And let's keep waiting for his cooking. Nice story than ever.Let him cook
Let him cooook now
I say let him coooook
PUNGUZA KUTOA USHAURI NA MALALAMIKOHa ha haaaaaaaaa
Kuna wanawake wengi.. Waliandika kabla alikuwaje.. Ni tabia chafu anafanya kuwazunguka wanawake wanao fahamiana bado awebwana huruma kwa Jane naye siku moja na mdogo wake Jane.
Hajiheshimu kabisa na hana heshima kwa wanawake haswa mke mtarajiwa Mama J na akifatiwa na Iryn nini kwenda kwa Asmah!!!!!
Shameful man
We chawa wa Makonda usiwe serious sana na maisha. Hii ni hadithi tu na haina uhalisia wowote ule.Tabia yako ya huruma huruma kwa wanawake .. Jibadilishe.. Unaboa.. Umeniboa tangu uanze na A.. Haujiheshimu kabisaaaa wale wanawake zako.. Unawazunguka.. M sister wa P.. Mama J kapata mume bomu.. Aishi tu na wewe kwa maslahi tu na lazima nae amekujua amwnyamaza ale maisha.. Magonjwa omba yasikujie.. π
Ngoja nimtag Mfufua Nyuzi aifanye kazi yake.Hahah una uzi unasem mapenzi basi afu unasahau ulipopitia
Ndo maana anasema hakunaKweli watu ni wa sahaulifu, hapo nyuma kidogo tu ulisema dadako alikusaidia kuhusu hilo tatizo ila saivi wajiona MWAMBA kwa7b ya Wamasai.
We wamasai wame kulisha mizizi ya NGUVU KULUKUNDU ni ya uchungu kama nn, umepona eti saiv ww tena unajiona DAKTARI kwa wagonjwa [emoji33][emoji33][emoji33]
Kwambaπ€Guess who?
Asmah, Lucy au Ma JGuess who?
IrynGuess who?
namna gani pale dah! anakosa bao la wazi. huyu ni Asmah mtupu.Guess who?
Ma J βοΈAsmah, Lucy au Ma J
Niki mpost Iryn JF itatikisika aseeIryn
ππππTupatie episode 1 ya kuianza weekendItβs weekend tusogee Samakisamaki
Kesho mapema sana.ππππTupatie episode 1 ya kuianza weekend
Episode inayofuata inabidi iitwe hivyoThe return of Irene