Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Insider alisema Disemba Iryn anakuja Dar na Dodoma kuna project wanataka ifanya, kama Iryn angakuwa na mtoto 100%
Kwani jamani mtu akiwa na mtoto ndio aongozane naye kila mahali?
Mtoto anaweza akaachwa chini ya uangalizi wa ndugu kama kuna uhitaji wa kufanya hivyo kwa muda mfupi...