Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Maguire akiscore dunia nzima inafurahi.
Hujatuambia mkuu ulikuwa unamkula iryn wetu na zana au nyama kwa nyama?
Sasa zana za Kazi gani kwenye jukumu kubwa kama hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maguire akiscore dunia nzima inafurahi.
Hujatuambia mkuu ulikuwa unamkula iryn wetu na zana au nyama kwa nyama?
N:B Ndugu mfuatiliaji zingatia hii statement kwa makini sana "Stop disrespecting my woman"Mbona kama huyu dada namjua hawa ni wale wauzaji wa hapa mjini, stop disrespecting my woman [emoji120]
Kuna Teacher Mmoja Msukuma pale Juhudi alikuwepo anafundisha Chemistry hakuwahi kukubananisha nishamsahau jina ila ninafahamiana naeUkifika Juhudi Secondary pale gongolamboto miaka ya 2012 utakut historia yake.
Tusimulie basi zile tabia za hovyo hovyo za ma cerebrities wa bongo uliokutana nao pindi ukiwa driver
Kuna Teacher Mmoja Msukuma pale Juhudi alikuwepo anafundisha Chemistry hakuwahi kukubananisha nishamsahau jina ila ninafahamiana nae
Ulijuajeeeeee soon nahamia Dom kama sio moroo🤠! Hivi Dom wilaya gani nzuri kwenye aspect zote??
Santroo sana sis nimefikaaa! Ngoja nianzie nilipoishia sijui hata napakumbuka lol!!
Umaskini unatufanya tuwe wachoyo [emoji24][emoji24]Kwa kipindi cha miezi 8 tangu nikutane na Iryn hakuna hata siku moja ambayo mimi niliwahi kumwomba hela au kumkopa. Hili jambo kumbe lilikuwa linamtesa sana Bossy lady na alikuwa anajiuliza sana hata baada ya kujua nilimkopa pesa Muajemi alimind sana.
Muda wote alikuwa anajiuliza sana, hivi huyu Insider vipi mbona haniombi pesa wala kinililia shida zake?.
Ipo hivi, mimi nilivyo huwa sitegemei pesa ya mwanamke kabisa na niseme nina bahati ya kukutana na wanawake wenye pesa au wenye hali nzuri za kimaisha hata kuliliwa shida ni ndoto kwangu.
Mama J tangu tuanze mahusiano pesa kubwa aliyoniomba ni 100,000/= na kwao wako vizuri hawana shida. Pia hata yeye ni mpambanaji anamake pesa zake na kitu kingine mama J wangu sio mtu wa marafiki wala kujichanganya.
Wakati tuko Dodoma lengo langu lilikuwa nikipata pesa ya kodi ndo nimpe Mzee Mollel lakini nikasema acha leo nimwombe Iryn na plan yangu nilitaka kumfanya afurahi na niendelee kumsogeza karibu kwangu.
Hata Iryn alivyonipa ile card nilijua ni Trap ndomana nikatoa pesa ambayo ninashida nayo, lakini aliumia kwanini nimetoa kidogo.? Kwa upande wake alifikiri ningetoa pesa mingi sana kumbe sina hata huu muda.
Unajua ningeanza kuwa ombaomba toka tunakutana angenidharau sana na heshima ingeshuka na ningekuwa manipulated. Nilifanya kila mbinu kumuweka close na nilihakikisha anakuwa na furaha muda wote na hata asitamani mtu mwingine wa kufanya naye kazi, zaidi yangu na hili nilifanikiwa kwa 100%.
Kama pesa Iryn anazo ni Bilionea tayari afu ana umri mdogo tu mpaka sasa ana 25 yrs kama tuko pamoja niliandika mwaka alozaliwa. Just imagine mama yake alimwachia pesa kibao, bado aliachiwa nyumba zile kodi zinaingia kwake, bado kuna organization ambazo mama yake alikuwa ni shareholder na anaingiziwa kamisheni mpaka sasa. Ukiachana na haya bado huko Ethiopia mama yake aliacha assets zingine na pesa zote zinaingia kwake.
