Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nimesoma episode zote, sijapaona mahali alipo ongeza sifa kwa boss lady but pia sijaona mahali ambapo anamdharau mama Jr, nimeona kama mapenzi kwa mama Jr ndio yamepungua but ukweli sijaona alimpo mdharau

Saikolojia yetu wanaume inafanana, aliwahi kusema Dr. Mwaka pia kwamba, hata ukioa mwanamke MREMBO vipi, ukikaa nae miezi 3, yaani akifikisha period 3; huyo mrembo anageuka kua mwanamke wa kawaida sana kwako. Hili linatupata wanaume almost wote tu, kinacho baki kwako na mkeo ni namna mnavyo ishi. Kuna sehemu Insider anasema (nilianza kui miss familia yangu, kipindi wakiwa na Iryn kwenye apartment yao kabla hajaenda SA)
Labda tunasoma story tofauti jombaa binafsi sitetei ujinga anaoufanya kwa kigezo "wanaume ndio tuko hivyo" huo upuuzi unapaswa kukemewa ni kujiendekeza na kuendekeza tamaa zinazoongoza akili kuzidi kuharibu..

Yaani hiyo kuchepuka tu ni dharau, unachepuka na mtu ambae anakuja kumsalimia daily, unakula madem hovyo huku mkeo upwiru nani anamtoa??

Pamoja na inshu zote jamaa akawaza namna ya kumuacha kwa kumchomekea kesi yoyote tu, anakagua sim akiexpect apate kosa ili amtumbue waachane.

Kama hujaona mahali akimsifu boss lady basi husomi simulizi jombaa.
 
Kama ulishindwa ielewa code ndo bhasi tena, kuna waliolewa bila shaka. Bhasi anzi 15 August 2 date. Hapa napo bado?😂🙌🏿
Screenshot_20240925-184331~2.png

15 anaanzia huyu mkuu.
 
Labda tunasoma story tofauti jombaa binafsi sitetei ujinga anaoufanya kwa kigezo "wanaume ndio tuko hivyo" huo upuuzi unapaswa kukemewa ni kujiendekeza na kuendekeza tamaa zinazoongoza akili kuzidi kuharibu..

Yaani hiyo kuchepuka tu ni dharau, unachepuka na mtu ambae anakuja kumsalimia daily, unakula madem hovyo huku mkeo upwiru nani anamtoa??

Pamoja na inshu zote jamaa akawaza namna ya kumuacha kwa kumchomekea kesi yoyote tu, anakagua sim akiexpect apate kosa ili amtumbue waachane.

Kama hujaona mahali akimsifu boss lady basi husomi simulizi jombaa.
Yote umesema kweli; nime doubt hapo uliposema "anamdharau mkewe na kuongeza sifa kwa Iryn"
Since day 1 kamfahamu Iryn, jamaa ka maintain sifa zile zile, hajaongeza; kama kutoka nje ya ndoa ni kumdharau mkewe then Iryn utakua unamuonea, jamaa alianza na msichana waliefanya nae field, it sound like alimpiga mimba though hakutaka kuendeleza story yake, akapita na Prisca then akaweka kwa Asmaa, baadae ndio kaja kwa boss lady then Ghati Mary kafata, so kama kigezo cha kumdharau mama Jr kwa case ya kutoka nje ya ndoa, then mlaumu kwa kuwala wanawake hao wote, sio Mhabeshi pekee yake.
 
Yote umesema kweli; nime doubt hapo uliposema "anamdharau mkewe na kuongeza sifa kwa Iryn"
Since day 1 kamfahamu Iryn, jamaa ka maintain sifa zile zile, hajaongeza; kama kutoka nje ya ndoa ni kumdharau mkewe then Iryn utakua unamuonea, jamaa alianza na msichana waliefanya nae field, it sound like alimpiga mimba though hakutaka kuendeleza story yake, akapita na Prisca then akaweka kwa Asmaa, baadae ndio kaja kwa boss lady then Gha Mary kafata, so kama kigezo cha kumdharau mama Jr kwa case ya kutoka nje ya ndoa, then mlaumu kwa kuwala wanawake hao wote, sio Mhabeshi pekee yake.
Jombaa labda kuna kitu hujanielewa.
Nimeandika kutoka tu nje ya ndoa ni kumdharau mkewe regardless anatoka na nani..

Na hilo la boss lady ni dharau kiwango cha sgr kwakua anamzunguka hapohapo na kumchezea kadensee, yaani unampanga mchepuko ukamsalimie wife kuua so ili muendelee kuchepuka na vitu kama hizo..
Na hilo ndo linafanya azidi kumchulia poa mkewe.

Jiweke nafasi ya mama jr, mzee inauma afu ukizingatia mlikotoka inakua sio poa.
Kwa jamaa angefanyiwa visa na mkewe kesho tu wanaachana ila kwa Ke ni tofauti anajua ila anaishia kuvumilia tu.

Hata mimi ningekua nafasi yake ni ngumu kuchomoa kwa boss lady ila kumtemea shit wife na kumfanya apitie wakati mgumu hilo kwakweli siafiki.
 
