Jinsi dawa za mvuto na uchawi wa ulivoivuruga familia yangu

Mitishamba Imani

New Member
Joined
May 31, 2026
Posts
2
Reaction score
18
Hii ni simulizi fupi ya kweli ya mahusiano yangu na ndoa yangu,naomba wengi tujifunze na kushauri pia.

Mimi ni baba wa watoto watatu naishi na familia yangu kwa miaka kumi sasa,katika maisha yetu na mke wangu tumeishi vizuri sana kwa maelewano mazuri,toka tuanze maisha chumba kimoja tumekuwa tukishirikiana katika kila jambo tukipanga na kufanikisha pamoja.

Katika muda wote huo tulikuwa tukipendana sana na kuaminiana sana na kwa kuwa wote ni wafanyakazi wa serikali mara nyingi sana tumekuwa tukienda pamoja kazini namdrop kazini kwake mimi naenda kazini kwangu pia.

Mwaka 2024 nilianza kuona mabadiliko kwa mke wangu ambapo alianza kutozingatia baadhi ya vitu ndani na hata nilipomwamwambia hakuonesha kushtuka wala kubadilika maisha yaliendelea nikiwa najipa moyo ipo siku atabadilika,kama mwanaume sikuchoka kumfundisha na kumwelekeza taratibu,mke wangu ni mpole na mkimya pia hivo nilijua pengine kwa sababu ya ukimya wake na upole nisimgasi sana.

Kadri muda ulivozidi kusogea hali ilizidi kuwa mbaya zaidi maana hata upendo na mapenzi viliisha kabisa sio kwangu tu hata kwa watoto ikaenda mbali baada ya kushirikisha wazazi wa pande zote mbili aliwajibu wazazi wake hivii nanukuu "mimi mume wangu simtaki tena nataka anipe muda sina hisia nae kabisa,msinisumbue muyaheshimu maamuzi yangu kama inawauma pigeni gharama zote ntawarudishia"

Lakini sikukata tamaa nikaendelea kumsisitiza kama kuna sehemu nimekosea anisamehe tusiivunje ndoa yetu,lakini haikuzaa matunda mpaka ikafika muda nikawa na maamuzi ya kumwacha nikatafuta chumba kwingine nipenge ili nianze upya maisha kama nilivyoanza miaka kumi nyuma.

Wakati huo nimeanza maisha ilikuwa mwaka jana mwezi wa nane,hapo unaweza kuona ni kwa muda gani nimeishi na matatizo hayo.Basi nikaanza maisha upya ile week ya kwanza tu nikamsimulia mama mkwe wangu akanipa wazo kwamba unaonaje tufunge siku saba ndani ya hizo siku saba akanambia anaamini Mungu atajibu kitu,basi tukaanza me binafsi nilikuwa sijawahi kujihusisha na mambo ya imani au maombi,basi nikaungana nae,siku ya nne ya maombi nikarudi kwangu kuwaona wanangu nikamuita mke wangu sebuleni kumuuliza mnendeleaje na nini baadae nikaanza kumuhoji kuhusu uamuzi wake huo jambo la ajabu alinijibu hivi "sina hisia na wewe,nataka uniache nikaishi na mwanaume wa maisha yangu......akamtaja jina"

Alivotaja tu jina nikamfahamu huyo mtu ni mzee mmoja ambae wapo kituo kimoja hapo kazini na anajulikana kwa tabia za kutoka na wake za watu na kwa ushirikina so nikayaelewa maneno ya mama mkwe kwamba kuna kitu hakipo sawa,mke wangu anapofanya kazi yeye tu ndo jinsia ya kike walobaki ni wanaume ambapo kati ya hao wanaume huyo mzee ndo hana mke ila ana watoto 4 na kwa sasa ana kama 50 hivi basi baada ya kufahamu tatizo nikaenda kwanza dawati la jinsia pengine nikihisi yule mtu anaweza kuadhibiwa lakini haikuwa hivo zaidi mke wangu alinikana mbele ya dawati,nikaona mmh hapa nimeshapoteza kila kitu nikalee tu wanangu,lakini nikapata ushauri kwamba niende kwenye uongozi kwa maana ya kamati ya maadili kazini kesho yake aliitwa huyo mzee akaamriwa kuacha mara moja na kusubiri adhabu yake na mke wangu akarudishwa nyumbani

