Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Labda tunasoma story tofauti jombaa binafsi sitetei ujinga anaoufanya kwa kigezo "wanaume ndio tuko hivyo" huo upuuzi unapaswa kukemewa ni kujiendekeza na kuendekeza tamaa zinazoongoza akili kuzidi kuharibu..Nimesoma episode zote, sijapaona mahali alipo ongeza sifa kwa boss lady but pia sijaona mahali ambapo anamdharau mama Jr, nimeona kama mapenzi kwa mama Jr ndio yamepungua but ukweli sijaona alimpo mdharau
Saikolojia yetu wanaume inafanana, aliwahi kusema Dr. Mwaka pia kwamba, hata ukioa mwanamke MREMBO vipi, ukikaa nae miezi 3, yaani akifikisha period 3; huyo mrembo anageuka kua mwanamke wa kawaida sana kwako. Hili linatupata wanaume almost wote tu, kinacho baki kwako na mkeo ni namna mnavyo ishi. Kuna sehemu Insider anasema (nilianza kui miss familia yangu, kipindi wakiwa na Iryn kwenye apartment yao kabla hajaenda SA)
Yaani hiyo kuchepuka tu ni dharau, unachepuka na mtu ambae anakuja kumsalimia daily, unakula madem hovyo huku mkeo upwiru nani anamtoa??
Pamoja na inshu zote jamaa akawaza namna ya kumuacha kwa kumchomekea kesi yoyote tu, anakagua sim akiexpect apate kosa ili amtumbue waachane.
Kama hujaona mahali akimsifu boss lady basi husomi simulizi jombaa.