Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Dem Kuna siku alikuwa na special anatak nimfundishe.... Nkamwambia tafuta location...... Saa ngp hatujaenda masaki uko fish monger.... Aani wenzie wnaenda chuo sisi tunaend uko restaurant nkasema achenii hizi elaa.... ziiwe ela
Tupambn wanetu wasije lia na kupost link za free gift maake ni KUBAYA[emoji1787]
Hawasumbui na Mimi stakiii madem wanaolia shida khee.......
Huez Amin Dem anasema ukianza tu CPA tuanze wotee make ntakuwa na mtu atakae nifanya nisome.......

Hapa hata ada za CPA anakulipia kabisa [emoji23]
 
By the way...... Kuna watu Wana hela sio mchezo kipind nipo IFM om ni sinza tuu apo Ila Kuna dogo alikuwa usafiri wake BOLT...... hajawah panda dala dala na alkuwa anaish sinza A hii iliopo opposite na MLIMAN CITY..... sku moja nkamshawish tupande mwendkas anisndkze UBUNGO maji pale...... Anatka kulia kulivobanana kweny gari[emoji16][emoji16]

Sasa bhn Kuna siku tukiwa campus maeneo ya canteen pale..... Akashangaa mtu anakula ugali na dagaa wa mwanza like what is this? Like seriously!! Nkamwambia hapana kila mtu ana favorite food na maeneo tuliyotokea plus uchumi........
Huyo kalelewa vibaya,wazazi wakiishiwa anaolewa kama cocastic wa jf
 
Ulizingua sana mkuu! kwahyo hujui kinachomliza Iryn au sio? Then unaondokaje unamuacha mwanamke analia? Alafu eti unamwambia kua huelewi analia nn wakat hamna mahusiano dah majibu ya kikatil sana man, wewe umeambiwa mara ngapi na Lucy kua boss wenu anakupenda?! Alafu mama wawil anapata wap ujasir wa kukupigia usiku simu na anajua ww mume wa mtu, otherwise unambie alikua anahitaj usafir( alikupigia kama dereva) . Leo nimeshindwa kucomment kimoyomoyo episode hiz mbili ulizingua sanaa yan
Yeye nadhan anaogopa akilala na iren atakosa ugali wakati ndo mamb yange kuwa faya...uboss hausian na relationship hata sku 1,kweny relanship man anabaki kuwa man na mwanamke anabaki kuwa mwanmke(CODE)
 
Hakuna mtu Ana stress mnachoshidwa kuelewa ni kwamba .

Mambo anayoongea jamaa hayaendani na uhalisia wa hali halisi ya maisha hata kama unalipwa million 5.

From no where haiwezekani umpe.mtu laki 2 bila mpangilio hapa umetupiga.

Flow yako ya kutoa hela na kupokea imeonekana ni nyepesi.

Jamaa ni chief Godlove aliyechangamka
Unajuaje kama hakupanga?,kuna watu hiyo Iaki 2 ni hela ya vocha
 
Ina kautruu stori kidogo
Mkuu Riwaya za kijasusi zinawekewa sana vikwazo na Serikali nyingi sio Bongo tu ni kote duniani
Watu hata kama sio walengwa hujihisi ndio walengwa so wanahisi kama Jamii inasanuliwa kimtindo.
Unaweza ukahisi unafanya jambo dogo but, wao wakiingia kwenye maana zao ndio utaona ilivyo big issue.
 
Back
Top Bottom