipata so apunguze zinaa asije mkasirisha Mungu wake
 
Mwenye nacho anaongezewa. Nikiwa chuoni nilikodi demu mmoja ajifanye my gf lengo Kuna mtu namtaka. Sasa bana yale mapenzi ya kizungu hadharani ama mahaba,kula pamoja ,kulishana msosi cafeteria nk ,
Mbona demu alijileta na akajaa akavaa kiatu,
Yaani ukiwa na Mali ama pesa nyingi zingine zinajileta mpaka unajiuliza hizi zilikuwa wapi muda ule sikuwa na hela.
 
Shetani yuko kazini. Anakwepesha hapa anamtelekeza pengine. Shetani anaongoza kwa kung'ata na kupuliza kama panya
 
Mary ni wife materials sana; since day kaingia kwa hi story u can notice that. Wanawake hawatafutagi mwanaume bikra, wanatafuta a man with vision
 
Hivi kuna wanaume bado mnateseka kupata wanawake??. Ukiona unapata tabu, kuna sehemu unakosea. JITATHIMINI.

Hivi hakuna jukwaa la Wanaume tu? Tuwe tunapeana madini.

Wale ambao mnashida na kimoja chali, kuna uzi nitawaandalia naamini kama una tatizo utakuwa sawa. Hakuna mwanaume mwenye shida ya nguvu za kiume, hakuna. Labda uwe umerithi.
 
Kimoko chali huwa kinasababishwa na mengi Mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…