Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

NI UMASIKINI WETU TU WANAUME, ILA KILA MWANAUME ANAPENDA KUZAA NA KILA MWANAMKE MWENYE AKILI. mimi sasa hivi muhindi akinipandishia mshahara ukifika hata laki tano kuna mademu kama wanne hivi nataka kuzaa nao, sahv nimezaa na mama E tu kwa sababu mshahara wa mhindi ni 180k kwa mwezi mzima wenye siku 30 na 31
Kuzaa sio kutaga.
 
Jinga sana hili, eti nataka mtoto nae anizalie, zwazwa kweli.
Huko una watoto rundo, we uko tu mitaani eti awe na mtoto wangu wtf.
Na hao wanawake kama wanakubali kuzaa naye tu wakiambiwa sio wazima we mtu mume wa mtu na anakwambia kabisa ana baby mama wake mwingine yupo south kweli unakubali kuzaa naye utakuwa kichaa
 
NI UMASIKINI WETU TU WANAUME, ILA KILA MWANAUME ANAPENDA KUZAA NA KILA MWANAMKE MWENYE AKILI. mimi sasa hivi muhindi akinipandishia mshahara ukifika hata laki tano kuna mademu kama wanne hivi nataka kuzaa nao, sahv nimezaa na mama E tu kwa sababu mshahara wa mhindi ni 180k kwa mwezi mzima wenye siku 30 na 31
Daaah
 
Na hao wanawake kama wanakubali kuzaa naye tu wakiambiwa sio wazima we mtu mume wa mtu na anakwambia kabisa ana baby mama wake mwingine yupo south kweli unakubali kuzaa naye utakuwa kichaa
Women and government break their rules before strong men , the men of high value , with high society status. Hapo ulipo mwigulu akikuambia akupe mtt huwezi chomoa, yaani mdomoni utachomoa Ila mwili unataka , this is nature na sio kuwa logic brain inafanya kazi. Kwanza kwa mwigulu ni mbali mno
 
Kama kawaida huwa sipiti hapa kila siku maana najua mtoa uzi lazima.avute week ndio aweke.

Hapa nitakuja tena after two weeks.

Ila wanawake kuwaelewa ni ngumu sana, nimeoa lakini anakubali kuwa mchepuko wangu na kuzaa na mtoto juu.

Akili ya Mary inashangaza sana, yupo radhi undugu ufe ila penzi liendelee.

Hata huyu hilda naye visirani vyake ni nyege zake tu angekazwa angetulia, na hapo anajua insider ana mke na mchepuko ryin pia
 
Mimi tu mjumbe wa Nyumba 10 hapa uwanja wa Ndege lazima akubali
 
Kama kawaida huwa sipiti hapa kila siku maana najua mtoa uzi lazima.avute week ndio aweke.

Hapa nitakuja tena after two weeks.

Ila wanawake kuwaelewa ni ngumu sana, nimeoa lakini anakubali kuwa mchepuko wangu na kuzaa na mtoto juu.

Akili ya Mary inashangaza sana, yupo radhi undugu ufe ila penzi liendelee.

Hata huyu hilda naye visirani vyake ni nyege zake tu angekazwa angetulia, na hapo anajua insider ana mke na mchepuko ryin pia
Mwenye nacho huongezewa mbona kanuni ipo hata kwenye maandiko tuliambiwa na programer wetu mzee
 
Back
Top Bottom