Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tunavosubiri episode zinazofuata toka kwa "Magwaya" tuendelee na mada za majibwa..

images.jpeg-1.jpg
 
tena kakukuta upo me jinsia ya ke, labda kama ya yy alikuwa anamtaka mwana, hata hvo hapana,
Huyu jamaa alifuta comment YANGU saa tisa usiku wa leo baada ya kuona namuambiaa ukweli.....anazingua.... Kabla hajapost story anawapanga wajinga psychologically.....nahisi akiiona hii comment ata Ni ignore coz nahisi namusoma mawazo yake.....sh!!!!t
 
Niite franckkimm..... A.k.a the REDFROG.....tutampinga INSIDER MAN....mpaka akiri hii storiii Ni fictional TU!!!!!....pia atoe lile neno TRUE aweke FICTIONAL Hilo tuu!!!....pia mwambieni huyo ndugu yenu na moderators waache kufuta comments zangu kwenyee huu uziii....natoa maoni yangu binafsi why ufute comment Kama situmiii lugha ya matusiii????.....#JUSTICE.....
 
Unampinga mtu amber hana time na wewe huoni kuwa wewe ndiyo jinga la mwisho kama unaona ni uongo kwanini uko kwenye nyuzi za wanaume wenzio embu jifunze kufuata mambo yako mtoto wa kiume wewe,
 
We ndio kenge kwenye msafara wa mamba....iq yako Ni ndogo Sanaa.....dialogue zinawadanganya.. akili zenu za kufikiri Ni ndogo sanaaa.....
 
Niite franckkimm..... A.k.a the REDFROG.....tutampinga INSIDER MAN....mpaka akiri hii storiii Ni fictional TU!!!!!....pia atoe lile neno TRUE aweke FICTIONAL Hilo tuu!!!....pia mwambieni huyo ndugu yenu na moderators waache kufuta comments zangu kwenyee huu uziii....natoa maoni yangu binafsi why ufute comment Kama situmiii lugha ya matusiii????.....#JUSTICE.....
Kwani wewe mkuu unaathirika na nini story ikiwa fiction,mbona watu mnapenda shari bila sababu aisee?
 
We ndio kenge kwenye msafara wa mamba....iq yako Ni ndogo Sanaa.....dialogue zinawadanganya.. akili zenu za kufikiri Ni ndogo sanaaa.....
Kati yangu mm na wewe mjinga au kenge ni nani, matusi ya nini hapa, hujatukanwa unatukana watu, umeona jinsi uwezo wako wakufikiri ulivyo mdogo? Acha ujinga bwana mdogo, jiheshimu uheshimiwe, na siyo kila mtu anafaa kutukanwa,
 
Kwani wewe mkuu unaathirika na nini story ikiwa fiction,mbona watu mnapenda shari bila sababu aisee?
Na ww iq yako ndogo.....kwahiyo umeridhika na title ya story????....mfano angesema FICTIONAL Nani angempinga humu???....niambie Nani angesema story Ni chai????....inshu kuuu hiyo kusema true story tu anawapanga wengi....tofauti ya Mimi na ww Mimi nimegoma kuwa kilaza Kama WW Ni Hilo TU kaka
 
Kati yangu mm na wewe mjinga au kenge ni nani, matusi ya nini hapa, hujatukanwa unatukana watu, umeona jinsi uwezo wako wakufikiri ulivyo mdogo? Acha ujinga bwana mdogo, jiheshimu uheshimiwe, na siyo kila mtu anafaa kutukanwa,
Kwenye comment yako umeniita 'jinga la mwisho"..... anyways muda sio mrefu na ww utaanza ku scroll down Kama wenzio saivi wana admit
 
Back
Top Bottom