Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

mmh coco sidhani kama ni sahihi kuandika hii watu wanapitia mengi wakiwa offline na kitu kama kakuahidi mwenyewe hujamuomba ungevumilia tu DM za jamiiForum zinasumbua sana ilishawahi kunikuta
 
mmh coco sidhani kama ni sahihi kuandika hii watu wanapitia mengi wakiwa offline na kitu kama kakuahidi mwenyewe hujamuomba ungevumilia tu DM za jamiiForum zinasumbua sana ilishawahi kunikuta

Kwani si nimeandika mategemeo yangu.. Wapi nimemsema vibaya?

Najua aliandika recently kuwa yupo bizi, soma uzi huu wewe utakuwa mgeni kiaina 🤗
 
huu uzi niliusomaga enzi unaanza anza nikaishia pale alipotumaga ka picha ka mtoto wake na yule binti wa kishua( hata jina nishasahau) kumbe bado mnaendelea tu jamni uwih,,, nipate summary basi
 
Daah aisee Mbaya sana. Pole mno
 
Acha kulazimisha kama vile haujui kusoma. If ulimtumia namba yako wewe kama vile ni Cocochanel sema tu.. 🤣🤣🤣 Ulitaka
Acha ujinga... unaelekezwa unashupaza shingo? Naishi kwa hio 50k ? Yan umecomment taarabu kwamba ulimtumia namba na hela hukutumiwa so what? Ile comment uliiweka ili iweje ? Hukujua inaenda kwenye hadhira? Na mapokeo yanakuwa tofauti ! Tukusaidieje wana jukwaa ? Tuliza kirahage mpuuzi mmoja
 

Rudi class ukasome
Maneno ya mwanzo umetumia nini.. zaidi ya kuonyesha upo hivyoooo eeeeh

Acha kuweka utakavyo wewe.. Wapi nimeandika nimemtumia namba yangu na isiyo yangu..

Kiupole rudi class Mr Ms....
 
Huu uzi umetuletea mengi tangu uanzishwe hapa

Kuna watu wameanzisha mahusiano humu humu hapa

Wapo waliopata connection hapa

Wapo ambao wanatafuta madanga hapa

Wapo wanaojileta kwa insider ili tu nao wale bata.

Lakini mwisho wa siku tupo kujifunza kama ulianza kufuatilia tangu mwanzo utagundua kuna vitu vikubwa sana vya kujifunza hapa

Utaona mabadiliko ya insider from zero to hero na kuna namna pesa imembadilisha pia kitabia.

Nitarudi tena after two weeks, hope atakuwa kashusha mzigo.

Mimi wenu Its Pancho
 
Kumbe watu wanakulana hapahapa
 
Huu uzi umedumu sana,sikutarajia kuja kuukuta leo hapa niliusoma zamani sana
 
Niwape mbinu mbadala yakutokua na arosto,

Tafuta story nyingine uwe nazo japo mbili tatu unafuatilia, mfano kuna mtu humu alitoa linki ya story kumi kali humu JF, kuanzia pale me sipati arosto kabisa,

Ukisoma na comment za wadau, aloo watu wanastori nzuri zimo humu humu na hujawahi kuziona wala kuziskia,… kiufupi JF ni pana sana,,,

kuna stori nzuri zinaweza kukupa kampany wakati huna chakufanya
 
DM ya jamii forums unaipata wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…