Jinsi CIA na USA walivyoihujumu Israel na Netanyahu

Jinsi CIA na USA walivyoihujumu Israel na Netanyahu

Sio kwa trump huyu, chakata akili kidogo, Amerika na Israel ni mbwa kwa chatu

Itakuwa wameona tu hali tete, wanaempiga, anapigika ila nae anarusha ngumi na zikifanikiw akuingia basi ni za jicho, chembe,taya, pua na kichwa.
😁😁😁
 
Design JF imeingiliwa na vitoto vya shule hivi ,lugha zisizo na staha zinatunufaishaje kwenye mijadala kama hii?

Sijui unaingiliwa sijui madudu gani ndiyo ma thinktank wa wapi hao wazee?

Siyo lazima kucoment kila hoja ,ukiona hukubaliani nayo ikaushie tu ili tufanikiwe kulinda hadhi zetu .
Correct!
 
Design JF imeingiliwa na vitoto vya shule hivi ,lugha zisizo na staha zinatunufaishaje kwenye mijadala kama hii?

Sijui unaingiliwa sijui madudu gani ndiyo ma thinktank wa wapi hao wazee?

Siyo lazima kucoment kila hoja ,ukiona hukubaliani nayo ikaushie tu ili tufanikiwe kulinda hadhi zetu .
Well said mkuu, zamani JF moderators walikuwa serious lakini naona labda siku hizi wako likizo labda - yaani wanaruhusu baadhi ya members kuwaporomeshea members wenzao matusi na hawachukuliwi hatua yoyote!! Mada za maana zinakuwa derailed na kuingizwa mambo ya kitoto/vijiweni - inasikitisha sana sana.
 
Well said mkuu, zamani JF moderators walikuwa serious lakini naona labda siku hizi wako likizo labda - yaani wanaruhusu baadhi ya members kuwaporomeshea members wenzao matusi na hawachukuliwi hatua yoyote!! Mada za maana zinakuwa derailed na kuingizwa mambo ya kitoto/vijiweni - inasikitisha sana sana.
Umeandika ukweli mkuu. Ubarikiwe sana aisee 🙏
 
kobazi mna akili za hovyo eti nuklia zilihamishwa unafikiri magunia ya mchele hayo mfano useme mradi wa umeme wa mwalimu Nyerere umehamishwa
Watu wana uelewa mdogo sana na mambo ya nuclear, nuclear ina produce rays, rays zikihama, wadau wanaona. Unahitaji kua na wehu kidogo kuamini alicho kisema mleta uzi. Iran karudishwa nyuma over 20 years back but anaitwa eti kashinda. Nonsense
 
Niaje waungwana

Kilichotokea Middle East kati ya Iran na Israel, ni kama vile kitu kilikuwa kimepangwa, au kuandaliwa muda mrefu na serikali ya Marekani kwa kushirikiana na shirika lao la kijasusi la CIA.

1. Kwanza tukumbuke kuwa raisi Trump ni mtu asiependa kuona Marekani ikiendelea kufanywa shamba la bibi na mtu, kampuni au nchi yoyote ile nje ya taifa hilo.

Ndiomaana amekuja na sera ya marekebisho ya ushuru kwa nchi karibia zote duniani zikiwemo UK, China, EU, Africa countries, Asia nk.

2. Pili tukumbuke kuwa raisi Trump ana sera yake maarufu inayoitwa MAGA (Make America Great Again)
Sera hii ni pana, lakini lengo lake kuu la kwanza ni kuirudisha Marekani katika nafasi yake ya ukuu wa dunia. Na nafasi hii inahitaji uchumi imara ambao utaipa nchi hiyo uhakika wa kuendelea kushika nafasi hiyo miaka zaidi ya 50 mbeleni.

Ndiomaana katika hili alikuja na sera ya kukata, au kupunguza kabisa misaada kwa nchi kama Ukraine, na taasisi nyingi duniani zikiwemo zile taasisi zinazosimamiwa na Umoja wa Mataifa.

Yeye anachoangalia kwanza ni masilahi ya Marekani mbele, halaf msaada wake unakuja nyuma. Yani kama unahitaji msaada kwake, basi ni lazima wewe umpe, halafu na yeye ndo akupe. Hakuna tena cha maswala ya bure.

Hili limejitokeza kwa Ukraine, walipotaka kuendelea kuwa tegemezi kwa Marekani aliwaambia wazi kuwa yeye hawezi kuifanya Marekani itegemewe for nothing. Ili uitegemee Marekani, ni lazima Marekani na yenyewe ikutegemee.

Hapa ndo tulipoona kikao cha Trump na ......... katika kikao kile Trump alimwambia raisi wa Ukraine (bila kupepesa macho) kwamba ili Marekani iingilie kati swala lake, ni lazima kuwe na deal kati ya nchi hizo mbili. Marekani apewe umiliki wa madini adimu huko Ukraine, na Ukraine ipewe ulinzi na msaada na Marekani. Hilo swala mpaka leo, bado lipo katika majadiliano.

Halikadhalika Congo nayo hivyo hivyo, iliombwa madini na Marekani, ili kuweka mambo sawa katika maeneo yote yanayohusishwa na vita vya Congo. Congo yenyewe imeonesha kukubaliana na swala hilo na sasa amani imeanza kuonekana huko Congo. Yale mapigano tuliokuwa tukiyasikia kila siku kati ya jeshi la Congo na waasi wa M23 hatuyasikii tena.


Tukija kwa Israel. Nchi hii imekuwa ikijiona kama na yenyewe ni sehemu ya jimbo la Marekani. Raia wa Israel haswa viongozi wa nchi kama kina Netanyahu wamekuwa wakijiona kama na wao ni sehemu ya viongozi wa Marekani.