Maana wakati wote huo hakuwa nyumbani kwangu alikuwa akiishi kwenye jumba bovu huko ambapo alihifadhiwa na huyo mzee basi kwa kutaka kumkomboa mke wangu nikaongea na mchungaji mmoja kuhusu ishu zote za ndoa yangu ili nipate zaidi msaada wa kiroho kweli mke wangu aliombewa nyumbani na siku hiyo alisinzia usingizi mzito na alilala chumbani kwa watoto ilivyofika saa kumi usiku akanigongea chumbani kwangu akiwa analia sana kwa kilichotokea mwanzo aikuamini nikajua drama lakini muda ulivozidi kwenda nikaja kujua ukweli wa alichokuwa akikipitia na alinisimulia vitu vingi sana kuhusu mpango wa yule mzee ulikuwa huyu atoke kwangu amchukue amuoe,na niligundua kuwa mke wangu aliwekewa dawa kwenye chakula na vingine vingi ambavo kazini mnaweza kushea na alinisimulia kuwa mzee huyu alikuwa akimtongoza siku nyingi na huyu alikuwa akimkatalia ila alijikuta anaanza kumpenda mwenyewe na kunichukia mimi mume wake.

Aisee niligundua kumbe dunia ina watu wengi na matukio mengi ya ajabu ambayo kama halijakutokea huwezi kuamini.
Lakini nashukuru Mungu kwa sasa tunaendelea vizuri na mke wangu amekuwa mtu wa maombi sana kuliko mwanzo japo kwa upande wangu nina majeraha sana kuna kipindi nilitaka kumwacha mke wangu nikawa simwamini tena lakini nashukuru Mungu tunazidi kuimarika kila siku na yule mzee sikuwahi kumfatilia wala kufanya chochote japo kiume nakuwa na hasira nilimwachia Mungu.

Asanteni unaweza jifunza ama kushauri pia
 
Wewe ni 'simp' yaani mwanamke kwa jeuri anakutajia hadi anayemlomba alafu bado unachekacheka tu mke wangu mke wangu,huyo kabla hata ya kumhoji ilitakiwa umpige vibao vitano vya nguvu masikio yawe ziiii kisha yeye mwenyewe abebe mabegi yake atoke nyumbani kwako sio wewe utoke,watoto wana belong kwako sio kwa mwanamke. Eti mwanamke anakutajia na bwana anayemlomba bado unaendelea kuishi nae, ilitakiwa eidha umtimue ama mgawane majengo ya gavo,huyo unayemuita mke wako ni bomu na litaendelea kulombwa kwa sababu halina hisia na wewe kwa kisingizio cha kuwekewa dawa. Kuwa mwanaume,kuwa na maamuzi sahihi,oa mke wa pili utakuja unishukuru. Aslam alykum wabakrakhatu.
 
Hii ni simulizi fupi ya kweli ya mahusiano yangu na ndoa yangu,naomba wengi tujifunze na kushauri pia.

Mimi ni baba wa watoto watatu naishi na familia yangu kwa miaka kumi sasa,katika maisha yetu na mke wangu tumeishi vizuri sana kwa maelewano mazuri,toka tuanze maisha chumba kimoja tumekuwa tukishirikiana katika kila jambo tukipanga na kufanikisha pamoja.

Katika muda wote huo tulikuwa tukipendana sana na kuaminiana sana na kwa kuwa wote ni wafanyakazi wa serikali mara nyingi sana tumekuwa tukienda pamoja kazini namdrop kazini kwake mimi naenda kazini kwangu pia.

Mwaka 2024 nilianza kuona mabadiliko kwa mke wangu ambapo alianza kutozingatia baadhi ya vitu ndani na hata nilipomwamwambia hakuonesha kushtuka wala kubadilika maisha yaliendelea nikiwa najipa moyo ipo siku atabadilika,kama mwanaume sikuchoka kumfundisha na kumwelekeza taratibu,mke wangu ni mpole na mkimya pia hivo nilijua pengine kwa sababu ya ukimya wake na upole nisimgasi sana.

