Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

Mkuu ulivosema ndege John umenikunbusha TURIANI, MORO watu wa huko wanawakaanga vzuuur wanakula

Ndege john ukiwaona tu kwanz unaogopa maana wana shingo ndefu na mdomo mrefuu hatar lkn watu wanakula hvhvo

Wenyew wanakwambia wataamu sana🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli.
Fuata taratibu za kufanya hiyo biashara uone kama utakamatwa.
Next time tafuta vibali kutoka fisheries alafu safirisha mzigo wako, cha kwanza uhakikishe hao samaki ni size inayokubalika, hakikisha umepata kibali cha kusafirisha, hakikisha umelipa ushuru au tozo eneo lile ulilokusanyia.

Ukikamilisha hilo polisi akikukamata usimpe hela mwambie akupeleke kokote anakotaka. Kwa taarifa yako polisi hawana uelewa na mambo ya sheria za uvuvi kikubwa wanakudandi wakiona una samaki wadogo na wakiuliza kibali cha kusafirisha huna ndo ushaingia hasara.

Watu wengi mnatoa hela kwa polisi kwa sababu huwa tangu mwanzo hamjafuata utaratibu wa biashara ya samaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanjis unavoongea niwazi hunaujualo

Nahisi sehemu ya Tanzania unayoishi ina polisi wa kipekee. Siongelei mada ya muanzisha uzi pekee bali kwa ujumla. Tanzania ndio nchi pekee Polisi hana mipaka. Polisi wa doria anaweza kujitwika uhamiaji, maliasili, traffic hata uanajeshi pasi na kuwa na uelewa wowote wa hizo field husika. Na ukimshinda kwa vielelezo atakupa kesi yeyote tu si kwa vile una hatia bali kwa vile ana uwezo wa kufanya hivyo. Wengi wanaotoa hongo si kwamba wana hatia bali wanaepuka usumbufu tu.
 
Kwa biashara ndogo ukisema ufuate taratibu zote, utaishia kuwafanyia watu kazi faida utaisikilizia kwa jirani na hata mtaji lazima ukate
 
Unachanganya mambo boss.
Hapa nazungumzia biashara ya samaki kama ambavyo mada inajieleza.
Hayo mengine sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa biashara ndogo ukisema ufuate taratibu zote, utaishia kuwafanyia watu kazi faida utaisikilizia kwa jirani na hata mtaji lazima ukate
Basi fanya bila vibali ili uishie kutoa rushwa kwa polisi wenye D mbili za Kiswahili na Civics.

Watanzania huwa hatuna desturi hata ya kutaka kujifunza, unaonaga wavuvi wanakamatwa kwa kukosa leseni ya Uvuvi ambayo ni dola 10 ambayo ni elfu ishirini na kitu, na hyo ni leseni ya mwaka mzima.
Angalia wanaokamatwa sasa wanalipa faini ya malaki kwa kukosa leseni ya elfu 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulivosema ndege John umenikunbusha TURIANI, MORO watu wa huko wanawakaanga vzuuur wanakula

Ndege john ukiwaona tu kwanz unaogopa maana wana shingo ndefu na mdomo mrefuu hatar lkn watu wanakula hvhvo

Wenyew wanakwambia wataamu sana🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee bwana wee kweli watamu mkuu ata uko pia wanaliwa vizuri sana ila waoga wajanja kazi kukamata.
 
Sio kweli.
Fuata taratibu za kufanya hiyo biashara uone kama utakamatwa.
Next time tafuta vibali kutoka fisheries alafu safirisha mzigo wako, cha kwanza uhakikishe hao samaki ni size inayokubalika, hakikisha umepata kibali cha kusafirisha, hakikisha umelipa ushuru au tozo eneo lile ulilokusanyia.

Ukikamilisha hilo polisi akikukamata usimpe hela mwambie akupeleke kokote anakotaka. Kwa taarifa yako polisi hawana uelewa na mambo ya sheria za uvuvi kikubwa wanakudandi wakiona una samaki wadogo na wakiuliza kibali cha kusafirisha huna ndo ushaingia hasara.

Watu wengi mnatoa hela kwa polisi kwa sababu huwa tangu mwanzo hamjafuata utaratibu wa biashara ya samaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli unalosema lakini.

Yani iko hivi samaki wa ziwa eyasi zinaruhusiwa samaki wake wavuliwe kwasababu ni asilimi 10% tu ya samaki wote ziwani wanakua na ukubwa unaoitajika kisheria ndio maana serikali kupitia mkuu wa wa wilaya ya Karabu na mkuu wa mkoa wanafunga bwawa samaki zikipungua zikiongezea wanaruhusu kuvuna kwa masharti ya zisitoke nje ya mkoa wa Arusha, kwaiyo ata ukikata kibali kibali cha usafilishali ni kazi bure utaambiwa zirudishe Arusha.

Na kuhusu ushuru na tozo zote zililipwa Kata Mong'ola kitu tulimalizana hapo

Kilichotupigisha sisi faini ni kuzitoa nje ya mkoa.
 
Back
Top Bottom