spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Maisha ya katalizm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kila mwalimu ana jambo ambalo anaweza kufundisha watu. Na kila mwalimu anaweza kukaa sehemu yoyote ile akafanya kazi.Course Kama ualimu , habari , na mambo yote ya kukariri yalibidi kupigwa marufuku
Maana watangazi wazuri ni talented
Walimu wazuri ni talented
So course zitolewe Kama short course haiwezekani MTU anakaa chuo miaka 3 anasoma mambo ambayo 90% hatoyatumia katika maisha yake.
kipaji hakina ufeki, vyeti feki vinaweza kutengenezwaHuu ni wakati wa kutumia vipaji tu,,,,vyeti kwa sasa karibia kila mtu anavyo
Tatizo hawa show case ujuzi wao, sasa watafahamikajee?. Ni kama muuza chips asiyeweka chips kadhaa kwende display.Ni dhambi sana. Watu wamehangaikamkusoma alafu kazi hawapati
big jo na timu yake ni wabunifu, wanajua soko linataka nini kwa wakati. Ukiwa na journalism ethics inatosha kuwa na exposure kwenye taaluma hiyo ambayo msingi mkubwa ni kipaji na ubunifuVipi ITV nao wanaajiri kwa mtindo hup, namaanisha gazeti la uhuru ni wangaaalia tiktok.
Wasafi, Clouds na Clown ni media za burdening na sio journalism, journalism ni sehemu tu kwao jiulize wanaofanya kipindi cha taarifa ya habari nao wamewatoa tiktok....REASONING
Mkuu kila mwalimu ana jambo ambalo anaweza kufundisha watu. Na kila mwalimu anaweza kukaa sehemu yoyote ile akafanya kazi.
Tatizo watu wanafikiri kama chuo alisomea ualimu kwa masomo historia na lugha basi aende kutafuta kazi kwa hayo masomo.
Alafu unakuta huyu mwalimu ni mpiga kinanda mzuri tu kanisani ila bado anasema hana ajira na fani yake ya ualimu hawezi kujiajiri.
Wakati huyu mwalimu anao uwezo wa kufundisha watu mtandaoni namna ya kupiga kinanda, akaandaa lesson plan akafundisha kwa ujuzi wa ualimu alioupata chuo akaeleweka vizuri sana.
Akatafuta sponsors wakamlipa kwa kuweka matangazo. Sio rahisi ila akikomaa kwa mwaka mzima atapata matunda ya kazi yake hiyo.
Vile vile kwa mwalimu yoyote yule, angalia unajua nini kama ni mapishi sawa, kama ni namna ya kufua nguo sawa, kama ni namna ya kusafisha mwili sawa, kama ni mapenzi sawa, wewe fundisha watu mtandaoni kwa taaluma uliyonayo kifupi hakuna mwalimu anayekosa kazi ya kufanya.
Tatizo vijana wengi bongo tumerelax sana. Mtu anataka kama alisomea ualimu wa kiswahili basi akafundishe hicho hicho shuleni utadhani alisoma Hnit moja tu ya kiswahili huko chuo.
Wakeup brothers
hawana ubunifu na ni wajinga. Vipi usome halafu ukose kazi? Kama umesoma fani ya uandishi andika habari hata bure wape gazeti lolote lenye kuandika maudhui hayo, wahariri wake wataona kazi hiyo na itapewa nafasi na mwisho wa siku utapata ajira hapo. Mitandao ipo, onesha unajua kutangaza watu wa tv watakuona, watayarishaji wa kipindi watakuonaNi dhambi sana. Watu wamehangaikamkusoma alafu kazi hawapati
Tokea zamani walikuwa na structure ya elimu ambayo ni skill based, hiyo change of policy ni ku fine tune the already stable education system. mwalimu wangu wa peace Corp aliniambia kuwa in America mashuleni darasani ndio utamkuta mwalimu, so Kuna darasa la math, chemistry, physics etc, kama ukitaka kusoma physics pekee unashinda kwenye darasa la somo Hilo, ndio maana vijana walikuwa wanaweza maliza topics kwa muda mfupi na ku graduate wakiwa wadogo, na mahiri.Majuzi america wame change policy kwenye ajira, now ni skill based employment, education ina nafasi yake but kwneye excutive ila kwenye chini ya hapo wanaangalia ni nn mtu anaweza kufanya.
Anacho kifanya crown ni indication kuwa talent na skills ndio zinapewa kipaombele si vyeti tena
Kassim Majaliwa ni mwalimu, Magufuli ni mwalimu, Nyerere ni Mwalimu.Mkuu kila mwalimu ana jambo ambalo anaweza kufundisha watu. Na kila mwalimu anaweza kukaa sehemu yoyote ile akafanya kazi.
