Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii ni moja ya story ambayo sikutaka kuendelea kuisoma sababu inachukiza mno! Yaani wengine tunaamua kuyaweka mapenzi pembeni, tunapambana kusaka mafaranga ili tuje kuwa na wake wazuri ninyi mnawadinya bila huruma! Yaani michepuko zaidi ya 3! Kmmk mnatuharibia mafuture wives wetu.
 
Hope mpo salama.

Niliamua kujipa short break kidogo, ili kutoa nafasi kwa watu kuzungumza na kutafakari masuala muhimu ya nchi yetu.

That day was heavy, terrible things happened, poleni sana. Hata kwangu binafsi, nilipoteza mmoja wa watu wa karibu sana moyoni mwangu 💔.

Kwa sasa hali inaanza kurudi back to normal. Kesho, tutaendelea na our story, pale tulipoishia.
 
Dunia tunapita happy kama upo hai na afya aisee cha kusikitisha Tanzania ya sasa siyo zaman na haitakuja kurud tena it's dead and gone
 
Hope mpo salama.

Niliamua kujipa short break kidogo, ili kutoa nafasi kwa watu kuzungumza na kutafakari masuala muhimu ya nchi yetu.

That day was heavy, terrible things happened, poleni sana. Hata kwangu binafsi, nilipoteza mmoja wa watu wa karibu sana moyoni mwangu 💔.

Kwa sasa hali inaanza kurudi back to normal. Kesho, tutaendelea na our story, pale tulipoishia.
Mkuu tuko salama kabisa
 
Back
Top Bottom