Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Iphone mara nyingi contacts zinakuwa kwenye icloud, ukiingia kwenye contacts unazi import tu. Hakuna sehemu aliyosema alifuta kila kitu, nakumbuka alisema picha na vds

Kwani Nimesema sifahamu hayo ya storage..
Umemsoma au? Ni haukuelewa sehemu.. Si kuwa na haja ya kurudia alichoandika.
 
EP 34
Benaire
 
Mm huwa sielewi mwanaume mzima unasema mwanamke analipiza kwa kuliwa hahahhahahha no ujinga ujinga
 
Upo sahihi kila mtu ana parception zake, cha muhimu ni msg.
 
Sikujua kama kichwani una vitu, good analysis
 
Hapo kwa mama wawili mwamba katushinda wengi. Huwezi nilaza polisi hii ya TZ na utegemee ukaribu wa aina yoyote tena kutoka kwangu.
 
Rasmi, Mama J anakojozwa na mhuni mmoja
 
IRYN anaona Insider ndo mtu pekee wa kusimamia mali zake sababu jamaa ana
  • Akili ya kusimamia biashara
  • Hana Tamaa
  • Intelligent

Vijana kuna vitu vingi sana vya kujifunza hapa, na wengi wetu tunasoma juujuu, jamaa ametupa code nyingi sana.

Insider ni mpambanaji, anzia pale alipoacha kazi na kuanza biashara ya Uber, ni wachache sana tungekuwa na huu uthubutu.

Amepitia ups & downs nyingi kwa Iryn, bado hakutaka kuwa mnyonge aliendelea na misimamo yake.

Yametokea matatizo kwenye kampuni, alikuwa na uwezo wa kuiba hela akasepa, lakini alikuwa mbele kuhakikisha kampuni inasimama. Jamaa kaenda Dodoma kuanzisha kampuni zake, hivi ungekuwa wewe ndo Iryn utamchukuliaje Jamaa?.

Mwanaume ukiweza kuwa na unique characteristics, hawa wanawake watakusumbua sana tena sana. Iryn ameona something unique kwa Insider hadi kamzalia mtoto. Mwanamke kwenye suala la kuzaa na mtu, huwa hawakurupuki asee, wako makini sana.

Rudi kwa suala la mama wawili, jamaa kasamehe kiroho safi na bado kampa zawadi binti yake. Yule dada yake Junior, anampango wa kumpeleka shule akasome.
Ni wangapi tuna moyo kama huu?,
 
Sio wanawake yaani watu wenye Kariba ya upole au utulivu wako hivi
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…