Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nmesikitika sana.... How come mchepuko hata kama ako preg ndio aongoze league?
Mama J angesimama hapo ingekuwa safi lakini sio mtu inginee... Daamn!!

I smell demise the man who was supposed to be the incharge of everything around him!

Ijumaa itakuja kwa masikitiko makubwa mnoooo...... Kudabanken......
 
Ila kikubwa mwana ako na friends kitoka nje ya nchi so angalau wanaweza wakawa wanaacha maokoto kimtindo ukiangalia wao uchumi wao uko poa kuliko akina Tz
 
roho nzuri wakati anawachanga kama karata,

mnaongea tu kwa vile ni simulizi
Unajiskia kweli au basi, maana nikiendelea wasije kusema nimesaidia kuwatangazia azam biashara yao burudani kwa wote, au Kilimanjaro lager kiburudisho cha taifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu kama tulianza pamoja nilisema story itabase kwa watu waliokuwa na impact kwangu, sijataka kugusia maisha yangu binafsi.

Kwa upande wa marafiki wa chuo nilikuwa nao wachache sana kama Aggy nilimwongelea, na pia kuna mmoja nitamgusia mbele kidogo. Hawa ndo walikuwa partners wangu, marafiki zangu wengi walikuwa niliosoma nao Advance na olevel ila hawa wa chuo wengi ni wanafiki tu.

Tyna - Tumekua naye japo alikuwa ni rafiki wa dada yangu.

Aggy- Tumesoma wote Olevel mpaka chuo

Dav- Huyu tumepiga wote Advance mpaka chuo alikuwa anasoma Finance utamkuta mbele.

Sijataka kuweka maisha yangu binafsi kwenye hii story ila marafiki ninao napia wa Taasisi X kuna moja nilimgusia alikwenda Europe kusoma kwasasa yuko Canada.

Kwa upande wa chuo hakunaga rafiki na mimi nilikuwa mtu wa mambo yangu. Pia nina zile sifa za “ANTI-SOCIAL.” [emoji23][emoji23]
Nimekuelewa Budah..unatisha Baharia.
 
Mwamba anaanza kukera sasa.

Kuna wa kuwapa umuhimu na kuwaacha, mbona makosa mengi sana kuelekea kikao
 
Daah! Yani unaenda kwa bosi na mchepuko tena isitoshe bosi ana ukaribu na mkeo? Hapa sasa ule ugentle hamna yani nimekutapika mtu wangu...
 
episodes zinazofata ni pigo kwa insider mixer regret za kutosha.
 
Back
Top Bottom