Baada ya kwenda South Africa baba yake alimkabidhi nyumba ya Masaki waliyokuwa wanaishi zamani na anapata kodi. Bado ana biashara anafanya za massage zinampa pesa kibao, bado ana salon bado huko Ufaransa ana kampuni na Grizmann.
Mama Janeth anampa pesa za matumizi kila mwezi, mzee wake naye anamuingizia, Grizmann alikuwa anamwekea baada ya kuachana ndo alistop, kuna mjinga Muajemi naye alikuwa anaingiza bila ridhaaa yake, bado kuna mamkubwa wake wa Ethiopia anamuwekea bado kuna rafiki wa mama yake nao huwa wanamwekea pesa.
Nilikuja kujua Iryn anapesa sana kuna muda nilikuwa nawaza huenda ni Jasusi nilikuwa nina wasiwasi sana.
Iryn hana stress ya maisha kabisa na nilijifunza kitu kimoja future ya maisha ya mtoto mzazi ndo anatakiwa aitengeneze na sio mtoto. Kama sisi hapa tunapambana lakini wazee wetu walifeli kututengenezea chaneli ya maisha, kuna sababu nyingi umaskini nknk. Kama mimi hapa now natakiwa nitengeneze future ya Junior ya hapo badae hata akikuwa anakuta mzee nilishaweka njia tayari.
Kitu kingine nilichojifunza kwa Iryn ni mtoaji na ana roho nzuri sana, anatoa sana misaada kwa yatima na wenye uhitaji hata lile tetemeko la Turkey alidonate. Hii Roho na tabia amerithishwa kutoka kwa mama yake kutokana na mambo ambayo mama yake alikuwa anayafanya mbele yake kama kwenda kwa vituo vya watoto yatima nknk.
Wanasema mtoto umleavyo ndivyo anavyokuwa embu jiulize kuna siku mzazi wako alishawahi kukupeleka kuwatembelea watu wenye uhitaji?, katika watu 100 kwa hapa Tanzania unaweza usipate hata mmoja.
Hili suala hata mimi nalifanya sikuhizi nikienda kuwatembelea watoto yatima nakwenda na Junior na ninaacha anacheza nao. Naamini akija kuwa mkubwa ataendelea na hii tabia ya kuwatembelea wenye uhitaji.
Iryn anapesa sana Mama yake alikuwa Tajiri na baba yake ni Tajiri anapesa chafu na anampenda binti yake balaa.
Kuna msemo mimi huwa naupendaga sana na unasema,
BETTER LATE THAN NEVER BUT NEVER LATE IS BETTER.
Kwa upande mwingine nimeingia Dsm na Tanesco wamekata umeme.
Barikiwa sana cousin thanks kwa tag.. naona inaenda ukingoni I guess Insider atachukua chuma ( Iryn) kws upande wa mama J sijui itakuaje kwa akijua anashare tamu yake na Iryn shost ake wakushibana! au atakubali washee mwamba as mke mkubwa na mdogo🤠
IRENE....., Code zishafunguka au nitaje mpaka jina lake...., ofisi zake....., Na kwa hyo Bi mkubwa wake ambaye now hayupo TZ[emoji28][emoji28]View attachment 2781966
Thanksssssss mkuuu naona mamboo yanazidi kuwa mazuri kwa Insaida finally boss lady kaingia kwa himaya yakeee kasarenda na kusaluteeee ariririhhhh🤸!Antonnia episode 65 hewani.
Noumaaa nanusuuuu mnywanii!!Kumbe mikasi na mitungi kama yote
Ndo ukashindwa kumwambia Irny apige picha na nyama, si tungemuona sasa.Hii ni moja ya picha niliyochukua huko MondoView attachment 2781992