Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Ile biasharaa yako ya lubricants and cars spare parts bado unaendelea nayo.Sahivi ruksa kunishauri kuhusu sakata la mama J. Huko nyuma watu mlikuwa na hisia kali sana nilikuwa nacheka tu, mlikuwa mnatoa ushauri kwa mambo yaliyopita.
Kwasasa unaweza kushauri kwa suala la mama J, maana siku atakayojua ukweli anaweza nichoma kisu. I feel karma, ila ninaamini kila kitu kinatokea kwa sababu, ni mipango ya Mungu.
Dodoma 👍Ile biasharaa yako ya lubricants and cars spare parts bado unaendelea nayo.
Nawaza tu, simfahamu Iryn wala mama J lakini moyo wa mtu kichaka, giza neneSahivi ruksa kunishauri kuhusu sakata la mama J. Huko nyuma watu mlikuwa na hisia kali sana nilikuwa nacheka tu, mlikuwa mnatoa ushauri kwa mambo yaliyopita.
Kwasasa unaweza kushauri kwa suala la mama J, maana siku atakayojua ukweli anaweza nichoma kisu. I feel karma, ila ninaamini kila kitu kinatokea kwa sababu, ni mipango ya Mungu.
Poa poa mzee dodoma kuna ujenzi sana vipi kuhusu biashara ya material ya ujenzi nikiwa na biashara hiyo naweza kuwa na chance ya kupata wateja? Based on plumbing materials.Dodoma 👍
Dadaake priscaGuess who?
Dada yake Iryn, Vivian.Dadaake prisca
INSIDER MAN ulitudokezea kuwa ulimpoteza mtu mmoja wa karibu! Ni nani huyo mbona mpaka hapa ujatuambia? Naomba unitag ikikupendeza!SUMMARY YA KILICHOENDELEA
Just in case:
Iryn anatarajia kujifungua jumapili hii kwa taarifa za haraka nilizopata.
Mama mkubwa wake kavimba sana baada ya kupata taarifa binti yake anamimba nyingine. Kwasasa ndugu anao wasiliana nao ni upande wa mama yake mkubwa tu, ameamua kujitenga na tamaduni za Ethiopia.
Griezmann alikuja kujua Aria ni mtoto wangu, alimind sana.
Marehem mama Iryn, ndiye aliyeongea na mama Janeth azae na Mzee Virgil.
Sumaiya anatarajia kuolewa mwezi wa 11, alibahatika kupata tajir, atakuwa mke wa 3. Maisha yake kwasasa ni mazuri, hadi kazi kwa mama aliacha.
Dullah alipata watoto mapacha mwaka huu, alinivimbia sana.
Prisca alikuja kufahamu kinachoendelea kati yangu na dada yake. Walipigana sana, hadi mama yao kuwakalisha kikao.
Tangu Iryn ajifungue, hajawahi kuonana na mama J.
Ukweni wanaforce sana suala la ndoa maana niliwaahidi mwaka huu ningetisha, lakini sijafanya hivyo.
Asmah, hatuna mawasilino sana, alienda Qatar kusoma, sidhan kama anampango wa kurudi Dar.
Lucy tuligombana na aliacha kazi, hatuna mawasiliano kwasasa, sijui maendeleo yake pia. Bad news mwaka huu alifiwa na mama yake, nilishawagusia kuhusu afya ya mama yake.
Jane tuko cool hadi sasa, tulifungua biashara ya pamoja Kkoo, tunauza mapazia, urembo nknk. Sia ndio alinipa hizi connection, nikaamua kushare na Jane. Mdogo wake Vicky kavalishwa pete tayari, mwakani tunaweza kula pilau.
Kingine mama wawili ana mtoto mchanga, kupitia mwanaume mwingine.
Mwisho, mama Janeth alinusurika kifo Palestine, ni Mungu alimsaidia. Mwakani ataondoka rasmi Tanzania, amehamishiwa HQ.
Mkuu huku sina experience ila biashara ya hardware naona inalipa sana, ujenzi umepamba sana kule.Poa poa mzee dodoma kuna ujenzi sana vipi kuhusu biashara ya material ya ujenzi nikiwa na biashara hiyo naweza kuwa na chance ya kupata wateja? Based on plumbing materials.
