Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Vyote amemaliza
 
Reactions: ram
Huyu INSIDER MAN apigwe na kitu⛏️ nionavyo anakwenda kuvuruga famiria ya kina marry bado ajamvuruga mzee juma mtoto wa mama 2 ataachwa salama kwakua atataka kumpa pole mkuu ya kusingiziwa kesi,Ila una nyota ya ibilisi
 
Wewe uwajui mademu wa kaskazini vizuri Yani hapo sasa mama j alishajua kua MWAMBA anamletea michepuko mpaka home sasa kaona bora amwage ugali tu
 
Umemsahau na MARRY nae ataleta timbwili kubwa huko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…