Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Zenji utaenda na Hilda
Gari utampa kizoka ep 14
Gari utampa kizoka ep 14
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichukulie serious sana brother, ni story tu. Kwa ujanja aliovalishwa huyu main character wetu, lazima atakua anajua suala la kupata ticket feki ni suala dogo sana. Simu mbili tu, unapewa ticket inayoonyesha ulienda sayari ya pluto, hadi hoteli uliyofikia huko kwenye mabarafu!Una rafiki wa dadaako anafanya kazi airport!!! Ambae kipindi Cha nyuma alikusaidia kupata tiketi za kwenda Dodoma!
Kwanini hukuwaza kumtumia huyo kwenye swala la tiketi za Kenya?
Aaaaaaahhhhhhh acha bas mkuu 😂Usichukulie serious sana brother, ni story tu. Kwa ujanja aliovalishwa huyu main character wetu, lazima atakua anajua suala la kupata ticket feki ni suala dogo sana. Simu mbili tu, unapewa ticket inayoonyesha ulienda sayari ya pluto, hadi hoteli uliyofikia huko kwenye mabarafu!
Pale kariakoo hata mihuri ya ikulu unaipata, sembuse ticket za ndege? Ni script yetu ndio ilitaka tu hilo suala lionekane gumu ili kutengeneza suspense kwa msomaji.
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.
1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)
2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).
Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.
NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
Utaongozana na maryNdugu zangu naongeza 50k nyingine.
1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)
2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).
Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.
NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
RealI'm perfectly fluent in French and English, I think I can only compare myself to IRENE of INSIDER, but I doubt you can speak either of those two languages.
Inahusu maisha. wenzetu wanaishi huku TUKIWASINDIKIZA tukiwa hatuna maono na bahati tukijawa na uchungu tukiishi ndani ya mstari wa maisha ulioandikwa katika hatima na vinasaba vyetu.Inahusu nini hii story najiona daily naipotezea huyo dada ni jini au tapeli naombeni kwa ufupi na je ni fiction au reality?
Kuna nyimbo inaitwa Zali La mentali ya Prof. J.Inahusu nini hii story najiona daily naipotezea huyo dada ni jini au tapeli naombeni kwa ufupi na je ni fiction au reality?
kwaio ushaur wako n upi hapoKuna nyimbo inaitwa Zali La mentali ya Prof. J.
Prof J alikuwa anasukuma mkokoteni, akajikuta mkononi mwa demu mmoja wa kitajiri. Pisi matata
Ila mwandisi insider alikuwa anaendesha USER, akajikuta mikononi wa pisi matata yatajiri. Imebadilisha maisha yake, maono yake....story nzuri sana
Story ina udambwi udambwi mwingi
1. Romance
2. Billionaire
3. Betrayal
4. Crime
5. Fantasy
6. Mystery
7. Humor
8. Erotica
Hii story ukiitia kwenye television drama inakuwa bonge la story.
Ushauri wangu soma utaifurahia
Hapana siwezi!Hutaki kubashiri?
Unaenda na irynNdugu zangu naongeza 50k nyingine.
1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)
2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).
Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.
NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.