Kadri muda ulivozidi kusogea hali ilizidi kuwa mbaya zaidi maana hata upendo na mapenzi viliisha kabisa sio kwangu tu hata kwa watoto ikaenda mbali baada ya kushirikisha wazazi wa pande zote mbili aliwajibu wazazi wake hivii nanukuu "mimi mume wangu simtaki tena nataka anipe muda sina hisia nae kabisa,msinisumbue muyaheshimu maamuzi yangu kama inawauma pigeni gharama zote ntawarudishia"

Lakini sikukata tamaa nikaendelea kumsisitiza kama kuna sehemu nimekosea anisamehe tusiivunje ndoa yetu,lakini haikuzaa matunda mpaka ikafika muda nikawa na maamuzi ya kumwacha nikatafuta chumba kwingine nipenge ili nianze upya maisha kama nilivyoanza miaka kumi nyuma.

Wakati huo nimeanza maisha ilikuwa mwaka jana mwezi wa nane,hapo unaweza kuona ni kwa muda gani nimeishi na matatizo hayo.Basi nikaanza maisha upya ile week ya kwanza tu nikamsimulia mama mkwe wangu akanipa wazo kwamba unaonaje tufunge siku saba ndani ya hizo siku saba akanambia anaamini Mungu atajibu kitu,basi tukaanza me binafsi nilikuwa sijawahi kujihusisha na mambo ya imani au maombi,basi nikaungana nae,siku ya nne ya maombi nikarudi kwangu kuwaona wanangu nikamuita mke wangu sebuleni kumuuliza mnendeleaje na nini baadae nikaanza kumuhoji kuhusu uamuzi wake huo jambo la ajabu alinijibu hivi "sina hisia na wewe,nataka uniache nikaishi na mwanaume wa maisha yangu......akamtaja jina"

Alivotaja tu jina nikamfahamu huyo mtu ni mzee mmoja ambae wapo kituo kimoja hapo kazini na anajulikana kwa tabia za kutoka na wake za watu na kwa ushirikina so nikayaelewa maneno ya mama mkwe kwamba kuna kitu hakipo sawa,mke wangu anapofanya kazi yeye tu ndo jinsia ya kike walobaki ni wanaume ambapo kati ya hao wanaume huyo mzee ndo hana mke ila ana watoto 4 na kwa sasa ana kama 50 hivi basi baada ya kufahamu tatizo nikaenda kwanza dawati la jinsia pengine nikihisi yule mtu anaweza kuadhibiwa lakini haikuwa hivo zaidi mke wangu alinikana mbele ya dawati,nikaona mmh hapa nimeshapoteza kila kitu nikalee tu wanangu,lakini nikapata ushauri kwamba niende kwenye uongozi kwa maana ya kamati ya maadili kazini kesho yake aliitwa huyo mzee akaamriwa kuacha mara moja na kusubiri adhabu yake na mke wangu akarudishwa nyumbani maana wakati wote huo hakuwa nyumbani kwangu alikuwa akiishi kwenye jumba bovu huko ambapo alihifadhiwa na huyo mzee basi kwa kutaka kumkomboa mke wangu nikaongea na mchungaji mmoja kuhusu ishu zote za ndoa yangu ili nipate zaidi msaada wa kiroho kweli mke wangu aliombewa nyumbani na siku hiyo alisinzia usingizi mzito na alilala chumbani kwa watoto ilivyofika saa kumi usiku akanigongea chumbani kwangu akiwa analia sana kwa kilichotokea mwanzo aikuamini nikajua drama lakini muda ulivozidi kwenda nikaja kujua ukweli wa alichokuwa akikipitia na alinisimulia vitu vingi sana kuhusu mpango wa yule mzee ulikuwa huyu atoke kwangu amchukue amuoe,na niligundua kuwa mke wangu aliwekewa dawa kwenye chakula na vingine vingi ambavo kazini mnaweza kushea na alinisimulia kuwa mzee huyu alikuwa akimtongoza siku nyingi na huyu alikuwa akimkatalia ila alijikuta anaanza kumpenda mwenyewe na kunichukia mimi mume wake.

