Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna typing error hapo umeandika nilipo bold nadhani unapoteza maana. Badala ya Crown umeandika Clown nadhani umenielewa.Vipi ITV nao wanaajiri kwa mtindo hup, namaanisha gazeti la uhuru ni wangaaalia tiktok.
Wasafi, Clouds na Clown ni media za burdening na sio journalism, journalism ni sehemu tu kwao jiulize wanaofanya kipindi cha taarifa ya habari nao wamewatoa tiktok....REASONING
First class wa udsm wengi sio compitent, ndo hao wanahangaika na mabahasha mitaani, unakuta mtu ana degree ya mechanical engeneering halafu hata piston haijui. Huyu unategemea atapata soko kweli?Binafsi siamini hilo. Wanataka cheap labor, Fikiria wachukue first class udsm na vyuo vingine then waajiri watu kama 10 ivi. Na hao wengine mshara utakuwa sawa.
Also 'burdening' I was drunk that night.Mkuu kuna typing error hapo umeandika nilipo bold nadhani unapoteza maana. Badala ya Crown umeandika Clown nadhani umenielewa.
Usifikirie dunia inafkiria kipuuzi kama wew negro unayedhani Elimu haina umuhimu, unakuja na senseless points hapa eti dunia inaelekea huko nani kakuambia dunia inaelekea kutothamini elimu??Bado hujaelezea why tusiige. Kwa hiyo ajira zijali vyeti zaidi kwasababu watu wanapanda boda boda? Pathetic man
Na si US tu, dunia inaelekea huko, vyeti vina umuhimu wake lakin kwa sasa dunia inahitaji watendaji zaidi kuliko viongozi. Us , europe even baadhi ya nchi africa zimeshaona hili
Kuna mahali nimesema elimu haina umuhimu?Usifikirie dunia inafkiria kipuuzi kama wew negro unayedhani Elimu haina umuhimu, unakuja na senseless points hapa eti dunia inaelekea huko nani kakuambia dunia inaelekea kutothamini elimu??
Hiyo ndo point unayojaribu kuweka, stop that silly argument eti wapi nimesema. Imbécile !Kuna mahali nimesema elimu haina umuhimu?
Ni kikundi cha wavivuUkiona nchi yoyote asilimia kubwa ya watu wanapenda sana UDAKU na UMBEA kuliko mambo ya msingi, ujue kabisa hapo hakuna nchi.
Take a hike nigga, no where nimeandika elimu haina umuhimu, nimeelezea kwa level ipi. But then ni policy ya us na europeHiyo ndo point unayojaribu kuweka, stop that silly argument eti wapi nimesema. Imbécile !
chaiGPA na vyeti havina maana tena hasa kwenye Sanaa, it's talent and skills. Tatizo vijana wengi wanatafta vyeti na sio skills
Digrii haiwez kuisha zama.. private sector wanaangalia added advantage. Yani wako more evidential basing on profit. Unawez kukuta anaajiriwa hata joti kuwa raisi wa kampuni ya media ambae hata muandiko wake akiuandika ofisi nzim mnapata shida kuusoma.Zama za digilii zinaisha
Itabaki kwenye ajira za serikali tu
Uko sahihiDigrii haiwez kuisha zama.. private sector wanaangalia added advantage. Yani wako more evidential basing on profit. Unawez kukuta anaajiriwa hata joti kuwa raisi wa kampuni ya media ambae hata muandiko wake akiuandika ofisi nzim mnapata shida kuusoma.
Hii ni common sana na jnashika kasi dunia nzima sio bongo tu. Vijana wajitahidj kuongeza Value katika fan zao. Walioajiriwa crown tyari ana fan base hata kama crown haina. So, automatic crown haiwez kuanza moja kujitafuta na kusaga meno kama media nyjngine mpya/changa zinavyoanza.
Leo hii konde afungue media, amuajiri millard ayo.. kesho tu tz nzima kwa combineshen hii wataijua media hio
I do agree. Journalism sawa kwani kinachokuwa displayed ni sanaa, ni matendo, maneno na uwezo wa kudisplay hiyo content. Sasa kuna fani nyingine kinachokuwa displayed ni content sawa ila content inayohitaji shule, ni content ambayo ili uweze kuidisplay inavyotakiwa lazima uwe na shule yake. Na hapo ndipo utofauti unaingia.Too general.
Labda graduates wa kwenye media huko.
Kuna taaluma hazitaki janja janja, lazima uingie darasani na Ufanye vizuri.
Yaani you have nailed it. Issue si waajili issue ni je potential users wanapenda nini. Ukishajua hapo basi hutashangaaTatizo ni population ya Tanzania, inapenda upuuzi. Ndio maana wakina Mwijaku wanaonekana watu wa maana na wanagombaniwa.
I do agree. Journalism sawa kwani kinachokuwa displayed ni sanaa, ni matendo, maneno na uwezo wa kukudisplay. Sasa kuna fani nyingine kinachokuwa displayed ni content inayohitaji shule, ni content ambayo ili uweze kuidisplay lazima uwe na shule yake. Na hapo ndipo utofauti unaingia. Ni kweli kwa sasa competence na skills ndivyo vigezo vya kuajili na kwenye profesions nyingine waajili wanakupima elimu yako kwa kuassess your competence na skills. Sasa ukiwa hauna elimu takiwa tayari hutaweza kuvuka kigezo au hatua ya kupimwa competence na skills kwa sababu kigezo cha kwanza cha elimu takiwa hujakifikia. Tuwasisitize vijana wasome pia watengeneze competenence na skills