Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IFMUDSM/UDOM
Story nzuri heko kwa INSIDER MAN tatizo humu story zinaanzaga hivi ghafla confession tunakutana na mbio za akina UMUGHAKA ...
Mara nipo bunju boda boda najipanga kidogo nachopata kinanitosha na mama junior wangu.
Kuwa na amani mkuu no hard feelingsMbio za kina UMUGHAKA kvp?
Pole mkuu.....ungetuelezea ili uzi usogee tusiborekeLeo niko Coco Beach chimbo la INSIDER MAN huku mwisho kabisa, najiliwaza baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani
View attachment 2856769
Mkuu yule masai wa kuitwa Baraka ndiye huyu ambaye wiki mbili zilizopita nilimuona akisafiri na Kalito samaki(mmiliki wa samaki samaki) kwenda ulaya, au ni mwingine? [emoji4]Chuo kina herufi ya M mwishoni
mmmmh chuo kina cafeteria mbili ------codeChuo kina herufi ya M mwishoni
Subiri mtu akichanganye umpelekee moto hahahaLeo niko Coco Beach chimbo la INSIDER MAN huku mwisho kabisa, najiliwaza baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani
View attachment 2856769
Pole mkuu.....ungetuelezea ili uzi usogee tusiboreke
Dar es Salaam (m) Dodoma(a)UDSM/UDOM
Mzee wa chuo cha Mipango hapo chuo kitabu chake kina mashairi na tenzi za rohonu kishenzi hasa ngazi ya Masters!!! Mchakamchaka wake si wa kitotoINSIDER MAN leo nimemuona mchuchu mmoja ni kama ana match profile ya Iryn...
Alikuwa ni msafiri wa ATCL Dom-Dar, mchuchu mmoja hivi rangi ya mtume, ukimtazama kama ni mixer ya mzungu na watu jamii ya Waarabu, Wahabesh au far East Asians...
Kavaa summer dress with batik print, ako na brown sun goggles, mkononi anakokota suitcase ya damu ya mzee...
Nawe pia chief ila kwenye maisha ya ndogo zetu labda Hawa shweitan CCM watoke MADARAKANI [emoji1][emoji1]Happy new year kwa ndugu zng wote tuendelee kupambana ili tuishi katika maisha ya ndoto zetu