Tatizo watu wanafikiri kama chuo alisomea ualimu kwa masomo historia na lugha basi aende kutafuta kazi kwa hayo masomo.
Alafu unakuta huyu mwalimu ni mpiga kinanda mzuri tu kanisani ila bado anasema hana ajira na fani yake ya ualimu hawezi kujiajiri.
Wakati huyu mwalimu anao uwezo wa kufundisha watu mtandaoni namna ya kupiga kinanda, akaandaa lesson plan akafundisha kwa ujuzi wa ualimu alioupata chuo akaeleweka vizuri sana.
Akatafuta sponsors wakamlipa kwa kuweka matangazo. Sio rahisi ila akikomaa kwa mwaka mzima atapata matunda ya kazi yake hiyo.
Vile vile kwa mwalimu yoyote yule, angalia unajua nini kama ni mapishi sawa, kama ni namna ya kufua nguo sawa, kama ni namna ya kusafisha mwili sawa, kama ni mapenzi sawa, wewe fundisha watu mtandaoni kwa taaluma uliyonayo kifupi hakuna mwalimu anayekosa kazi ya kufanya.
Tatizo vijana wengi bongo tumerelax sana. Mtu anataka kama alisomea ualimu wa kiswahili basi akafundishe hicho hicho shuleni utadhani alisoma Unit moja tu ya kiswahili huko chuo.
Wakeup brothers
Ndo mana hizi media nyingine zinawaandishi wanafanya vitu so unprofessional, wabongo tunapenda ujinga ujinga tu yani. Kuna wakati unakutana na mwandishi eti anaaweka habari title inasema "Utacheka dokta samia alivyomtania diamond" sasa ni nn???Habari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba.
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo cloudsfm, wasafimedia etc.
Mfumo wa kuajiri uliotumika kupata wafanyakazi wa media mpya una somo kubwa kwa job hunters hasa grafuates.
Udsm, udom na vyuo vikuu vingine vina kozi nyingi za waandishi wa habari na kuzalisha graduates kila mwaka wenye degree za journalism na mass communications. Na wengi wapo mtaani wanatafuta ajira za fani zao.
Kusaga na management ya Crown media inalijua hilo. Ila haikuwapa kipaumbele sababu wanajua soko la media linataka nini.
First class za udsm na udom kwenye kozi za media zimeachwa. Ila wenye talent ndio wamepewa kazi.
Walichofanya kwenye kuajiri wamefanya hunting ya staff kupitia social media. Wametazama tik tok, youtube na instagram vijana wanaopendwa content creators hao ndio imewapa ofa za ajira bila hata interviews.
Jirani yangu mtaani kuna binti anapenda sana tik tok
Crown media wamemtafuta wenyewe na kumpa ofa ya ajira. Sababu walimuona tik tok anajua kutengeneza stories.. hivyo kipindi cha stories wamempa akifanye yeye.
Hili ni somo kwa graduates. Tafuta sehemu onesha unachokiweza. Usitegemee kuzungusha CV na bahasha tu.
Ukiwa unajua unapata kazi bila hata rushwa wala kujuana
Na kweliHuu ni wakati wa kutumia vipaji tu,,,,vyeti kwa sasa karibia kila mtu anavyo
Maisha ya kimasikini harafu mnasema uige USA haya maisha wenzetu waliishi miaka 200 iliyopita ya kutembeza bakuri ili Nchi iendelee Nchi imejaa majambazi kila kona kwa mali za Umma Waziri Mkuu anazunguka kutangaza watu wasiibe na vyombo vya kuwakamata wezi na kuwawajibisha vipo ila vipo kimya harafu eti tuige sijui USA mkiangalia goggle zenu mnakuja na majibu yeyote...USA Rais anapelekwa mahakamani kwa kukwepa kodi huku Waziri tu anakingiwa kifua...Bado hujaelezea why tusiige. Kwa hiyo ajira zijali vyeti zaidi kwasababu watu wanapanda boda boda? Pathetic man
Na si US tu, dunia inaelekea huko, vyeti vina umuhimu wake lakin kwa sasa dunia inahitaji watendaji zaidi kuliko viongozi. Us , europe even baadhi ya nchi africa zimeshaona hili
Ndio ndioKassim Majaliwa ni mwalimu, Magufuli ni mwalimu, Nyerere ni Mwalimu.
Mkuu radio/tv presenter siku hizi ni KIPAJI na sio ELIMU wala UJUZIHabari wadau.