Kuzaa sio kutaga.NI UMASIKINI WETU TU WANAUME, ILA KILA MWANAUME ANAPENDA KUZAA NA KILA MWANAMKE MWENYE AKILI. mimi sasa hivi muhindi akinipandishia mshahara ukifika hata laki tano kuna mademu kama wanne hivi nataka kuzaa nao, sahv nimezaa na mama E tu kwa sababu mshahara wa mhindi ni 180k kwa mwezi mzima wenye siku 30 na 31
Ukifikisha mika 60 kuna vitu utagundua utatamani urudi 30sKuzaa sio kutaga.
Kama vipi.Ukifikisha mika 60 kuna vitu utagundua utatamani urudi 30s
hadi ufikie mkuuu, chakula cha mtotot ni maziwa nikikupa ugali nitakuoneaKama vipi.
Bado wew tu kuzaa naeIla Insider we kila mwanamke unataka kuzaa naye tuachane na wote hapo kwa Mary kweli mtu umetembea na mdogo wake Prisca sasa hivi upo na dada yake na unataka kuzaa naye nahisi una undugu na king mswati [emoji119]
Na hao wanawake kama wanakubali kuzaa naye tu wakiambiwa sio wazima we mtu mume wa mtu na anakwambia kabisa ana baby mama wake mwingine yupo south kweli unakubali kuzaa naye utakuwa kichaaJinga sana hili, eti nataka mtoto nae anizalie, zwazwa kweli.
Huko una watoto rundo, we uko tu mitaani eti awe na mtoto wangu wtf.
DaaahNI UMASIKINI WETU TU WANAUME, ILA KILA MWANAUME ANAPENDA KUZAA NA KILA MWANAMKE MWENYE AKILI. mimi sasa hivi muhindi akinipandishia mshahara ukifika hata laki tano kuna mademu kama wanne hivi nataka kuzaa nao, sahv nimezaa na mama E tu kwa sababu mshahara wa mhindi ni 180k kwa mwezi mzima wenye siku 30 na 31
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] me sio slay queen tatizo na uzee huu nishavuka mishale mingi naitwa bibi sasa hivi na wajukuu zanguBado wew tu kuzaa nae
Women and government break their rules before strong men , the men of high value , with high society status. Hapo ulipo mwigulu akikuambia akupe mtt huwezi chomoa, yaani mdomoni utachomoa Ila mwili unataka , this is nature na sio kuwa logic brain inafanya kazi. Kwanza kwa mwigulu ni mbali mnoNa hao wanawake kama wanakubali kuzaa naye tu wakiambiwa sio wazima we mtu mume wa mtu na anakwambia kabisa ana baby mama wake mwingine yupo south kweli unakubali kuzaa naye utakuwa kichaa
Mimi tu mjumbe wa Nyumba 10 hapa uwanja wa Ndege lazima akubaliWomen and government break their rules before strong men , the men of high value , with high society status. Hapo ulipo mwigulu akikuambia akupe mtt huwezi chomoa, yaani mdomoni utachomoa Ila mwili unataka , this is nature na sio kuwa logic brain inafanya kazi. Kwanza kwa mwigulu ni mbali mno
Nikajua ni INSIDER MAN , huku kuna ukame muda kidogo ila bado inaendelea, mtoa mada atarudi tuh .Hivi hii hadithiniliendelea?!
Mwenye nacho huongezewa mbona kanuni ipo hata kwenye maandiko tuliambiwa na programer wetu mzeeKama kawaida huwa sipiti hapa kila siku maana najua mtoa uzi lazima.avute week ndio aweke.
Hapa nitakuja tena after two weeks.
Ila wanawake kuwaelewa ni ngumu sana, nimeoa lakini anakubali kuwa mchepuko wangu na kuzaa na mtoto juu.
Akili ya Mary inashangaza sana, yupo radhi undugu ufe ila penzi liendelee.
Hata huyu hilda naye visirani vyake ni nyege zake tu angekazwa angetulia, na hapo anajua insider ana mke na mchepuko ryin pia