Hii ilitokana na sera ya muda mrefu ya Marekani kuhusu taifa hilo. Sera hiyo ya Marekani imekuwa ikiichukulia Israel kama taifa linalotakiwa kulindwa, kusaidiwa na kuheshimiwa na nchi nyingine. Hili lilipelekea nchi hiyo kujiona ni bora na special mbele ya nchi nyingine. Ilifika kipindi Netanyahu anaamuru raia wake wavamie makazi ya wapalestina huko Jerusalem na kuwatoa katika nyumba zao kwa nguvu. Waliotolewa kwa nguvu wakilalamika hawasikilizwi, na wakiandamana ili wasikilizwe wanapigwa risasi, wengine wanakamatwa na kupelekwa kwenye jela za mateso, huko wanateswa hadi kufa.

Haya yote waliyafanya kwa kuamini kwamba wana msaada mkubwa wa kiulinzi, na kifedha kutoka kwenye shamba la bibi Marekani. Netanyahu akienda anavimbishiwa account yake, kisha anakuja kugawana na genge lake. Bila kujali kuwa hizo hela ni kodi za wamarekani ambao wengine hata huduma za afya kwao ni shida.

Sasa safari hii watu wamewachoka. Netanyahu baada ya Trum kuapishwa akawahi fasta kwenda kuomba hela za vita kama kawaida yake. Trump akampa akiamini jamaa atazitumia kiakili ili asiendelee kuwasumbua. Kumbe mwenzao alikuwa anapanga kuendeleza uvunjifu wa amani mashariki ya kati ili baadae arudi tena kuomba zingine.

Kitendo hicho kimemuuma sana Trump ukizingatia yeye anataka Marekani iwe inaingiza badala ya kutoa tu kuuwia wanawake na watoto. So likapangwa tukio la kumshawishi aingie vitani achapwe na Marekani anawe mikono kimya kimya kwa madai kwamba jamaa akipewa pesa ana focus kwenye vita badala ya kuwasaidia raia wenye matatizo katika nchi yake.

Tumeona jinsi Trump alivyomhujumu Netanyahu kwa kupeleka ndege ya kijeshi kupiga jumba tupu, huku nyuklia na nyenzo nyingine muhimu vikiwa vimeshahamishwa zamani.

Lakini kibaya zaidi hizi kauli zake za kuanza sasa kumfokea Netanyahu kwamba asiendelee kuangusha mabomu, maana akichapwa atakosa wa kumsaidia.

Na hii kauli nyingine ya kusema live kwamba Israel imechapwa kweli kweli, tofauti na vile Netanyahu, genge lake na wale wayahudi wetu wa bonyokwa kudai kwamba Iran haikufaidika na chochote katika vita hii.

Niliandika uzi hapa jana kwamba ukiona Marekani kaingilia kati kusimamisha pambano ambalo hapo mwanzo walisema waachwe wapigane, basi ujue kuna madhara makubwa sana yaliosababishwa na Iran katika ardhi ya waisrael. Sema vyombo vyao vilikuwa vinadhibiti taarifa nyingi ili kuficha udhaifu wao, na udogo wa ulinzi wao.

Sasa kama Trump mwenyewe amesema kuwa Israel imebondwa bondwa vibaya. Wewe myahudi wa bonyokwa ni nani mpaka upingane nae.

Sera ya sasa ya Trump ya MAGA, bila shaka itam cost sana Netanyahu. Maana Trump hataki mchezo tena na kodi za Wamarekani. Anataka kila mtu huko mbeleni aje apambane kivyake. Sio kuchokoza ugomvi, halafu ukibondwa utegemee Trump atumie mamilioni ya kodi za Wamarekani kuja kukusaidia kwa upuuzi wako.

Hii inatupa funzo kwamba kama wewe ukiwa mchokozi basi angalau uwe na chochote cha kukusaidia pale uchokozi wako unapogeuka kuwa fimbo ya kukuadhibia kama ilivyoadhibiwa Israel na Iran.
Wewe utakuwa kobazi
 
Netanyahu alikuwa anasoma sifa za iran kwenye mitandao akaona ngoja azishuhudia kwa matendo kabisa sio kwa hadithi akabip akapigiwa
Alichofanyiwa na Iran kimemtia aibu na kumdhalilisha kwa kiwango kikubwa sana 🤣🤣
 
Kwani kuwa kobazi ni tusi? Mbona kama umepaniki
Naona unajishtukia. Hakuna mtu aliesema kobaz tusi, na hakuna mtu aliepanic. Umejishtukia kwa ujinga wako.

Ndiomaana wanasema siku zote aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea.
 
Naona unajishtukia. Hakuna mtu aliesema kobaz tusi, na hakuna mtu aliepanic. Umejishtukia kwa ujinga wako.

Ndiomaana wanasema siku zote aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea.
Kobazi mnazingua sana. Wewe subiri ukifa ukafaidi mabikra 72 na mito ya pombe. Ujinga sana huu
 
Kobazi mnazingua sana. Wewe subiri ukifa ukafaidi mabikra 72 na mito ya pombe. Ujinga sana huu
Kwa jinsi ninavyopenda kuchakatua mbususu, hao mabikra 72 ni wadogo sana kwangu. Ni bora ungeongezwa na wewe ili muwe 73.

Hata hivyo Mungu wetu ametuheshimisha sana kwa kuutambua urijali wetu na kutupa mabikra 72. Ni toauti na mungu wenu wa Israel anaebariki wanaume wazima mliwe jicho na wanaume wenzenu.

Mungu wenu amesema kua ukiibariki Israel pamoja na mashoga yote yaliopo huko na wewe utabarikiwa.
 

Attachments

  • israel gay pride.jpg
    israel gay pride.jpg
    158.4 KB · Views: 20
Back
Top Bottom