Nimekuuliza mkuu! Kuna uliyetudokezea mtu wako uliyempenda sana akafariki?Uliza swali lolote nitakujibu hapa:
Duh kweli code still 🔐Dada yake Iryn, Vivian.
Chief basi kama unaweza kunipatia email yako au check mi this email amanathuman996@gmail.comMkuu huku sina experience ila biashara ya hardware naona inalipa sana, ujenzi umepamba sana kule.
Hawa uliowataja nikikupa sidhani kama utakumbuka Condom mkuu. Mambo mengine yabaki kuwa personal.INSIDER MAN unatumiaga condom kwa hao manzi akina Mary, Sumaiya, Asmah au unapekua? Uogopi umeme na kupoteza maisha na hao uwapendao? Unawaaminije kama unapekua?
Mbona swali la kwanza umeliruka?😂Hawa uliowataja nikikupa sidhani kama utakumbuka Condom mkuu. Mambo mengine yabaki kuwa personal.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukweli unaoumizaIla Maguire bana. Eti anamuona Jimmy kama kijana aliepotea kwa wanawake, wakati yeye yupo South na ameacha mke na mtoto mbezi beach wakijua yupo China!
Huyuhuyu aliekula mtu na mdogo wake, anamuona Jimmy ni kijana wa hovyo.
😂😂😂😂
Ni asilimia ndogo sana walioa kutumia condom wakichepuka na ikifanyika ni siku za mwanzo wakikutana tena wanaaminiana bila kupima. Condom kwa mwanamke mzuri ni changamoto sana. Huu ni mtihani.INSIDER MAN unatumiaga condom kwa hao manzi akina Mary, Sumaiya, Asmah au unapekua? Uogopi umeme na kupoteza maisha na hao uwapendao? Unawaaminije kama unapekua?
Asante Sana INSIDER MANBONUS CHAPTER 1
Nimeanza kuandika story hii nikiwa South Africa, ule wakati ambao nilikuwa na muda wa ziada, ndipo nilipoanza kuandika Season 1 na kuwapostia. Lengo langu kuu ni kuwapa ujumbe kuhusu safari ya maisha yangu, kutoka mwanzo hadi sasa, maisha ambayo bado ninaishi. Sikutaka kukata tamaa, hata baada ya kumaliza mkataba wangu na taasisi X niliamua kujiingiza kwenye uber, huku ndo nilikopata mafanikio makubwa sana.
Nilichowaandikia ni kama asilimia 30 ya maisha yangu; bado kuna mengi ambayo sijagusia kutokana na sababu za usalama wangu pia.
Kwa ufupi, tangu Iryn alipojifungua, maisha yangu yalianza kubadilika kwa kasi sana. Niliamua kuelekeza nguvu zangu kwenye familia zangu na kujituma zaidi kutafuta hela kwa bidii.
Mwezi Januari 2024, nilikutana na mzee na kumueleza kuhusu suala la kuzaa na Iryn. Alishtushwa sana na habari hizi, na hakusita kunilaumu vikali juu ya hilo. Hata hivyo, nilijitahidi sana kujitetea, hasa kwa kutumia mbinu nzuri ambazo Sister aliniambia.
Mzee aliweza kuelewa hali halisi, na mwezi Februari mwaka huu alikutana na Iryn. Tulienda Zambia kwa ajili ya hili, na baada ya kumuona Aria, mzee alikiri kwamba ni damu yetu. Changamoto iliyobaki sasa ni namna ya kumwambia mama yangu mzazi. Tumepanga kumtaarifu mwezi huu, na safari hiyo itakuwa mimi, mzee, na sister.
Kuhusu mama J, tuko shwari kabisa, na upendo kati yetu umeendelea kukua kwa kasi; tunapendana sana. Junior mwaka huu alianza shule na anaendelea kufanya vizuri sana darasani. Kampuni ya Masaki bado ipo na inaendelea kufanya vizuri sana, na pia mama mtoto amefungua biashara nyingine hapa Dar es Salaam.
