Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hakuna mtu aliyekutuma kuanzisha hii thread ulianziasha kwa utashi wako. Kama kukosolewa ndo kunakukimbiza basi kweli hii ni fiction kama wana wanvodai. Mungu mwenyewe anakosolewa iwe wewe, mkuu acha utoto basi.
Kama ni fiction ama la si tatizo kwa kuwa hakuna aliyelazimishwa kusoma... Hadithi za Shigongo wengi walijua alikuwa aunda Unda kutoka kwenye James Hadley Chasse lakini bodo watu walivisoma kuburudisha nafsi zao
 

Watu wa JF asilimia kubwa wako desperate na maisha, wengi ni Jobless, hawana hela, maskini, hawana connection za kukutana na watu wenye pesa.

Story kama hizi wengi wataishia kusema chai, sema JF tunakera sana, watu wa JF wanagubu sana. Kuna mtu anakwambia hakuna mtu anayeweza kulipa bill ya 500,000/= hapa bongo hiv nyie watu mko serious?

Kuna malaya wako snapachat bila 1,000,000 hutoki naye na anakwambia unampeleka 5-star Hotel. Siku nendeni pale Hyatt, Serena nknk afu ulizia malaya utaambiwa wako wa kuanzia 500k-3m mnajua watu mnaona haviwezakani sababu hatuna hela tu. Haya mambo yapo sana hapa Bongo.

Unajua sisi Watanzania tukisikia $2000 tunaona kubwa sana wenzetu wazungu ni pesa ya bia hio, kuna watu wanahela asee.

Insider tunaomba umalizie story tujue nini kiliendelea mbeleni, humu ndani watu wanakuonea wivu tu na wengi humu wanacomment na kujijibu wenyewe. Siku zote mti wenye matunda haukosi ndege wengi, hii story inafuatilia sana na watu, usiishie njiani.
 
Mkuu malizia bana achana na wajinga wajinga
 

Wewe unaonekana una ulimbukeni, wenye maisha mazuri huwa hawajitangazi kama wewe hadharani unaushamba wa kisukuma. Seems unamaisha magumu ila unataka tukuone firstclass.
 
Kama ni fiction ama la si tatizo kwa kuwa hakuna aliyelazimishwa kusoma... Hadithi za Shigongo wengi walijua alikuwa aunda Unda kutoka kwenye James Hadley Chasse lakini bodo watu walivisoma kuburudisha nafsi zao
kuna shida sehemu kwenye suala nzima la uelewa hapa
 
The best thing was to ignore them as shule za kata zimezalisha kizazi kinacho jifanya kinajua kila kitu kwa kuhoji hoji ...ila ni criticism ya mambo yasiyo na msingi...kwenye mambo ya msingi kama bandari, katiba, ajira hutawaona kwakuwa hawana uwezo wa to analyze critical issues... So wewe fikisha lengo lako litimie Kuna wengi wako upande wako na wanafurahia kile umekiwa wakifanya.
 

Unamtetea Nani hapa JF we mama? Kuna hata mtu mmoja amekuomba uwe mtetezi wetu? Tuliza sikio kubwa hilo
 
Ila hakuna aliye lazimishwa kusoma, kama haikupendezi unaipotezea maana Kuna wengine wanaipenda hivyo hivyo ilivyo
Mbona hata mada za siasa, burudani, mahusiano, intelligence nazo pia hatulazimishwi kusoma lakini tunazisoma na penye kukosoa tunakosoa penye kukubali tunakubali. Hivyo chochote kitachoandikwa humu jukwaani kinasomwa sio lazima ulazimishwe na ukiona mada inakuingiza chaka unakosoa vizuri tu kama una point zako umenotice.
Kama ni kwa ajili ya wafuasi wake aiweke pm afu awatag hao ndugu wapenzi wasomaji wa fantasy stories.
Ila ukiiweka public kubali vyote, usitegemee kila mtu atakubali.
Na ukiona mtu anakata tamaa ujue nafsi inamshutumu 'wahuni washanistukia ngoja nile kona'
Anayejiamini ataiweka tu mpaka mwisho afu anapita hivi, anasubiri critics ambazo kiuhalisia ana uwezo wa kuzijibu, mfano mzuri ni malegendary UMUGHAKA na @SteveMollell
 
Hii story inaweza ikaishia njian hivhiv kwa upuuz wenu, sijui hua mnapata ujira gan, hamuwez mkaacha tunao fuatilia tuka storika kwa amani,

Sent from my BKK-LX2 using JamiiForums mobile app
Huu mwisho nilishauona, m binafsi naku support kila la kheri bro, naona hio ndo furaha yao, kenge maji kabisa hawa

Sent from my BKK-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Bwana Hassan Killo, uko Msamvu hapo Morogoro. Usiniulize nimekufahamu vipi, nakushauri tu uache kusumbua watu humu. Eti "nimeruka na mademu wakali Dubai", hapo Msamvu kuna sehemu inaitwa Dubai?

Kwa mfano, hii story ikiwa ni fiction, wewe unapungukiwa nini? Stop this nonsense!
 
Nadhani lawama na hasira zote nizielekezee kwa moderators, namshukuru aliyumpaa ban yule mbaba anajiita 2025.


Nailaumu jf haisimamii haki,hailindi watumiaji. Baadaya yule na wenzake kupigwa ban bado niliona mtu kaandika ujinga Tena nahisi INSIDER MAN hata WhatsApp unaweza ukatupa ujuzi huu ulialoanza kutupa hapa.

Tupatie link wadau tutakuja. Ni wazo langu.

Lkn sitaacha kuilaumu jf na hata ikitaka inipe ban tu. Kuwakosa watu wastaarabu kama INSIDER MAN na Kuna mtunzi mwingine anaitwa UMUGHAKA yaani waandishi nyie muwastaarabu sana. Mungu awalipe mnachostahili
 
We ndio lofa kabisa, mleta story amesema ni story ya kweli ila katika kusimulia anasimulia matukio ambayo hayana uhalisia, hapa lazima aambiwe ukweli. Kama ni kuburudika tu angesema mwanzo kule kuwa ni story ya uongo ila sio kutudanganya.
Awe asema ukweli au uongo ni story yake...hujailipia na Wala hakukulazimisha kusoma..Taifa hili tumelishwa uongo sana na wanasiasa Tena kwenye Majukwaa..hatuna nguvu ya kukemea uongo wao...tunaishia kukatishana tamaa wenyewe kwa ,ambo yasio na tija kwetu.. CCM imetudanganya vingapi kwenye umeme,SGR, mishahara ya wafanyakazi, gas ya mtwara...tumehoji hayo? Tungeelekeza nguvu zetu kukemea hayo..si tungekuwa na nchi Bora kuishi?? Tuache haya mambo ya chuki na wivu usio na tija
 
Mkuu Endelea kushudha Nondo Daah , qchana na hao mazezeta
 
Duh!

Kwa ukomavu na u-smart ulioonekana unao kupitia hii story umeshindwaje kuwapotezea hao wapuuzi?! or it was something u planned?!

By the way tunapaswa pia kuheshimu mawazo yako.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…