Tuendelee na kuisoma story kaka; tu enjoy. Huenda mwamba kaandika story hi akiwa anatubia makosa yake but all in all, zaidi ya mapenzi, usariti bado kuna mengi sana ya kujifunza kwenye hi story. Bidii, ubunifu, kutokukataa tamaa, uaminifu, "kazi na dawa, kuupa pole mwili" kusamehe waliokukosea etc ni mambo yanayo nivutia kusoma story; halafu pia jamaa kazungukwa na baadhi ya watu wazuri sana na wanao mpa ushauri mzuri, Auditor Allen ndiye aliyemshauri kufanya CPA na wamepeana madini sana though urafiki wao ulianzia kwenye match za world cup, mshkaji wake aliyemuingiza kwenye ulimwengu wa uber Dulla yaani, full burudani
 
Tunaweza kua na mitazamo tofauti jombaa, labda hafeel guilty kwa lolote na sitamlaumu kwa hilo, tunaishi mara moja usipojijali na kuweka mipango yako vyema, utasaidiwa na ulimwengu.

Cycle ya watu makini inatafutwa kama alivyoitafuta kwa mleta uzi kwenye story yake.
Unakunywa visungura kwa mangi manzese halafu utegemee kukutana na watu makini "SAHAU".

Sometimes ego inatuponza wengi sana, hivi videgree vinadondosha wengi kwa ego zisizo za msingi.
 
Mkali INSIDER MAN umeisifia sana Benz. Hivi Benz ni gari ya kifahari sana au inachukuliwa kwa namna gani?.
Hata niwe na hela kiasi gani sijawahi kuwaza kumiliki Benz. Napenda TOYOTA. Nina sbb zipo za kupenda TOYOTA zipo wazi ni nyingi. Sio ksbb tumezizoea ukanda huu,hapana. Ipo sababu ya msingi sana. Nje ya TOYOTA ndoto yangu ni JEEP WRANGLER,hii ngoma naiota hatati
Benz ni class, kama zilivyo kina Escalade. Ndomaana. Si ujue kuna gari kama luxury, kuna gari kama mtu kazi, kuna gari mkataba, af kuna gari za watu flani ivi... ofcourse japo sio mercedes zote.
20240925_213225.jpg
 
Tunaweza kua na mitazamo tofauti jombaa, labda hafeel guilty kwa lolote na sitamlaumu kwa hilo, tunaishi mara moja usipojijali na kuweka mipango yako vyema, utasaidiwa na ulimwengu.

Cycle ya watu makini inatafutwa kama alivyoitafuta kwa mleta uzi kwenye story yake.
Unakunywa visungura kwa mangi manzese halafu utegemee kukutana na watu makini "SAHAU".

Sometimes ego inatuponza wengi sana, hivi videgree vinadondosha wengi kwa ego zisizo za msingi.
Sure
 
Sifa nzuri za Mama J. Kupitia Simulizi hii:
1.ni mama mwema na mke mwaminifu(Kuna tofauti kubwa ya maneno hayo)

2. Ni Ishara na kibali Kwa mumewe( apateye mke apata kitu chema Tena apata KIBALI mbele za Mungu)....so kila mwanamke ana sifa hizo

3.anajua kujali,kupenda na kuthamini familia yake..
4. Ana maono kuhusu kesho ya familia..
5. Ana hofu ya Mungu.

MAPUNGUFU.
1. Hanyumbuliki( mwandishi mahali pengi amewasifia wanawake wengine kuwa wananyumbulika kitandani lakn si Kwa mkewe)

2.jambo dogo ambalo MDA NA WAKATI Huwa ni hakimu WA Haki yeye tayari amekimbia kurudi kwao(pengine labda sababu kwao ni karibu)
3. Kuchukulia POA ,huyu mwanaume ni wangu na hivyo kutokujua vionjo vya mume wake viko wapi(sex urge ya mumewe Iko juu)..
4.kuhoji na kulalama punde tu mume akirudi ndani(ulikuwa wapi,umelala wapi,huyu ni nani nk..wakati mwingine unapaswa kukaa kimya walau Kwa Lisa limoja au mawili ndipo uulize.)kwenye haya maisha wanaume tunapitia mengi na so kila mengi unayopitia utamwambia mke...ni mpaka upate matokeo ndo utasema..
5..kushinda kujua wakati mwingine ugonvui humalizwa Kwa sex tu....kuna wakat wanaume Huwa tunakuwa wakali kama defence mechanism ya kutokutaka kuulizwa zaidi...mwandishi ameonyesha Hilo sehem nyingi ndan ya Makala yake.

NB:
Kuna siku nimerud home wakat nabadilisha nguo... niligombana na mke wangu sababu zinaendana endana kama za mama J na insider Kisha nikamwambia...
"You have to choose, either you become the kind of a woman who brings LIFE in this house or you become the kind of a woman who brings KNIFE in this house"

Kisha Kwa sauti ya upole akaniambia
"Baba Blanca inawezekanaje nguo zako mpaka tai zina harufu ya jasho halafu mwili wako hauna harufu hiyo?!"...nikamkazia jicho na hapo ndipo nikajua naishi mwanamke Ambae ni Ishara,kibali na jasusi...maana siku hiyo nilikuwa nimechepuka na nikaoga huko....Laumu ilinivunja moyo nao ukaugua sana siku hiyo.
 
Insider ananiharibia boss wangu huku....Anasema kijana yan Mungu kanipa maisha mapema at early 20s lakini sikufaidi kabisa ujana kama huyu kijana....Sasa nakupa kazi ukipata muda niandikie viwanja vyote kila week utakuwa uninipeleka mpk viishe. Hahahha
Atakufa mwambie hizo nguvu azitunze kwa ajili ya maisha yalibaki
 
Back
Top Bottom