Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

Mkuu Ndio moja ya hasara kama kichwa cha habari kinavyojieleza..
Ulikuwa ni msoto wa hasara.
Mbona umetumia mda mrefu sana mkuu kupata samaki haiwezekani wiki 1 uwe umetoka porini huoni gharama za kujikimu zinaongezeka serious siku 30 mbona ni mda mrefu simply kwa mwaka mzima ni trip 10 au chini.
 
Mbona umetumia mda mrefu sana mkuu kupata samaki haiwezekani wiki 1 uwe umetoka porini huoni gharama za kujikimu zinaongezeka serious siku 30 mbona ni mda mrefu simply kwa mwaka mzima ni trip 10 au chini
Unaeza kukusanya wiki 1 au 2 kutokana na mtaji Mfano.. ukiwa na laki 7 fikilia samaki mmoja ni Tsh. 35 utaitaji samaki wangapi kumaliza iyo pesa yote na mda je?

Wakati mwingine jinsi ya upatikanaji wa samaki ndio inachukua mda mrefu au mfupi,kuna wakati samaki hawapatikani kirahisi wanaadimika kutokana na maitaji ya ya wachuuzi.
 
unaeza kukusanya wiki 1 au 2 kutokana na mtaji Mfano.. ukiwa na laki 7 fikilia samaki mmoja ni Tsh. 35 utaitaji samaki wangapi kumaliza iyo pesa yote na mda je?
Wakati mwingine jinsi ya upatikanaji wa samaki ndio inachukua mda mrefu au mfupi,kuna wakati samaki hawapatikani kirahisi wanaadimika kutokana na maitaji ya ya wachuuzi.
Duh nimekuelewa Mimi nikajua unaenda asubuhi wavuvi wakirudi kuvua unabeba mzigo tani yako unaondoka kwenda kuwaandaa ila wale samaki wa eyasi nawapata hahhaahh vidogodogo juzi nilikuwa huko wapo shazi sa hivi mtaani sipati picha ukiwatoa uchafu na kuwaanika kwenye waya samaki 20,000+ khah siunajaza uwanja wa mpira
 
Mkuu hongera sana wala huhitaji kupewa pole...maana dunia ni uwanja wa mapambano.

Mkuu umeni INSPIRE sana. Natamani kuungana na ww ku hassle maana maisha ya vuruguvurugu na suruba za kwenye utafutaji naziweza.

Aisee unishirikishe kamanda.
 
Mkuu nilifika Songea wengi waliotoboa biashara hiyo ya Samaki ni wale wanaoenda kuchukulia Samaki Morogoro kule Mlimba.

Samaki hao kwa Songea mmoja huuzwa kuanzia elfu 5 mpaka 12.Hao samaki wa kubanikwa kutoka Morogoro.

Na njia ya usafiri wengi hutumia magari mpaka makambako kisha wanaunga songea.
 
Ahaa sijawai kuwafwata hao wa Morogoro,lakini kutoboa mkuu hata hao hao wa Dodoma na Iringa ukiweka bidii unatoboa vizuri tu.
 
Mkuu hongera sana wala huhitaji kupewa pole...maana dunia ni uwanja wa mapambano.

Mkuu umeni INSPIRE sana. Natamani kuungana na ww ku hassle maana maisha ya vuruguvurugu na suruba za kwenye utafutaji naziweza.

Aisee unishirikishe kamanda.
Ni kweli maisha kupambana mkuu usikate tamaa jaribu kila kitu ilimradi ni halali.
 
duh nimekuelewa Mimi nikajua unaenda asubuhi wavuvi wakirudi kuvua unabeba mzigo tani yako unaondoka kwenda kuwaandaa ila wale samaki wa eyasi nawapata hahhaahh vidogodogo juzi nilikuwa huko wapo shazi sa hivi mtaani sipati picha ukiwatoa uchafu na kuwaanika kwenye waya samaki 20,000+ khah siunajaza uwanja wa mpira
😂😂😂 uwanja utajaa kwakweli,
katika ngumu ni pamoja na kuwatoa utumbo,mf.umenunua smaki elfu 1,000 uwatoe utumbo wote uwaanike kidogo alafu uwabanike wawe tayari sio kazi rahisi Mkuu inaitajika moyo mgumu kuhimili hiyo kazi.
 
Samaki wa mtera walio kaangwa
images.jpg
 
Mtaji wangu milioni 2 ndio nataka niingie Mtera sasa bila shaka ntapata mzigo wa kutosha sana nilte nyumban soko la songea
 
Back
Top Bottom