Kuhusu mtoto wetu Aria, sasa ana mwaka mmoja na miezi mitatu, na tumefanana sana. Ninajitahidi kumtembelea mara kwa mara kule South, hata wiki iliyopita nilikuwa huko kumuona.
Habari njema nyingine ni kwamba mwezi wa 10 huu ninatarajia kupata mtoto wa pili na Iryn. Baada ya kuja Disemba mwaka jana, tulikutana na hali hiyo ikapelekea kushika mimba. Ingawa hatukupanga hili, hatukuwa na namna zaidi ya kukubaliana yeye kuzaa. Hali hii imefanya niwe nasafiri mara kwa mara kwenda South Africa.
Kuhusu Mary, alipata kazi Mwanza katika moja ya taasisi nyeti inayoshughulika na masuala ya BOP. Hatuko kwenye mahusiano ya kimapenzi rasmi, lakini bado tunakutana kisela.
Mipango yangu ni kuhakikisha kwamba kufikia mwakani kila kitu kiwe wazi kwa mama J. Hata hivyo, hili linasubiri wazazi watoe maamuzi, kwani tunasubiri kuona mama atachukua hatua gani akijua ukweli. Nia yangu ni kumuoa mama J kwa kufunga naye ndoa, lakini hilo litafanyika tu endapo atajua ukweli na kukubali kwa hiari yake.
Mbali na mama J, pia nina mpango wa kumfanya Iryn awe mke wangu wa pili. Sijui wazazi watasema nini kuhusu hili, lakini anatarajia kupata mtoto wa pili. Hali hii inahusisha majadiliano mazito na maamuzi ambayo ni muhimu kabla ya kuchukua hatua zozote.
Nitarudi kuwapa hadithi fupi pale ambapo nitamuweka wazi mama J kuhusu hili suala. Sijui itakuwa lini—labda mwakani au baada ya miaka miwili au mitatu. Lakini nitawapa mrejesho wa kilichotokea kwa kuwapa Season 3 au lah. Nitawapa muendelezo wa mambo yalivyokuwa, kuanzia niliporudi Dar es Salaam mwezi Julai 2023. Hapa katikatika nimepitia mambo mengi sana, hadi sasa ni vile hamjui kinachoendelea nyuma ya pazia, kumekuwa na vikao vingi sana.
Mwisho kabisa, mwakani Mungu akijalia nitaondoka Tanzania na familia yangu kwenda kufanya kazi nje. Jambo la muhimu tuendelee kuombeana uzima na mapambano mema, tuache chuki na Roho mbaya.
Bonus, inayokuja tutachambua wote fursa zinazopatikana Dar es Salaam na huenda nikawa na thanks giving kwa baadhi ya watu watakao bahatika, nikaangalia namna ya kuwa support kwenye harakati zao. Lakini hadi kufikia sasa nimeshatoa kwa watu wengi tu, ambao walikuwa wanakuja inbox na sababu zilizonyooka, na wengi ni matapeli.
Tukutane kesho!
Kama atapaelewa vizuri hapa Insider nae inabidi ajitahidi amtumie vizuri Irene ili siku mambo yatakavyokuwa ndivyo sivyo awe amefaidi vya kutosha. Iwe Both team to score.3. Iryn doesn't need you, she wants you mipango yake iende sawa. You just happened to be the right guy for the job, both jobs (sperm donor na msimamizi mzuri wa mali)
cocochanel Mary kakukosea nini? 🤣Wengine umeturuka maswali yetu🤔🤔🤔
Kubali maoni ya watu, hata usemeje ukasirike.. Mary kicheche 🤮atakumaliza one day mkimbie haraka 😅😅😅
Ila tukia umekuwa mmmmmh.. Kubali nondoz ukipewa hata kama haupendi.
As umeruka makusudi haya tufukuze wengine kwa uzi wako.. Ciao utaelewa si Iryn kakufundisha na Gize wake eeeeh nikuite wivu. Mama J subiria tu, ila usimuumize tulia acha kuranda randa nae akipata marafiki wa kiume kama akina Jane akafungua nao biashara eeeeh.. Kweli haujamtamani Jane ukamsaidia uoekwe wewe wewe mmmmmh!!!