Aisee niligundua kumbe dunia ina watu wengi na matukio mengi ya ajabu ambayo kama halijakutokea huwezi kuamini.
Lakini nashukuru Mungu kwa sasa tunaendelea vizuri na mke wangu amekuwa mtu wa maombi sana kuliko mwanzo japo kwa upande wangu nina majeraha sana kuna kipindi nilitaka kumwacha mke wangu nikawa simwamini tena lakini nashukuru Mungu tunazidi kuimarika kila siku na yule mzee sikuwahi kumfatilia wala kufanya chochote japo kiume nakuwa na hasira nilimwachia Mungu.

Asanteni unaweza jifunza ama kushauri pia
Nimejifunza kitu hapa

Nisivunje ndoa kabla sijafanya maombi ya nguvu kwanza.
 
Pole aisee, Huwajui wanawake unaenda kuishi maisha Magumu, ya hovyo na series za usaliti, utakuja kuachana na huyo mke kwa nguvu ukiwa na miaka 48, huna muelekeo!

Bro, kuokoka ni kweli, Mungu anweza na anatupenda, ila kuusikilizia wokovu sijui na Maombi kutoka kwa Mkwe ni jambo la kipumbavu na manipulation that will cost you life time!

Umepoteza fursa nzuri sana ya Kuanza maisha yako mapya ya uhuru bila mwanamke yenye mashiko, tunza hili andiko utakuja niambia, huyo mwanamke unatakiwa umuache hata 3 years ajifunze vizuri ndo pengine umrudie!

Living with a cheater bila consequences na kupata mazara ni kumpa moyo kwamba anaweza kufanya ujinga na akasamehewa, we fala umepangwa na ukapangika na mkwe wako, na wao wao ndo wanaweza kuwa washirikina!

Ataliwa Tena na huyo huyo Mzee, we ongeza Maombi ya ukombozi firigisi wewe, Yani umempa Kona nzuri kweli ya kujificha, hutakaa uamini.

Unaandika andiko refuuu, hovyo kabisa, I hope first born wangu kijana wangu wa nguvu hatosoma huu upumbavu wako!

FALA WEWE!
 
Nimejifunza kitu hapa

Nisivunje ndoa kabla sijafanya maombi ya nguvu kwanza.

Jinga lingine hili, Kama Kuna kuomba ni kuzuia usiwe na sababu ya kumuacha, kungoja afanye ujinga sababu uombi, then akifanya ujinga unaanza Maombi kabla ya kumuacha, is another level of stupidity!

Kwa hiyo Maombi ya na manage crisis tu?
 
Pole aisee, Huwajui wanawake unaenda kuishi maisha Magumi, ya hovyo na series za usaliti, itakuja kuachana na huyo mke kwa nguvu ukiwa na miaka 48, huna muelekeo!

Bro, kuokoka ni kweli, Mungu anweza na anatupenda, ila kuusikilizia wokovu sijui na Maombi kutoka kwa Mkwe ni jambo la kipumbavu na manipulation that will cost you life time!

Umepoteza fursa nzuri sana ya Kuna maisha yako mapya ya uhuru bila mwanamke, tunza hili andiko utakuja niambia, huyo mwanamke unatakiwa umuache hata 3 years ajifunze vizuri ndo pengine umrudie!

Living with a cheater bile consequences na kupata mazara ni kumpa moyo kwamba anaweza kufanya ujinga na akasamehewa, we fala umepangwa na ukapangika na mkwe wako, na wao wao ndo wanaweza kuwa washirikina!

FALA WEWE!
Dah!Umemfokea sana.Ila,nimecheka hadi nimepaliwa na kahawa.
 
Hua nakua mgumu sana kuongelea maswala ya imani iwe ushirikina au dini ila nitaongelea juu ya uelewa usiojitosheleza wa watu wengi juu ya kazi za dawati la jinsia na ofisi za ustawi wa jamii.

