Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tangu tumeanza mwanzo wa story yako hii tamu na yenye mafunzo mengi ndani yake.
Kwakweli tunaisi kama tumekuwa moja ya familiya yako.
Hongera Sana Kijana.
Nakumbuka Sana Mzee PAMA(Mnyamwezi)
 
All in all ana bahati na bahati humfata mwenye juhudi.

Ana heshima, anajua nani aongee nae nini, amejua kucheza karata zake vizuri. Alipoipata hiyo bahat hakuiacha na haikumuacha coz ana maarifa.
 
Karibu sana kwenye Uislamu ndugu, hapo umeongea point usizini oa kihalali kabisa tena utapata na fursa ya kumuongeza na Asmah na Mery hapo wakawa 4 no problem 😊
Ndoa ziko za aina mbili: 1) Ndoa ya Mke mmoja (Mf. Kikristo) na 2) Ndoa ya mke zaidi ya mmoja (Mfano za Kiislamu, ndoa za Kimila na Kiserikali). Aidha, ndoa inaweza kubadilishwa kutoka kutoka aina moja kwenda nyingine isipokuwa ndoa za Kikristo. Options zipo ikiwa mtu hahitaji kufungamana na imani za kidini
 
Mkuu INSIDER MAN … Pole na pongezi ni juu yako, umetupa stori tamu saana.

Pia mkuu… inatakiwa uongee vzur na MAX ili ujue atakunufaisha vp, maana hii stori yako imefanya watu wengi wawe kama walinzi kwa kufuatilia MWENDELEZO.

Kupitia stori yako kwa kweli tumepata kujua mambo mengi.

Ww umeona ni vema kushea nasi stori lakn kwa MAX hichi ulichofanya ni BIDHAA.

Kumbuka; bado unataka kuleta MWENDELEZO zaidi na zaidi, hivyo kupitia stori hii uliyo imaliza ndo iwe kama TRELA ktk muvi ila upate MAOKOTO ya mwendelezo kutoka kwa MAX.

Mwisho.
—————————————————————
 

Attachments

  • 1728316202379.png
    982.7 KB · Views: 22
Them orange yebo yebos carrying something.....
 
Ushasema kabla ya Yesu. Hakuna aliyekunyima kuoa wengi ila kama Yesu kwako ni Bwana na MWOKOZI wa maisha yako sheria yake haibadiliki kufuata tamaa za wanadamu mkuu. Hakunaga Mungu wa kisasa mzee. Mungu ni yule yule na utaratibu ni uleule.
Kama Mungu ni yuleyule tusingeshuhudia maaskofu wa Makanisa waasisi wa imani zetu nyingi kuhalalisha LGBTIQA zaidi sana wao wenyewe wakioa na kuolewa. Yesu wa sasa sio Yesu yule wa zama hizo, amekubaliana na globalization (In the context of what is happening, no wonder wanabarikiwa Makanisani). Misimamo ya dini imebakia Afrika (Alkebulan our home) mahali ambapo anahubiriwa Yesu myahudi aliyekuwa na mitume 12 wa kiyahudi lakini ajabu wote wana majina ya kizungu. I stand to be corrected, but to my opinion, ni heri kuwa na ndoa za mitala kama zilivyokuwa mila zetu kuliko kuwa wanafiki makanisani/misikitini deep down tukiendeleza LGBTIQA.
 
Mungu ni yule yule ila vizazi vinabadilika. Mkataba wetu na mungu ni Biblia. Binadamu kubadilika ni kawaida ndio maana tunaongozwa na sheria
 
Anachokifanya Jimmy kwa dada yake ni sawa?. Insider kazalisha dada yake, lakini bado anamsupport jamaa kula madem wa club.
Nikionaga hawa jamaa waliotembea tembea sana huko duniani jinsi wanavyo kula mademu hovyo, yaani hawaogopi kabisa AIDS wallah naanzaga kufikiria huenda dawa ya Ukimwi IPO na inapatikana kwa connection. Hope wazee wenzangu mnamkumbuka mcheza Basketball wa NBA miaka hiyo ya mwanzoni mwa 90 bwana Magic Johnson, mwaka 1991 mwamba alikutwa but still todate jamaa yupo and he is our fellow black.
 
Sina comment ju ya mambo yako mengine, nipo interested na mambo 2 ulioyataja.
1. Majina ya mitume wa Yesu kua ni Wayahudi halafu wana majina ya Kizungu
2. Kuhusu mambo ya LGBTQ
Nitafafanua kwa jinsi ninavyo jua:-
Wewe umejuaje kama mitume walikua na majina ya Kizungu? Yohana, Petro, Yakobo kuna uzungu gani hapo bro? Mbona hayo majina ya Kiswahili? Mariamu nalo ni jina la Kizungu? What about jina YESU na lenyewe la Kizungu? I think ulikua na assumption kwanza kichwani mwako na ile assumption ukaitolea jibu bila kui prove then ukatembea nayo....! Fikiria upya
Kuhusu mambo ya Ushoga na Ukristo; napataga sana shida na watu wanaosema eti Ukristo unaruhusu mambo hayo, najiulizaga, wanafanya makusudi kusema hivo au hawaelewi? Kuna kitabu kimezungumza kwa ukali issues za ushoga kama Biblia? Matendo ya viongozi wa dini kutokufata Biblia yalitabiriwa sana; wengine wamebadiri dini kua biashara, wanajinuifaisha kibinafsi wao wenyewe, Biblia ilitabiri hilo enzi hizooo watu wakiwa na hofu kubwa ya Mungu kwamba hao watu watatokea, hivi hujawahi kusoma hapa, "Siku za mwisho watatokea manabii wengi wa UONGO......., mtawatambua kwa matunda yao (neno matunda hapo ni matendo yao) maana watakua wamevaa ngozi za KONDOO lakini ndani ni Mbwa mwitu wakali. Jisomee mwenyewe with free mind, utajifunza vingi
 
Asante Insider nilipitwa Gily Gru siku hizi huni tag kaka.
 
Malaya wote wanajali condom hali dem bila ndom
 
Apo umenena kaka 💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…