Mitishamba Imani
New Member
- May 31, 2026
- 2
- 18
- Thread starter
- #41
Either una moyo mkubwa kunizidi au una utindio wa akili. Wahenga hawakuwa wajinga walivyosema dawa ya moto ni moto. Huyo jamaa me binafsi yangu ningeenda kwa mganga na ningemtia hata ukichaa.
unatombewa mke na bado unacheka cheka
Mkuu huu sio mwisho wa simulizi yangu. Mengi bado yaliendelea na mpaka leo yapo mengi tu,sijaeleza kila kitu hapo.Either una moyo mkubwa kunizidi au una utindio wa akili. Wahenga hawakuwa wajinga walivyosema dawa ya moto ni moto. Huyo jamaa me binafsi yangu ningeenda kwa mganga na ningemtia hata ukichaa.
unatombewa mke na bado unacheka cheka tu?
Hakuna sehemu nilipoonyesha kufurahia jambo hili pia.