NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini jamanii tamaa za watu wazima zimeteketeza roho isiyo na hatia.😭😭Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu.
gekuwa nalea mtoto ambae si wangu,
Hivi nyie mnaogopaje mimba mm demu akiniambia ana mimba namwambia zaa tutapima DNA kama anadanganya hakutafuti tena