Jinsi CIA na USA walivyoihujumu Israel na Netanyahu

Hii ilikuwa ni Zamu ya Iran kuenjoy vita yeye mwenyewe na sio kusakizia vijinga vyake ambavyo vilisema this time havishiriki za kuambiwa changanya na zako.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣 Baada ya kuona Izilaili inakua Gaza mkawahi kuomba pooo humu tu👇👇👇
 
Attachments

  • 6110111-a600e4979ae6b0e944cb76dedc3ed53.mp4
    1.3 MB
Hii ilikuwa ni Zamu ya Iran kuenjoy vita yeye mwenyewe na sio kusakizia vijinga vyake ambavyo vilisema this time havishiriki za kuambiwa changanya na zako.
Naam na kweli kaionesha dunia kwamba yeye ni hatari zaidi ya vile alivyokuwa akifikiriwa. Israel kachezea kipigo ambacho mpaka dunia inaisha haitokuja kusahau kamwe.
 
Nnachojua Mimi,
Usa akiona mambo magumu,
fasta anatema BUNG'O, akimbilia suluhu

Russia vs UKraine ilikua hivyo hivyo,
Iran vs Israel nayo imekua hivyo hivyo.

Ila akijikuta anakumudu,
Ile Anakuchapa unachapika,
Aisee utachapika mpaka uchakae

Hata akiombwa suluhu, hataki.
Mfano: Iraq, Libya, Syria,Gaza n.k
 
Sio kwa trump huyu, chakata akili kidogo, Amerika na Israel ni mbwa kwa chatu

Itakuwa wameona tu hali tete, wanaempiga, anapigika ila nae anarusha ngumi na zikifanikiw akuingia basi ni za jicho, chembe,taya, pua na kichwa.
 
Nnachojua Mimi,
Usa akiona mambo magumu,
fasta anatema BUNG'O, akimbilia suluhu

Russia vs UKraine ilikua hivyo hivyo,
Iran vs Israel nayo imekua hivyo hivyo.

Ila akijikuta anakumudu,
Ile Anakuchapa unachapika,
Aisee utachapika mpaka uchakae

Hata akiombwa suluhu, hataki.
Mfano: Iraq, Libya, Syria,Gaza n.k
Hahaha.. Ni kweli mkuu. Usa akiona mambo magumu lazima ateme bungo mapema kabla ya bungo hilo kuingia tumbo na kumletea madhara makubwa zaidi. Huko Marekani kuna raia walikuwa na wasi wasi wa Iran safari hii kurusha vyuma hadi Marekani, maana Ayatollah alikuwa ameshachafukwa na hana tena cha kupoteza.

Wakati vita inaanza Netanyahu alimwambia Trump kwamba ile vita yao itakuwa ni ya muda mrefu mpaka wahakikishe wameiondoa regime hii ya Ayatollah ambayo ni tishio kwa usalama wa nchi hiyo. Trump nae akasema sawa waachwe ili kuona kama Israel itaibonda Iran. Baadae mambo yakaenda kombo. Netanyahu akaona yeye ndo anaepigwa vibaya, pia swala la kuishi mafichoni muda mrefu bila kuona mwanga kwa kuhofia kuangukiwa na kombora la Iran ikamchosha na kumuomba Trump kimya kimya aombe suluhu mapema kabla hata vile vimijengo vyao na viofisi vyao vichache vilivyobakia hakijaangushwa au kuchomwa kabisa na makombora ya Iran.
Ndo Trump akaamua kuwaokoa waisrael 🤣🤣🤣
 
Sio kwa trump huyu, chakata akili kidogo, Amerika na Israel ni mbwa kwa chatu

Itakuwa wameona tu hali tete, wanaempiga, anapigika ila nae anarusha ngumi na zikifanikiw akuingia basi ni za jicho, chembe,taya, pua na kichwa.
Ni kweli mkuu 🤣🤣🤣
 
Hahaha.. Ni kweli mkuu. Usa akiona mambo magumu lazima ateme bungo mapema kabla ya bungo hilo kuingia tumbo na kumletea madhara makubwa zaidi. Huko Marekani kuna raia walikuwa na wasi wasi wa Iran safari hii kurusha vyuma hadi Marekani, maana Ayatollah alikuwa ameshachafukwa na hana tena cha kupoteza.

Wakati vita inaanza Netanyahu alimwambia Trump kwamba ile vita yao itakuwa ni ya muda mrefu mpaka wahakikishe wameiondoa regime hii ya Ayatollah ambayo ni tishio kwa usalama wa nchi hiyo. Trump nae akasema sawa waachwe ili kuona kama Israel itaibonda Iran. Baadae mambo yakaenda kombo. Netanyahu akaona yeye ndo anaepigwa vibaya, pia swala la kuishi mafichoni muda mrefu bila kuona mwanga kwa kuhofia kuangukiwa na kombora la Iran ikamchosha na kumuomba Trump kimya kimya aombe suluhu mapema kabla hata vile vimijengo vyao na viofisi vyao vichache vilivyobakia hakijaangushwa au kuchomwa kabisa na makombora ya Iran.
Ndo Trump akaamua kuwaokoa waisrael 🤣🤣🤣
Hesabu zao ziligundua kua Israel ana eneo dogo Sana kijografia, (ni kama mkoa TU), ukilinganisha na Iran.

Akianzisha mbugi ya kurushiana makombora back to back, hapakawii kua Kama Gaza, na sehemu yenyewe ya kujificha hamna.

Pia, USA ana maabara zake kibao za teknolojia kwenye ardhi ya Israel, maana ake mbugi ikiendelea, nao wanaharibikiwa na kuanza Moja.

Kingine pia,
Usa Walihofia kuharibiwa soko lao la silaha Kama walivyoharibikiwa Ukraine.

Yale majisifa ya iron dome, hatukuyaskia Tena na wakazuia raia kupiga picha madhara ya makombora ya Iran.
 
Design JF imeingiliwa na vitoto vya shule hivi ,lugha zisizo na staha zinatunufaishaje kwenye mijadala kama hii?

Sijui unaingiliwa sijui madudu gani ndiyo ma thinktank wa wapi hao wazee?

Siyo lazima kucoment kila hoja ,ukiona hukubaliani nayo ikaushie tu ili tufanikiwe kulinda hadhi zetu .
 
Back
Top Bottom