Kelvin35
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 698
- 1,112
siyo utani bwana, jamaa kasema kua yule dogo hatuko nae tenaNimecheka japo ni msiba ngoja niende.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo utani bwana, jamaa kasema kua yule dogo hatuko nae tenaNimecheka japo ni msiba ngoja niende.
Hujasoma alienda Kondoa kwa Mama 😂na alisema JR ni mweupe kama yeye ukiacha weupe wa Mama Jr mchaga 😂Kwayo kumbe INSIDER MAN ni shemeji yangu wa Kaayi kbs?..aka jamani INSIDER MAN Joole?
siyo utani bwana, jamaa kasema kua yule dogo hatuko nae tena
Oya kaka yako Chizi Maarifa simuoni kwenye huu uzi🤣Huna akili
Hujasoma bado simulizi ya Peniela weweHivi tumeshakubali wote kuwa hii story ni bora zaidi kuliko yoyote ambayo ilishawahi kuandikwa hapa jamvini Jf??
Wikiend watu huwa wanalewa sana sishangai comment yako kabisaHata kama Eva amelewa narudia hakuna demu wa udsm anaweza kufanya usenge kama huo.
Unajua nguvu ya pombe ww?Chai.Eva sio mpumbavu kiasi hicho anasoma chuo
Najua sio utani ila namna uloleta ndo imenichekesha
[emoji28][emoji28]hajui huyoUnajua nguvu ya pombe ww?
Hajui mambo huyo Unaweza mtongoza hata boss wako wa kike na akaingia kingi vzuri tu[emoji28][emoji28]hajui huyo
Japkas umesoma hii comment nilikwambia KWA masters yangu ya Cuba na Vietnam ndoa iliendeleaKuna mtu humu ndani aliandika nilikuwa sina mipango ya maisha kama kufungua biashara nk, niseme sitaki kushare personal life yangu humu ndani ila nin miradi mingi ambayo nai run.
Kitu cha kwanza niliona kwanza ni busara wife akawa na miradi yake ili kupunguza dependecy kwangu, na hizi ni project ambazo tulizijadili na wife ilikua April, 2022.
View attachment 2768463
MCHANGANUO.
1. Biashara ya kwanza ilikuwa ni butchery ambapo wife angeuza Kuku, samaki, Mayai nknk, changamoto ilikuwa kuanza ni mahitaji mengi yangehitajika kuanzia frem, ukarabati, mashine nknk so cost zilikuwa kubwa sana, tukaipiga chini.
2. Biashara ya pili ilikuwa ni kuuza nguo za watoto na tulianza kufanya Research namna ya kupata suppliers wa mizigo nknk, mizigo ni China na Uturuki lakini kwa Uturuki kwa nguo za watoto wako vizuri. Ilibidi nimcheki jamaa yangu yuko Ulaya nilishandika baada ya kutoka kwenye ile taasisi yeye alikwenda Ulaya kusoma, sasa alikuwa ana connection za huko, niliomba anisaidie kufanya Research
View attachment 2768476
Changamoto ilikuwa ni mtaji wa kuagiza mzigo mkubwa, maana mzigo mdogo ungekata sana hata faida isingeonekana. Tukashauriana tuachane nayo tutadeal nayo baadae,
3. Biashara ya 3 ndo ambayo tunaifanya mpaka sasa na inafanya vizuri na ipo chini ya mchaga wangu mama J. Masuala ya fedha ofisi ipo Mbezi Beach pamoja na biashara ya Vinywaji ila zipo maeneo tofauti. Ukirefer post zangu za nyuma nilishawai kuja humu ndani kuomba connection za kreti na chupa za soda, ilikuwa kwaajili ya hii Biashara.
4. Biashara ya 4 na 2 Wife ana mpango wa kuja kuzifanya baadae akimaliza chuo.
Kuhusu mama J sina shida naye anafanya vizuri sana na ana akili ya biashara sana, anajitegemea kifedha ukiniuliza ni lini nimempa pesa za matumizi nimesahau. Matumizi ya home anatake care mwenyewe labda mimi niwe safari ndo nitakuja na Kuku, mafuta nknk ila pesa zitoagi.
Hata leo nikifa naamini Junior hata pata shida maana mama yake ni mchacharikaji atakuwa sehemu salama.
Mimi niliamua kuwekeza Dodoma ndo mpaka sasa na project zangu huku,
Mnaomdharau Mama J wangu kwenye hii story poleni sana, namuheshimu sana huyu mwanamke, anahudumia watoto church, anasoma bado anasimamia biashara na zinakwenda vizuri.
Leo hii baada ya kutoka church wife kanambia anataka December aaagize gari yake mwenyewe, nimefurahi sana baada ya kupata hizi taarifa.
Usijaree Kabesaaa ujumbe umefika japo kazingua sanaaa!!Shukrani nimefika popote utakapomuona Eva toa taarifa kuna zawadi nono itatolewa ukifaniksha hilo
Ukisema ni chai hapo tunakuelewa kuliko kusema "TRUE STORY "Chai ya leo itakuwa ya moto sana, muda ni uleule ndo niko jikoni hapa nawaandalia.
Hakusoma tu alama za nyakati ......ila kikawaida naona hakuwa na kosa kabisaUsijaree Kabesaaa ujumbe umefika japo kazingua sanaaa!!
CHAI CHAI ma chai si unywe ushibe ukojoe uka
We mbwiga Kama chai kwa nini usiwaachie wanaokunywa,ukae kimywa pembeni. Kitu gani kinakuwasha uwe mbele mbele kitu usichoridhika nacho. Na jina lako la mipashoCHAI CHAI MZEE
Hivi haijaendelea??? Leo Ndio natia maguu saii!!Hakusoma tu alama za nyakati ......ila kikawaida naona hakuwa na kosa kabisa
Apumzike kwa amaniJamani wakuu tukaomboleze kule kwa BM 6X, kijana wa buguruni katutoka aise, msiba ni ibada!
ameeApumzike kwa amani
Daaaaa sa itakuwajeMaguire kama kawaida yake, ashachoma kibanda maniner!
Unanikera kifala sana mwanangu. Yani shida kuu kwenye mahusiano yako yote ni kukosa mipaka. Kwa lifestyle yangu, huyo Eva asingethubutu hata kuisogelea hiyo meza niliyokaa na Iryn!
Nimepoteza matumaini kabisa ya kushinda hii mechi. Maana foward butu, beki Maguire. Potelea mbali.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo ni kwa standard yako lakini. Sio lazima wote waifwate standard ya kumaskini hivyoUONGO UONGO MWINGINE.
Yule Masai wa wavuvi camp alimpa laki 2 na iryn akaongeza laki 3 jumla laki 5.
Hata uwe Tajiri na exposure kibao hela hazitolewi ovyo kiasi hicho.