Mamaya story yenyewe hii hapaMwaka 2008 niliingia Durban baada ya kuitwa na jamaa zangu waliokuwa huko. Hawa jamaa zangu tuna undugu pia. Kaka yao kaoa shangazi yetu, na pia kaka yetu kaoa dada yao, ni kama tumeoleana, wao wameoa kwetu na sisi tumeoa kwao. Pia hawa jamaa tumesoma shule moja ya msingi japo madarasa tofauti.
Historia fupi kabla sijaingia Durban. Nilifika South Africa toka 2003. Nilifikia Johannesburg. Joburg nilienda kama volunteer kwenye taasisi moja ya kidini ambayo nisingependa kuitaja. Nikiwa naendelea kufanya kazi kwenye hiyo taasisi niliwaomba wanisaidie kumalizia elimu nyangu ya sekondari...
- konda msafi
- kizulu kunitoa roho mapenzi mtoto
- Replies: 3,509
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Huyu harudi Tena? Kama BM X6Jamani huu uzi wa Insider naombeni tusiuchanganye na nyuzi zingine Insider siku akirejea atupatie muendelezo wa story yake ya maisha.Au wadau mnasemaje?
Amtafute wapi??
Kuna watu humu watakuwa wana namba humu.Amtafute wapi??
Boss naomba hiyo link au waweza nielekeza pa kuipata bossKuna link alituma ya dukani na ukiingia instagram nadhani tunaweza kupata mawasiliano au mtu mmoja aliyepo dar aende kwenye hilo duka naamini atapata taarifa flani hatakama hawamjui kwa jina la insider ila unaweza kuuliza kiujanja flani hv ukapata jibu kamili ni muhimu kufuatilia unajua kuna issue za hatar alikuwa anazifanya ikiwemo ile kesi ya kampuni ya babayake irene bongo kesi za vile ni hatar sana kesi nyingi ni uchawi na dhuluma kali na hata lawyer alimuuliza maswalli kama yuko tayari kwa vitu flani kutokea aliona hatari iliyoko mbeleni.waliopo dar wanaweza kutusaidiankwenda dukani pale maana ipo link humu ya dukani na najua ni kati ya duka lake au lile ameshare na yule mama nani yule mwenye baby boy.
Mbona link ipo humu humu ckumbukiBoss naomba hiyo link au waweza nielekeza pa kuipata boss