Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko kama mimi! Stori ya maisha yangu ni Jack Daniel kama sikosei.Katika nyuzi bora humu na zenye mafunzo nilizozisoma humu ya kwanza ni ile "NAITWA ANALYSE NA HII NDIO STORI YA MAISHA YANGU" na yapili ni hii yako.. INSIDEE..
Nyie mnajua kulezea na halina mba mba mba.
All the best to you
Kizota mkuu...Ofisi yako iko sehemu gani hapo Dodoma?
Kampuni moja mkuu. Nipo kiwandani tunazalisha Mabati lakini kiwanda chetu ni wakala mkubwa wa kampuni ya tailes Goodwill.Mkuu Bancoc,
Unauza mabati na tiles za makampuni tofauti tofauti au ni kampuni moja?
Inawezekana mkuu,hivi mtoto wa siku moja tu unaweza kujua kafananaje
mkuu unaendelea liniMpak sasa sijapata Invitation. Wana JF ni wachoyo sana 🙌🏿
20:00mkuu unaendelea lini
Nasubiri mkuu20:00
Kwakuwa hujasema saa 20:00 ya siku gani basi nafikiri ni jumapili ijayo maana ya Leo imeshapita.😅😅20:00
Pasaka hujaalika mtu baba JMpak sasa sijapata Invitation. Wana JF ni wachoyo sana 🙌🏿
Uongo kivipi?INSIDER MAN uongo umeanza lini? Leo si tar 7 jamani