Kisheria ofisi za ustawi wa jamii na dawati la jinsia hazishughulikii maswala ya ndoa. Sheria haijawapa hizi sehemu mbili mamlaka ya kukaa na kusuluhisha mgogoro wa ndoa au kuivunja.

Mwenye hilo jukumu ni baraza la usuluhishi ambalo lipo ofisi za kata. Hili baraza linaweza kusuluhisha ila haliwezi kuvunja baraza litapoona limeshindwa kusuluhisha litapeleka rufaa mbele (mahakamani) ambako huko ndiyo ndoa itavunjwa.

Ofisi ya ustawi wa jamii na dawati la jinsia watashiriki kwenye kusuluhisha mgogoro wa ndoa ikiwa kuna maswala ya malezi ya watoto wanandoa hawajayaweka sawa.
 
Hawa Vijana wamekuwa watu wa hovyo sana, Mke msaliti Hana value yoyote, and if you simp around her, ni sababu tu ya mazoea!

Kale katundu kake sio special wala, actually ni worse maana imagine wewe unaweka ngorila lako, na mwingine anamwaga humo humo!

Badala ya kutatua tatizo, unaanza Maombi ya ukombozi na Mama mkwe, fukuza waende na Mama yake wakakomboane huko!
 
Mimi nilivyo mchoyo nisingekubaliana na utetezi wa kindezi wa huyo mwanamke.Yaani agegedwe huko na kishenzi chenzie halafu arudi kwangu kirahisi tu?Haipo hiyo!Akafie jalalani!
 
Wewe ni 'simp' yaani mwanamke kwa jeuri anakutajia hadi anayemlomba alafu bado unachekacheka tu mke wangu mke wangu,huyo kabla hata ya kumhoji ilitakiwa umpige vibao vitano vya nguvu masikio yawe ziiii kisha yeye mwenyewe abebe mabegi yake atoke nyumbani kwako sio wewe utoke,watoto wana belong kwako sio kwa mwanamke. Eti mwanamke anakutajia na bwana anayemlomba bado unaendelea kuishi nae, ilitakiwa eidha umtimue ama mgawane majengo ya gavo,huyo unayemuita mke wako ni bomu na litaendelea kulombwa kwa sababu halina hisia na wewe kwa kisingizio cha kuwekewa dawa. Kuwa mwanaume,kuwa na maamuzi sahihi,oa mke wa pili utakuja unishukuru. Aslam alykum wabakrakhatu.
Kwa mfano huyu anasema watoto ni mali ya mwanaume na wabaki na baba hapa dawati la jinsia na ofisi ya Ustawi wa Jamii wanatakiwa kupima ikiwa watoto, kutokana na umri wao, wanaweza kubaki na baba?

Mfano watoto 3 mkubwa kabisa ana miaka 10 na mdogo kabisa ana miaka 2. Inawezekana kumuachia baba hawa watoto? Ataenda kazini saa ngapi? Atawapaikia saa ngapi? Atawaogesha saa ngapi? Mfano baba akawa na mama yake (bibi wa watoto) nyumbani na mdada wa kazi ukimuacha na watoto siyo tatizo kabisa kwakua kuna wanawake wanaoweza angalia watoto.

Kama yupo peke yake itakua ngumu kumuachia watoto huyu baba.
 
Hua nakua mgumu sana kuongelea maswala ya imani iwe ushirikina au dini ila nitaongelea juu ya uelewa usiojitosheleza wa watu wengi juu ya kazi za dawati la jinsia na ofisi za ustawi wa jamii.

Kisheria ofisi za ustawi wa jamii na dawati la jinsia hazishughulikii maswala ya ndoa. Sheria haijawapa hizi sehemu mbili mamlaka ya kukaa na kusuluhisha mgogoro wa ndoa au kuivunja.

Mwenye hilo jukumu ni baraza la usuluhishi ambalo lipo ofisi za kata. Hili baraza linaweza kusuluhisha ila haliwezi kuvunja baraza litapoona limeshindwa kusuluhisha litapeleka rufaa mbele (mahakamani) ambako huko ndiyo ndoa itavunjwa.

Ofisi ya ustawi wa jamii na dawati la jinsia watashiriki kwenye kusuluhisha mgogoro wa ndoa ikiwa kuna maswala ya malezi ya watoto wanandoa hawajayaweka sawa.

