Kitwango Mikazo Miguno
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 244
- 420
Nilidhani ni mimi peke yangu ndo imenilaza usiku wa manane kumbe ni wengi😂Hii story imeshanilaza sana usiku mnene mpaka kuimaliza.
Nasubiri kufahamu kama utamwambia Mama J ukweli japo yeye alishahisi kama unatoka na IRyN.
Mkuu well done na ni msimuliaji mzuri sana...
Mkuu naomba Mimi binafsiDahh, asa mkuu nimekukosea nin mpaka unitukane?,
Mim nimeichukua humu nimeiunganisha kama ilivyo bila kuongeza chochote, na nilifanya kwa matumizi yangu binafsi kwamba sio nikitaka kuisoma iwe mpaka niwashe data niingie JF, na lengo la kusema hvyo kuiweka hapa n kwa yule mwenye dhamira kama yangu. Sio kibiashara wala kujionyesha. Na ndo maana nkasema muhusika akirifhia nitawawekea watu hapa waipakue wawe nayo japo naona tatizo wengine wasije kuisambaza hadi ikafikia walengwa walotajwa hapa kwa code names.
Asa sijaelewa inakuaje unanitukana asee,
INSIDER MAN ni kweli utakua busy sana ila tunaomba hata episode 2 kwa wiki tuNext week nitawapa UPDATE ya SEASON 3
Eimeeen Insider is back! Tunasubiri kwa hamu sana mkuuSEASON 3:
JULY 31/07
BE THE CHANGE YOU WISH TO SEE IN THE WORLD
SEASON 3:
JULY 31/07
BE THE CHANGE YOU WISH TO SEE IN THE WORLD
[/QUOTNaisubiria kwa ham sanaSEASON 3:
JULY 31/07
BE THE CHANGE YOU WISH TO SEE IN THE WORLD
JULY 31/07 ndo nn sasa?SEASON 3:
JULY 31/07
BE THE CHANGE YOU WISH TO SEE IN THE WORLD
No more complainsSEASON 3:
JULY 31/07
BE THE CHANGE YOU WISH TO SEE IN THE WORLD
Mwamba umerudi tena,karibu sana mzee wa Heineken,baba 3.....chotara 2 na chocolate 1SEASON 3:
JULY 31/07
BE THE CHANGE YOU WISH TO SEE IN THE WORLD
SEASON 3:
JULY 31/07
BE THE CHANGE YOU WISH TO SEE IN THE WORLD