Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

The first four episodes were narrated well with eye catching incidents, unfortunately episode #5 you included unnecessary incidents. In the coming episodes avoid narrating unnecessary stories

We nae huna ata mia unatuletea kingereza cha chekechea toto,

Watu wanatafuta hela we umekazania dictionary[emoji1787][emoji1787]
 
Mmeanza UJUAJI WENU KAMA KAWEKA UNNECESSARY INCIDENTS ACHA KUSOMA PUMBAVU WEWE HUJUI UNNECESSARY INCIDENTS ZINATUPUSH KUPOTEZA MUDA HATUNA KAZI ZA KUFANYA WENGINE, WE KAMA, UNAHARAKA ZAKO HUU UZI HAUKUFAI, TENA MTOA UZI KWA HERUFI KUBWA WEKA UNNECESSARY INCIDENTS NYINGI UZI UNOGE AISEE USIWE NA HARAKA YA KUANDIKA ILI UMALIZE WEKA UNNECESSARY INCIDENTS NYINGI KUNOGESHA STORY. ACHANA NA HAYO MAPUMBAVU MAJUAJI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unakuta ata akajanywa ata chai kanakomaa unnecessary incident af vimtu vyaivi ukivifatilia una kuna kina degree ya __ pale chuo x naiv auna ata anko wa kuanzia apa mjin ukigraduate n moja kwa moja makongorosi mbeya[emoji23][emoji23]
 
Screenshot_20230710-183210.jpg
 
Suala la Prisca naomba nikupongeze kwa kuweza kulishinda, kuna watu nimeona wanakumind ila uanaume sio kumla kila mwanamke aliye mbele yako, hata mimi siwez kutembea na mwanamke ambaye simjui na amelewa, UANAUME ni pamoja na kuwa na Self control, kijiheshimu.

Nikupe hongera kwa kujali ofisi yako ila kama hutojali naomba namba za Prisca
 
Mimi mwenyewe nilipata maswali Mara anasema Bab ake Ni injinia Ana fanya kazi Zambia ,Mara dogo kafeli Ada kamtumia milion 1000,000 SAS unajiuliza kwani Bab enu mzazi si yupo na Ana Kaz nzuri tu mbna kuna dalili za uongo kwa asilimia 70

Lkn pia Kama ulikuwa unajitolea brela hyo hela kupata kwa mwaka Ni kawaida pia

Kuwasapoti madogo sioni shida hata mimi home mzee anahela ila sometimes napigiwa simu nilipe ada ya dogo, wazazi pia wanaishiwa pia.

Jamaa nahisi alikua TRA kwa 100% maana kwa tasisi TANZANIA inayo deal na wafanya biashara ni TRA na hizo connection za Kariakoo nahisi alikua TRA.
 
Back
Top Bottom