t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Sijawahi kukaa wala kufika huko ila nilipata kufundishwa na walimu wa peace corps ambao wengi wao ni wazaliwa wa America.Wanafunzi huko Marekani wanadoma masomo mangapi jumla? Hapa tz o level masomo 7 na zaidi. Vipi Marekani?
America unaweza hata kusoma somo kuu moja kutokea grammar school, mwalimu aliye kuwa ananifundisha alisoma hesabu tu hadi anachukua master yake university. Jamaa alikuwa anajua hesabu tu kwa upana wote ila,ukimuuliza maswala ya physics mnagombana.