Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Demu Ana mabiashara ya million kadhaa anashindwa kununua ist ya million 15.

Anaenda kupanga kwenye flat ya kusalimiana na majirani kama tandale au tandika.

Yaani chai imezidi sukari


Kubali kataaa
Acha mambo yakiwaki Wew me namjua jamaa Ni accountant TPA Kabsa na analipwa Si chini ya 1.8m lakini kapanga gheto na choo cha kushare so usijudge kila mtu na fikra zakoo
 
Story inaanza ndani.ya miaka miwili kazini ametengeneza million 24 .

Halfu alikuwa intern wale wataesa wanaolipwa laki 4 .halfu muda huohuo akafungua biashara ya hardware kama sijakosea.

Hata kama ni upigaji Ila kwa million 24 alitupiga
Sitetei kuwa story ya ukweli,,

Ila kupata 24m intern kwa miaka miwili ni jambo linalowezekana nimeona kwa macho yangu. Kuna ofisi zina deals kali sana tembea uone
 
Inatokea pia kwa wale tour guide wanaoendesha magari mbugani kama mikumi au serengeti, wengi wameoa wazungu na waliondoka kwenda kuishi nje.
Wanaoa mabibi bana wakifika kule wanaona chombo binti chuchu imesimama anajiona anajit
Huyo jamaa ni Uber ila inaonekana kama ana wivu kwa Insider yeye hizi bahati hapati inawezekana akawa hana mvuto pia. Maana madem sikuzote wanapenda kufanya kazi na wanaume wenye mvuto.
Lile body hana
 
Demu Ana mabiashara ya million kadhaa anashindwa kununua ist ya million 15.

Anaenda kupanga kwenye flat ya kusalimiana na majirani kama tandale au tandika.

Yaani chai imezidi sukari


Kubali kataaa
Hizi Ni hobby za watu,Kuna mtu hapendi zile purukushani za kuendesha gari. Kuna mtu anamiliki nyumba Ila anapenda kuishi mahala fulani so anapangisha.
Mbona aliongea kuwa mamaye alifariki huku hajampatia urithi ama umiliki na aliuchukulia kwa mama janeth. Ndio alimkabidhi na bado wapo kwenye makabidhiano. Sema bana brain ukishakuwa biased yaani kuileta Ione ambacho haitaki kuona
 
Mawazo ya kimasikini
 
Nimegundua watu wana mawazo ya kimasikini
 
Off course hata mm nimegundua hilo funika kombe mwanaharamu apite.


Vitu vingi sio uhalisia .

Yaani.mtu Ana mabiashara ya mabilion kutwa yupo kwenye Ka ist ka mshikaji.
Kichwa maji kweli au kukosa exposure, mbona unakaza fuvu kwa mambo ya kawaiday hivi?
 
Hakuna aliyepigwa ban we dada acha uongo, mtu apigwe ban kwa sababu ya kutoa maoni yake?

Mtoa story alete story ila aache uongo la sivyo spana zipo palepale.

Wewe limbukeni kwel hujui kuangalia watu waliopigwa ban, angalia hapo juu kidogo uone waliokua wanatukana matusi na uchafu mwingi, wapo wengi sana wamepigwa ban muda sio mrefu [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…