Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umetumia mda mrefu sana mkuu kupata samaki haiwezekani wiki 1 uwe umetoka porini huoni gharama za kujikimu zinaongezeka serious siku 30 mbona ni mda mrefu simply kwa mwaka mzima ni trip 10 au chini.Mkuu Ndio moja ya hasara kama kichwa cha habari kinavyojieleza..
Ulikuwa ni msoto wa hasara.
Mpe Yesu maisha afanye matengenezo.Mkuu Ndio moja ya hasara kama kichwa cha habari kinavyojieleza..
Ulikuwa ni msoto wa hasara.
Unaeza kukusanya wiki 1 au 2 kutokana na mtaji Mfano.. ukiwa na laki 7 fikilia samaki mmoja ni Tsh. 35 utaitaji samaki wangapi kumaliza iyo pesa yote na mda je?Mbona umetumia mda mrefu sana mkuu kupata samaki haiwezekani wiki 1 uwe umetoka porini huoni gharama za kujikimu zinaongezeka serious siku 30 mbona ni mda mrefu simply kwa mwaka mzima ni trip 10 au chini
Duh nimekuelewa Mimi nikajua unaenda asubuhi wavuvi wakirudi kuvua unabeba mzigo tani yako unaondoka kwenda kuwaandaa ila wale samaki wa eyasi nawapata hahhaahh vidogodogo juzi nilikuwa huko wapo shazi sa hivi mtaani sipati picha ukiwatoa uchafu na kuwaanika kwenye waya samaki 20,000+ khah siunajaza uwanja wa mpiraunaeza kukusanya wiki 1 au 2 kutokana na mtaji Mfano.. ukiwa na laki 7 fikilia samaki mmoja ni Tsh. 35 utaitaji samaki wangapi kumaliza iyo pesa yote na mda je?
Wakati mwingine jinsi ya upatikanaji wa samaki ndio inachukua mda mrefu au mfupi,kuna wakati samaki hawapatikani kirahisi wanaadimika kutokana na maitaji ya ya wachuuzi.
Ahaa sijawai kuwafwata hao wa Morogoro,lakini kutoboa mkuu hata hao hao wa Dodoma na Iringa ukiweka bidii unatoboa vizuri tu.Mkuu nilifika Songea wengi waliotoboa biashara hiyo ya Samaki ni wale wanaoenda kuchukulia Samaki Morogoro kule Mlimba.
Samaki hao kwa Songea mmoja huuzwa kuanzia elfu 5 mpaka 12.Hao samaki wa kubanikwa kutoka Morogoro.
Na njia ya usafiri wengi hutumia magari mpaka makambako kisha wanaunga songea.
Ni kweli maisha kupambana mkuu usikate tamaa jaribu kila kitu ilimradi ni halali.Mkuu hongera sana wala huhitaji kupewa pole...maana dunia ni uwanja wa mapambano.
Mkuu umeni INSPIRE sana. Natamani kuungana na ww ku hassle maana maisha ya vuruguvurugu na suruba za kwenye utafutaji naziweza.
Aisee unishirikishe kamanda.
😂😂😂 uwanja utajaa kwakweli,duh nimekuelewa Mimi nikajua unaenda asubuhi wavuvi wakirudi kuvua unabeba mzigo tani yako unaondoka kwenda kuwaandaa ila wale samaki wa eyasi nawapata hahhaahh vidogodogo juzi nilikuwa huko wapo shazi sa hivi mtaani sipati picha ukiwatoa uchafu na kuwaanika kwenye waya samaki 20,000+ khah siunajaza uwanja wa mpira
Wanaonekana watamuSamaki wa mtera walio kaangwaView attachment 1497087
Watamu sana hawa samaķiSamaki wa mtera walio kaangwaView attachment 1497087