Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Kwanjis unavoongea niwazi hunaujualoSio kweli.
Fuata taratibu za kufanya hiyo biashara uone kama utakamatwa.
Next time tafuta vibali kutoka fisheries alafu safirisha mzigo wako, cha kwanza uhakikishe hao samaki ni size inayokubalika, hakikisha umepata kibali cha kusafirisha, hakikisha umelipa ushuru au tozo eneo lile ulilokusanyia.
Ukikamilisha hilo polisi akikukamata usimpe hela mwambie akupeleke kokote anakotaka. Kwa taarifa yako polisi hawana uelewa na mambo ya sheria za uvuvi kikubwa wanakudandi wakiona una samaki wadogo na wakiuliza kibali cha kusafirisha huna ndo ushaingia hasara.
Watu wengi mnatoa hela kwa polisi kwa sababu huwa tangu mwanzo hamjafuata utaratibu wa biashara ya samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi sehemu ya Tanzania unayoishi ina polisi wa kipekee. Siongelei mada ya muanzisha uzi pekee bali kwa ujumla. Tanzania ndio nchi pekee Polisi hana mipaka. Polisi wa doria anaweza kujitwika uhamiaji, maliasili, traffic hata uanajeshi pasi na kuwa na uelewa wowote wa hizo field husika. Na ukimshinda kwa vielelezo atakupa kesi yeyote tu si kwa vile una hatia bali kwa vile ana uwezo wa kufanya hivyo. Wengi wanaotoa hongo si kwamba wana hatia bali wanaepuka usumbufu tu.Sio kweli.
Fuata taratibu za kufanya hiyo biashara uone kama utakamatwa.
Next time tafuta vibali kutoka fisheries alafu safirisha mzigo wako, cha kwanza uhakikishe hao samaki ni size inayokubalika, hakikisha umepata kibali cha kusafirisha, hakikisha umelipa ushuru au tozo eneo lile ulilokusanyia.
Ukikamilisha hilo polisi akikukamata usimpe hela mwambie akupeleke kokote anakotaka. Kwa taarifa yako polisi hawana uelewa na mambo ya sheria za uvuvi kikubwa wanakudandi wakiona una samaki wadogo na wakiuliza kibali cha kusafirisha huna ndo ushaingia hasara.
Watu wengi mnatoa hela kwa polisi kwa sababu huwa tangu mwanzo hamjafuata utaratibu wa biashara ya samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
itakuwa anaishi nchi ya peke yake ama anaweka ubishani kwa vile tu abishe.
Kwa biashara ndogo ukisema ufuate taratibu zote, utaishia kuwafanyia watu kazi faida utaisikilizia kwa jirani na hata mtaji lazima ukateSio kweli.
Fuata taratibu za kufanya hiyo biashara uone kama utakamatwa.
Next time tafuta vibali kutoka fisheries alafu safirisha mzigo wako, cha kwanza uhakikishe hao samaki ni size inayokubalika, hakikisha umepata kibali cha kusafirisha, hakikisha umelipa ushuru au tozo eneo lile ulilokusanyia.
Ukikamilisha hilo polisi akikukamata usimpe hela mwambie akupeleke kokote anakotaka. Kwa taarifa yako polisi hawana uelewa na mambo ya sheria za uvuvi kikubwa wanakudandi wakiona una samaki wadogo na wakiuliza kibali cha kusafirisha huna ndo ushaingia hasara.
Watu wengi mnatoa hela kwa polisi kwa sababu huwa tangu mwanzo hamjafuata utaratibu wa biashara ya samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachanganya mambo boss.Nahisi sehemu ya Tanzania unayoishi ina polisi wa kipekee. Siongelei mada ya muanzisha uzi pekee bali kwa ujumla. Tanzania ndio nchi pekee Polisi hana mipaka. Polisi wa doria anaweza kujitwika uhamiaji, maliasili, traffic hata uanajeshi pasi na kuwa na uelewa wowote wa hizo field husika. Na ukimshinda kwa vielelezo atakupa kesi yeyote tu si kwa vile una hatia bali kwa vile ana uwezo wa kufanya hivyo. Wengi wanaotoa hongo si kwamba wana hatia bali wanaepuka usumbufu tu.
Samaki akivuliwa tunamtoa matumbo tunamkausha na moto awezi kualibika anaeza kukaa ata siku 40 na zaidi na ubora wake kama utazitunza vizuriHivi hao samaki hawaaribiki? Maana inaonekana walikuwa wanakaa muda mrefu sana tangu kuvuliwa hadi kufika sokoni
uwe na siku njema mkuu.Unachanganya mambo boss.
Hapa nazungumzia biashara ya samaki kama ambavyo mada inajieleza.
Hayo mengine sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi fanya bila vibali ili uishie kutoa rushwa kwa polisi wenye D mbili za Kiswahili na Civics.Kwa biashara ndogo ukisema ufuate taratibu zote, utaishia kuwafanyia watu kazi faida utaisikilizia kwa jirani na hata mtaji lazima ukate
Wee bwana wee kweli watamu mkuu ata uko pia wanaliwa vizuri sana ila waoga wajanja kazi kukamata.Mkuu ulivosema ndege John umenikunbusha TURIANI, MORO watu wa huko wanawakaanga vzuuur wanakula
Ndege john ukiwaona tu kwanz unaogopa maana wana shingo ndefu na mdomo mrefuu hatar lkn watu wanakula hvhvo
Wenyew wanakwambia wataamu sana🤣
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dairy yangu inaniambia mnamo tarehe 22-04-2018 nilikuwa Migori IringaHongera
Ni mwaka gani ulifanya hii biashara
Naona ni nzuri tuu kama ilikupa 2M kwa mtaji wa laki nane ni biashara nzuri tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli unalosema lakini.Sio kweli.
Fuata taratibu za kufanya hiyo biashara uone kama utakamatwa.
Next time tafuta vibali kutoka fisheries alafu safirisha mzigo wako, cha kwanza uhakikishe hao samaki ni size inayokubalika, hakikisha umepata kibali cha kusafirisha, hakikisha umelipa ushuru au tozo eneo lile ulilokusanyia.
Ukikamilisha hilo polisi akikukamata usimpe hela mwambie akupeleke kokote anakotaka. Kwa taarifa yako polisi hawana uelewa na mambo ya sheria za uvuvi kikubwa wanakudandi wakiona una samaki wadogo na wakiuliza kibali cha kusafirisha huna ndo ushaingia hasara.
Watu wengi mnatoa hela kwa polisi kwa sababu huwa tangu mwanzo hamjafuata utaratibu wa biashara ya samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema 1998 huoni kataja mpaka WCHongera
Ni mwaka gani ulifanya hii biashara
Naona ni nzuri tuu kama ilikupa 2M kwa mtaji wa laki nane ni biashara nzuri tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah wale wenye shingo ndefuNi mrefu miguu yake kama miguu ya mbuni,pia yeye hana manyoya shingoni na chini ya mdomo wake kunakifuko kirefu kimeenda chini kinajaa hewa wakati flani