Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Kwa jinsi ninavoifatilia hii story inabidi unipe zawadi aseeeh, hayo mamillion uliyopewa tugawane aseeeh [emoji23]
 
Ni story nzuri liyojaa uongo nashangaa mtunzi anaiita true story. Kuna gap nyingi haswa yeye kukutana sana na abiria wa kike na wote wakamshobokea...zile trip za kupeleka abiria private posta...pesa zinavyotiririka upande wake nk

Otherwise ni mtunzi mzuri
 
Umeamua kukomesha sasa. Ngoja niendelee na kazi zingine kwanza
 
Kwani unamlipa mzee?? Akiwwka chai ww shida yako nini?? Si usome vingine tu?
 
Hiyo 45M ndio ulikuwa mshahara wa Geofrey Kirenga yule Mkurugenzi wa SAGCOT kwa mwezi huku Per diem yake ni 1.2M
 
fanya hivi kaka
 
Wanawake wote Kuna type fulani ya wanaume mnaipenda mpaka how to behave. The same kwa wanaume Kuna type fulani ya wanawake Ni common kuwashobokea. Ila bana ukweli wivu kwenye bongo zetu Ni real kabisa. Watu wanaweza wakakuua ukiwa na maisha mazuri ukiishi Kama mzungu na huku upo afrika. Ndio Mana watu wakipata hela wanakimbia mitaa ya umasikini wanaenda kuishi mitaa ya matajiri. Yaani ufukara Ni laana ,Sasa kupendwa na kushobokewa Ni ishu. Hapo ulipo umeshatongozwa na wanaume wangapi
 
kama ungeendelea kumwangalia ungeishia kudindisha tu kwa ule uzuri wake na alivyokuwa vile.

[emoji23]
 
“Kaka Ahsante sana ila Bossy wako ni pini asee ni ngumu sana kuwa na mrembo kama huyu Getto afu umwache, ni balaa sana hii Dunia ina warembo wengine tunaishia kula kwa macho.”

Shahid mwenyewe anaconfess ht angekua yy angeforce Kula mzigo hvyo na yy ni rapist in nature...[emoji23]
 

Huo muandiko ni wa kiume mkuu usisumbuke kumjibu huyo ni wale wale wa jana katumia [emoji723] ya kike tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…