Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Niliwaahidi ntawapostia leo jumapili saa 2200. Muda huo nikataka kupost mara simu ikaita. Lucy alikua anapiga anataka nimpeleke golden fork. Ikabidi niende kumfata kwao kimara. Tukiwa tunaenda golden fork mara muda huu simu ikaanza kuita kumbe ni jane anapiga.

Anasema mbwa wamekula pilipili pili. Ikabidi nmshushe lucy niende mbweni kwa jeni nkaone.
[emoji1787][emoji1787]
 
Inaendelea......

Simu yangu ilianza kuita, kucheki alikuwa camilla binti wa mzee juma.
"mambo insider vipi utakuwa na nafasi leo jioni tukapate dinner? Alafu kuna mzigo wako kutoka kwa dady"

Niliwaambia camilla anapenda sana kudeka na uzungu mwingi, ile sauti yake tu nikashindwa hata kumkatalia.....
Baada ya kumaliza dinner camilla alinikabidhi bahasha na kuniambia "huo mzigo wako insider, dady amesema utakusaidia na kukusogeza mpaka wiki ijayo atakaporudi......nilimrudisha camilla kwao na kabla sijaondoka nikafungua ile bahasha ya A4 ndani nikakuta burungutu la elfu kumi kumi zimefungwa kwa haraka haraka nikahesabu ni kama million saba hivi mzee juma alinipa ya matumizi, nikasema hii nitaanza kumlipa mama wa2 mkopo wake.....
Life is Good[emoji23]
 
Mm ni ngekuwa ndio INSIDER MAN mbak asaiv ningekuw nalipa namba ya tigopesa, mpesa na Airtel money😁
 
Baada ya kuhesabu hela na kukuta ni milioni 7 nikaishia kufurahi sana, nikawaza nusu nikalipe mkopo kwa mama wawili na nyingine nimtumie mzee Mollel kwenye ujenzi. Baada ya kupeleka hela ile kwa mama wawili akaishia kunisifia kwa uaminifu na akaniahidi siku nikihitaji mkopo mkubwa zaidi atanichukulia. Pia kwa upande wa mzee Mollel aliishia kunisifia kwamba nipo siriazi na ujenzi na utakamilika hivi karibuni.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787]watu jamani
 
Baada ya kuhesabu hela na kukuta ni milioni 7 nikaishia kufurahi sana, nikawaza nusu nikalipe mkopo kwa mama wawili na nyingine nimtumie mzee Mollel kwenye ujenzi. Baada ya kupeleka hela ile kwa mama wawili akaishia kunisifia kwa uaminifu na akaniahidi siku nikihitaji mkopo mkubwa zaidi atanichukulia. Pia kwa upande wa mzee Mollel aliishia kunisifia kwamba nipo siriazi na ujenzi na utakamilika hivi karibuni.

Insider alioshewa mfedha fedha utotoni anabahati ya kupewa hela tu hamuwezi kuelewa wengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kupitia story hii nimeamini mimi ni mshamba lwa sababu sehemu zote za starehe ulizotaja sijawahi Ingia hata moja. Nadhani labda kutokana na kuwa situmii kilevi[emoji51]

Naishia kusoma mitandaoni mara kidimbwi
Kama nimekumiss hivi
 
Tunacheki Game ya Singida tukiendelea kurefresh....,

Uzuri nakunywa maziwa, kahawa, tangawizi na zote zinapita fresh bila tabuuu....,

Coz najua hata iwe true story, iwe chai, iwe Tangawizi, Iwe kahawa au true story hainiongezei chochote kwenye maisha wala kunipunguzia chochote zaidi narefresh mind kwa kusoma na kupata baadhi ya madini mdogomdogo tukisonga.

Mkuu INSIDER MAN uko njema Boss endelea kutupa kiburudisho hapa kila mtu atajua mwenyewe kama ni kuchuja au kupooza poa
Umekunywa supu ya mawe
 
Hapo ndipo nilipo gundua manuel ni kitombi.

Alafu mimi nimeuvaa uhusika wa Manuel, nakula mema ya dunia pisi world wide.
 
Insider akamatwe afungwe jiwe kubwa shingoni akatupwe katikati ya bahari, haiwezekani akatupanga kiasi hiki *****, hii ni chai iliyochanganywa na mchaichai mamaee.
Inywe chai kama tamu, hii stori kuandika si kazi rahisi na akiamua uzi ana udirect kwenda telegram unalipia link.
 
Back
Top Bottom