We Fala tu hujawahi kushikwa kinyeo au kupandwa kichwani na wanawake, na ndo mnaambukizana huu upumbavu mifumo jike nyie. Ila sisi kunyanyaswa ni haki yao.Kunyanyua mkono na kumpiga mtoto wa kike ni kosa kubwa sana kwa mwanaume aliyekamilika kulifanya
Wewe ndo mkeo au mtu wako anaongea na X wake mbele yako ungechukua hatua gani ambayo ungezuia mihemuko.