Aisee nyie wanaume mnaitaji training, these are the principles:

1. Treat Mwanamke fairly, mjali, be a father, provider, Mtu wa Imani, na Baba mzuri kwa uwezo, good to be a gentlemen.

2. Usijenge maisha yako around a woman, have a mission, utafutaji, kujijenga, Kwamba hata kama hayupo empire yako haipotei.

3. Kuwa na principle na misimamo binafsi ambayo ni fair haimuumizi, na ni ya kawaida, ila iwe misimamo kweli hakuna kuyumba kwa mwanamke.

Ukiyafanya hayo hapo juu vizuri, na akaona ana sababu ya sijui:

1. Sijisikii kufanya mapenzi.
2. Sina hisia.
3. Siwezi Fanya Nina stress.

Nakwambia wanamla, usipanik wala, tulia mwanamke, mwanamke apigwi kabisa, Fanya uchunguzi, ukiwa na ushahidi analiwa, utunze fuata haya:

1. Usipaniki usiongee
2. Hama home kapange.
3. Hakuna kikao wala Dawati
4. Hakuna ustawi wa jamii.
5. Mhudumia na watoto wake vizuri

Ukiulizwa:

1. Kwa upole, nimempa nafasi amalizie maisha yake ya Umalaya, then silence.

Hawa wanawake wametuulia ndugu zetu wengi sana na kuhatibu watoto kwa sababu ya ujinga wao!
 
Kwa mfano huyu anasema watoto ni mali ya mwanaume na wabaki na baba hapa dawati la jinsia na ofisi ya Ustawi wa Jamii wanatakiwa kupima ikiwa watoto, kutokana na umri wao, wanaweza kubaki na baba?

Mfano watoto 3 mkubwa kabisa ana miaka 10 na mdogo kabisa ana miaka 2. Inawezekana kumuachia baba hawa watoto? Ataenda kazini saa ngapi? Atawapaikia saa ngapi? Atawaogesha saa ngapi? Mfano baba akawa na mama yake (bibi wa watoto) nyumbani na mdada wa kazi ukimuacha na watoto siyo tatizo kabisa kwakua kuna wanawake wanaoweza angalia watoto.

Kama yupo peke yake itakua ngumu kumuachia watoto huyu baba.
Sasa huyo mama maraiya,asiyetulia nyumbani na akili zake za kizuzu/anajidai amelogwa ndiyo ataweza kutunza watoto?
 
Aisee nyie wanaume mnaitaji training, these are the principles:

1. Treat Mwanamke fairly, mjali, be a father, provider, Mtu wa Imani, na Baba mzuri kwa uwezo, good to be a gentlemen.

2. Usijenge maisha yako around a woman, have a mission, utafutaji, kujijenga, Kwamba hata kama hayupo empire yako haipotei.

3. Kuwa na principle na misimamo binafsi ambayo ni fair haimuumizi, na ni ya kawaida, ila iwe misimamo kweli hakuna kuyumba kwa mwanamke.

Ukiyafanya hayo hapo juu vizuri, na akaona ana sababu ya sijui:

1. Sijisikii kufanya mapenzi.
2. Sina hisia.
3. Siwezi Fanya Nina stress.

Nakwambia wanamla, usipanik wala, tulia mwanamke, mwanamke apigwi kabisa, Fanya uchunguzi, ukiwa na ushahidi analiwa, utunze fuata haya:

1. Usipaniki usiongee
2. Hama home kapange.
3. Hakuna kikao wala Dawati
4. Hakuna ustawi wa jamii.
5. Mhudumia na watoto wake vizuri

Ukiulizwa:

1. Kwa upole, nimempa nafasi amalizie maisha yake ya Umalaya, then silence.

Hawa wanawake wametuulia ndugu zetu wengi sana na kuhatibu watoto kwa sababu ya ujinga wao!
Angalia ulichonukuu kujibu na ulichoandika.

Ninafikiri umepanic. Hata hivyo hakuna mjuzi wa mahusiano kama wewe unavyohisi.
 
Back
Top Bottom