Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huko mishahara wanalipa tokana na cheti chako?Binafsi siamini hilo. Wanataka cheap labor, Fikiria wachukue first class udsm na vyuo vingine then waajiri watu kama 10 ivi. Na hao wengine mshara utakuwa sawa.
Pumbav wkama huwezi hata kupanga sentence unapataje kazi
Majuzi america wame change policy kwenye ajira, now ni skill based employment, education ina nafasi yake but kwneye excutive ila kwenye chini ya hapo wanaangalia ni nn mtu anaweza kufanya.Graduates wengi hawajui wanaishi dunia ya aina gani na hiyo dunia inataka nini kutoka kwao.
Hili likawe somo watu watengeneze folios watu wawaone wanavyovifanya na kuvifahamu.
Tatizo wanarudi kulekule kwenye kusongamana na kina wasafi na clouds na efm. Hawaoni soko kwa hawa watu wenye umri wa miaka 30 hadi 50. Hawa hawana media yao. Hii Crown kama haijatazama hilo itakwama tu. Na hao wa talent labda wapelekwe kozi maana hawawezi kutegemea talanta zao siku zote. Elimu inahusika sanaHabari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba.
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo cloudsfm, wasafimedia etc.
Mfumo wa kuajiri uliotumika kupata wafanyakazi wa media mpya una somo kubwa kwa job hunters hasa grafuates.
Udsm, udom na vyuo vikuu vingine vina kozi nyingi za waandishi wa habari na kuzalisha graduates kila mwaka wenye degree za journalism na mass communications. Na wengi wapo mtaani wanatafuta ajira za fani zao.
Kusaga na management ya Crown media inalijua hilo. Ila haikuwapa kipaumbele sababu wanajua soko la media linataka nini.
First class za udsm na udom kwenye kozi za media zimeachwa. Ila wenye talent ndio wamepewa kazi.
Walichofanya kwenye kuajiri wamefanya hunting ya staff kupitia social media. Wametazama tik tok, youtube na instagram vijana wanaopendwa content creators hao ndio imewapa ofa za ajira bila hata interviews.
Jirani yangu mtaani kuna binti anapenda sana tik tok
Crown media wamemtafuta wenyewe na kumpa ofa ya ajira. Sababu walimuona tik tok anajua kutengeneza stories.. hivyo kipindi cha stories wamempa akifanye yeye.
Hili ni somo kwa graduates. Tafuta sehemu onesha unachokiweza. Usitegemee kuzungusha CV na bahasha tu.
Ukiwa unajua unapata kazi bila hata rushwa wala kujuana
Elimu ni muhimu sana mkuu mnawaiga USA ambao ninyi mpo kwenye maisha ya kupanda bajaji na boda boda wenzenu wanatumia dk 30 kufika eneo la mbali kwa usafiri wa kisasa...Majuzi america wame change policy kwenye ajira, now ni skill based employment, education ina nafasi yake but kwneye excutive ila kwenye chini ya hapo wanaangalia ni nn mtu anaweza kufanya.
Anacho kifanya crown ni indication kuwa talent na skills ndio zinapewa kipaombele si vyeti tena
Hii nilisikia .Majuzi america wame change policy kwenye ajira, now ni skill based employment, education ina nafasi yake but kwneye excutive ila kwenye chini ya hapo wanaangalia ni nn mtu anaweza kufanya.
Anacho kifanya crown ni indication kuwa talent na skills ndio zinapewa kipaombele si vyeti tena
Bado hujaelezea why tusiige. Kwa hiyo ajira zijali vyeti zaidi kwasababu watu wanapanda boda boda? Pathetic manElimu ni muhimu sana mkuu mnawaiga USA ambao ninyi mpo kwenye maisha ya kupanda bajaji na boda boda wenzenu wanatumia dk 30 kufika eneo la mbali kwa usafiri wa kisasa...
Kwani kuna shida gani ukiwa na Talent na ni Graduate wa UDSM au UDOM.Habari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba.
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo cloudsfm, wasafimedia etc.
Mfumo wa kuajiri uliotumika kupata wafanyakazi wa media mpya una somo kubwa kwa job hunters hasa grafuates.
Udsm, udom na vyuo vikuu vingine vina kozi nyingi za waandishi wa habari na kuzalisha graduates kila mwaka wenye degree za journalism na mass communications. Na wengi wapo mtaani wanatafuta ajira za fani zao.
Kusaga na management ya Crown media inalijua hilo. Ila haikuwapa kipaumbele sababu wanajua soko la media linataka nini.
First class za udsm na udom kwenye kozi za media zimeachwa. Ila wenye talent ndio wamepewa kazi.
Walichofanya kwenye kuajiri wamefanya hunting ya staff kupitia social media. Wametazama tik tok, youtube na instagram vijana wanaopendwa content creators hao ndio imewapa ofa za ajira bila hata interviews.
Jirani yangu mtaani kuna binti anapenda sana tik tok
Crown media wamemtafuta wenyewe na kumpa ofa ya ajira. Sababu walimuona tik tok anajua kutengeneza stories.. hivyo kipindi cha stories wamempa akifanye yeye.
Hili ni somo kwa graduates. Tafuta sehemu onesha unachokiweza. Usitegemee kuzungusha CV na bahasha tu.
Ukiwa unajua unapata kazi bila hata rushwa wala kujuana
Serious.. hicho cheti kinawez kukuaminisha sehem ukafanya kazi ambayo haiendani na cheti.. ila wanajua kbs huyu mtu anajitambua, ukiwa hauna kushawishi watu kwamba unajitambua ni ngumu.Same tu me, nilichosomea na nachofanya now ni tofauti ila kupitia knowledge niliyopata skuli nai apply kwenye mitikasi yangu ya sasa..
Elimu ya darasani ina nafasi yake katika maisha si ya kuibeza kabisa..
Ni kweli elimu ni muhimu sana, ila Mkuu Isanga family kumbuka kuwa elimu sio vyeti na elimu ipo kwenye mifumo mingi. Rasmi na isiyo rasmi. Kifupi elimu ni maarifa.Elimu ni muhimu sana mkuu mnawaiga USA ambao ninyi mpo kwenye maisha ya kupanda bajaji na boda boda wenzenu wanatumia dk 30 kufika eneo la mbali kwa usafiri wa kisasa...