Habari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inasemekana inamilikiwa na Joseph Kusaga , salim kikeke wakishirikiana na msanii alikiba
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo cloudsfm, wasafimedia etc.
Mfumo wa kuajiri uliotumika kupata wafanyakazi wa media mpya una somo kubwa kwa job hunters hasa grafuates.
Udsm, udom na vyuo vikuu vingine vina kozi nyingi za waandishi wa habari na kuzalisha graduates kila mwaka wenye degree za journalism na mass communications. Na wengi wapo mtaani wanatafuta ajira za fani zao.
Kusaga na management ya Crown media inalijua hilo. Ila haikuwapa kipaumbele sababu wanajua soko la media linataka nini.
First class za udsm na udom kwenye kozi za media zimeachwa. Ila wenye talent ndio wamepewa kazi.
Walichofanya kwenye kuajiri wamefanya hunting ya staff kupitia social media. Wametazama tik tok, youtube na instagram vijana wanaopendwa content creators hao ndio imewapa ofa za ajira bila hata interviews.
Jirani yangu mtaani kuna binti anapenda sana tik tok
Crown media wamemtafuta wenyewe na kumpa ofa ya ajira. Sababu walimuona tik tok anajua kutengeneza stories.. hivyo kipindi cha stories wamempa akifanye yeye.
Hili ni somo kwa graduates. Tafuta sehemu onesha unachokiweza. Usitegemee kuzungusha CV na bahasha tu.
Ukiwa unajua unapata kazi bila hata rushwa wala kujuana